Ahsante kwa michango yenu wataalam, hapa nmeamua nchukue mbegu kutoka kwa wakulima njarbu heka tano nione km nitapata manufaa
 
Wanajamvi na hasa wakulima wa vitunguu naomba msaada wetu.
Kwenye kitalu changu cha vitunguu maji nilianza kuona majani ya vitunguu yakinyauka na kuwa meupe. Uchunguzi kwenye udongo umeonyesha kuwepo kwa wadudu (funza/ viwavi) wanaokula miche kwenye mizizi

ndani ya udongo.
Angalia video hii fupi (miche ina wiki 4 sasa- naogopa nisije kujikuta nahamishia wadudu hawa shambani)
 
View attachment 2979025
ndani ya udongo.
Angalia video hii fupi (miche ina wiki 4 sasa- naogopa nisije kujikuta nahamishia wadudu hawa shambani)
Pole sana mkuu.
Tafuta dawa zifuatazo: Attakan C 350 SC, Farmguard 344 SE au General 200SL. Piga kwenye majani na kwenye udongo.

Naamini watakufa wote hao.

Mtalula Mohamed,
Mogriculture TZ
 
Wadau namshkru Mungu nlpata mbegu kwa wakulima huko singda nkanunua debe mbili ya mbegu jumla ikatumia lak 8, kwa kwel nmwaga kwenye kitaru zmeota zote najiandaa kuanza kusambaza shamban
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom