kilimo cha vitunguu

  1. A

    Kilimo cha vitunguu kilivyonitia hasara

    "Mwomba Mungu hachoki akichoka keshapata"nikauli iliyonipa tumaini moyoni huku nikiamini kuwa lazima nitoboe,niliwaza hili na lile kutokana na ugumu wa kazi ngumu iliyokuwa inatukabili Mimi na mfanyakazi wangu, kwani ilifika sehemu hata ikamfanya Sasa kukata tamaa, kijana huyu wa kazi alianza...
  2. A

    Kilimo cha vitunguu kilivyonitia hasara

    Mgomba haushindwi na mkunguwe,nilijipa matumaini makubwa kuwa nitafanikiwa na Moja ya kitu ambacho nashukuru Mungu kuwa nimezaliwa nacho Huwa sikati tamaa na "Nitapambana mpaka hatua ya mwisho",nilijisemea moyoni kuwa lazima shamba hili lifike sitakubali liishie njiani, mawazo haya yalikuja...
  3. A

    Kilimo cha vitunguu kilivyonitia hasara

    Mtaalamu wa zao hili na Bwana shamba anayeishi Mwanhuzi -Meatu, alinishauri nilime mbegu iitwayo Red Bombay(Mang'ora) kama ulivyokuwa ikiitwa na wakulima wazoefu niliowakuta kwenye game, kwasababu shauku ilikuwa ni kufanikiwa niliulizia juu ya kipimo kinachotosha hekari Moja. Mtaalamu wa kilimo...
  4. A

    Kilimo cha vitunguu kilivyonitia hasara

    Kama habari inavyoeleza hapo juu, Mimi ni mkulima mzuri wa nyanya, nimelima zao hili kwa zaidi ya miaka kadhaa kutokana na changamoto za hapa na pale zilinifanya kuwa mzoefu na mtaalamu sana wa kilimo hiki, hivyo ilikuwa nikiweka mbegu shambani. Ililazimu jirani angalie nitaivisha wakati gani...
  5. P

    Wilaya gani katika mkoa wa Ruvuma ni rafiki kwa kilimo cha vitunguu?

    Jamaani mashamba yanayoweza kuwa rafiki kwa kilimo Cha vitunguu mkoa wa ruvuma yapo wilaya gani?
  6. N

    Kilimo cha vitunguu maji

    Wadau kama kichwa cha topic kinavyosema, shauku kubwa la mim kuja hapa ni kutaka kupeana uzoefu wa kilimo cha vitunguu maji kw misimu ya hiv karbun kutokana na nyuz zlzomo jukwaani kuwa za miaka mingi iliyopta mfn 2010! Mambo yamebadlika Sana kipind kile unakuta mtu anazungumzia kuuza gunia kwa...
  7. M

    Natafuta mdau wa kushirikiana kilimo cha vitunguu

    Hbr kwenu wadau. Kama heading inavyosomeka hapo juu m ni mkulima nipo Dar ila mwaka huu Kuna changamoto nimepitia kiasi cha kupoteza mtaji wa kilimo. Sasa natafuta mtu mwenye mtaji tushirikiane kwenye kilimo cha vitunguu. Nitakuwa tayari kwa mashart yeyote utakayotaka. Asanteni
  8. Ibraheim

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Habari wana JF mwenye elimu ya kutosha juu ya kilimo cha vitunguu swaumu na mikoa yake yanayolima hivyo vitunguu swaumu..nahitaji elimu juu ya kilimo hiko...kwa mwenye elimu hiyo tafadhari naomba anijuze... Mawasiliano:0714852712
  9. Makungu jr

    Kilimo cha vitunguu swaumu

    Habari zenu magwiji wa kilimo! Wakuu mwaka jana {2020} nililima ufuta ekari 12 Katika wilaya ya Handeni mkoa wa Tanga, kwa bahati mbaya mvua zilizidi sana kuliko kawaida na kufanya ufuta kuwa mrefu sana, hivyo haukuweza kuzaa vizuri nikaambulia gunia moja moja kwa kila ekari sawa na gunia 13 za...
  10. Red Giant

    Kumbe kitunguu saumu kinalipa hivi

    Nasikia gunia la kitunguu saumu la debe tano linauzwa 500,000. Hiki kitunguu hakina mbegu hivyo unapanda vile vipande vyake. Wanasema ekari moja inaweza kupanda gunia 16 hadi 28 za kilo mia kutegemeana na spacing. Hivyo utapanda vya Tsh 8m - 14m. Kinaweza kuzaa mara 5 hadi 8 ya gunia...
  11. Erick_Otieno

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Wakuu salamu, Nataka kuanzisha kilimo cha umwagiliaji cha kitunguu. Naomba ushauri wenu ni maeneo gani yanayoofaa kwa kilimo cha kitunguu na hasa ambayo yanaweza kuwa na maji kwa ajili ya umwagiliaji. Nimenunua power tiller ambayo nategemea itanisaidia sana kwenye kilimo cha umwagiliaji...
Back
Top Bottom