Kilimo cha vitunguu kilivyonitia hasara

Mgomba haushindwi na mkunguwe,nilijipa matumaini makubwa kuwa nitafanikiwa na Moja ya kitu ambacho nashukuru Mungu kuwa nimezaliwa nacho Huwa sikati tamaa na "Nitapambana mpaka hatua ya mwisho",nilijisemea moyoni kuwa lazima shamba hili lifike sitakubali liishie njiani, mawazo haya yalikuja baada ya kuona juhudi za mfanyakazi wangu zikififia, pamoja na kumuwekea vibarua wakila siku na yeye akisimama pale shambani kama msimamizi mkuu, lakini hakukosa kutoa ushauri wa kuongezewa mtu,nilimlipa vizuri kima Cha chini Cha mtumishi wa umma aliyeajiriwa serikalini tofauti kabisa na malipo ya wakulima wenzangu,niliwaza kuwa mshahara ukiwa mzuri utamfanya mfanyakazi wangu huyu atulie na kufanya kazi kwa bidii.alikuwa anajituma sana akitoa ushauri wa Kila Leo Nini kifanyike kuhakikisha hatukwami.niliamua kumpa uhuru wa mawazo achague mtu yoyote anaye mtaka aje tusaidizane ,huku nikiamini kuwa kazi zitaenda mbio mbio, kijana alikuja kazi ikapigwa huku tukimpima juhudi na uwezo wa kifikra kutoa mawazo ya Nini tufanye.Matarajio hayakuenda kama tulivyokuwa tukiwaza kwani mchezaji huyu tuliyemsajiri hakuwa na juhudi za namna tulivyokuwa tukitaraji,aliokuwa kijana mwingi wa maneno, wakati mwingine alikuja na wazo la kutaka tu masilahi yake binafsi kuliko kazi za mwajiri wake, kwakuwa tulikuwa na mikataba maalumu inayopitia kwenye uongozi,na ngazi zote za Sheria Ililazimu kumukumbusha yeye kwanini Yuko pale,"Marufuku kujihusisha na mahusiano ya aina yoyote na ,(a) mke wa mtu hata kama ni kupiga naye soga ,kwani itasababisha kuleta vishawishi vinginevyo vitakavyopelekea kuanzisha mahusiano ya kimapenzi, kwenda kinyume na sheria hii kutakufikuzisha kazi na kupoteza stahiki zako zote.(b)Siruhusa hata kidogo kujenga mazoea na mabinti wanaozunguka eneo hili hata nje ya eneo hili, kwamba hautoruhusiwa kualika mtu yoyote wa jinsi ya kike kuja hapa shambani, kufanya hivyo utakuwa umekiuka utaratibu tuliojiwekea ,ukibainika utapunguziwa mshahara au kufukuzwa kazi bila malipo.Zilikuwa ni baadhi ya sheria ngumu mno ambazo zilikuwa zikipewa baraka na uongozi wa serikali ya mtaa/Kijiji pamoja na vyombo vinavyotafsri sheria,Mgeni wetu huyu simu zake nyingi zilizompitezea muda zilikuwa ni za mabinti kiasi kwamba ilimfanya kuwa mzembe asiweze kutimiza majukumu yake kama imupasavyo.Safari ilikuwa ngumu tulipambana na shamba letu kwakulipa huduma zote mhimu lakini matokeo ni sifuri ,nilijitahidi sana kusoma vijuzuu ,na vitabu mbalimbali mbali hakika ndugu yangu unayesoma hapa,Kila nilipo kuwa nilikuwa sikosi kijidaftari Kama kocha wa Sundowns,Rulani Mokwena,mbele ya Wananchi,nilihangaika huku na huku , kutafuta changamoto za zao hili .nikiri tu kilichokuwa kinanipa hamasa ni bei maana kitunguu changu kikiwa kimebakiza mwezi mmoja nivune gunia lilikuwa na Tsh 350000 ,nilipata nguvu kubwa mno ya kachia pesa ikafanye kazi huku nikijipa tumaini kuwa hata nikikuta bei imeshuka mno sita kosa 200000 to 250000 calculator yangu ya simu ya kitochi ilikuwa inaruhusu kupata zaidi ya Milioni 2500,000/=kwa hesabu ya haraka haraka Huwa tunayarahisisha Mambo, kumbuka shamba langu lilitoka kwenye heka Moja na kuwa na heka mbili hakika niliwatia moyo wafanyakazi wangu kwa hesabu hii 250000x50 kadrio la chini la mavuno ya vitunguu hesbu ilikuwa inaniambi ni Milioni 12,500,000 kwa hekari Moja hivyo nilijipa tumaini kuwa lazima nizamishe kibindoni Milioni 25 kwa hekari zote mbili"Wachezaji Bora ngomani ni wale waliojidhatiti"wahenga walisema nikiweka jitihada za Kila namna kwenye shamba hili ikinilazimu hata kukopa pesa Ili tu lifike 😄😄hakika yalikuwa ni mapambano magumu yaliyogeuka kuwa shamba darasa kwani ndilo shamba ambalo nililikuwa shamba la watu kuja kujifunza na wengine kutukatisha tamaa, mwenye Nia njema tulimpenda , mwenye Nia ovu pia tulipokea hakika kama kilimo Cha vitunguu kingekuwa ni juhudi tu nikiri wazi kuwa tulipambana kwa nguvu nyingi sana, sitasahau ndugu yangu mmoja ambaye alikuwa ni mdau wa kilimo tulikuwa tunatembeleana bahati mbaya yeye alikuwa hajui ugonjwa wa aina yoyote, alikuwa hajui atumie dawa gani, kifupi alikuwa hajui kilimo kinakuwa na kanuni zipi za kufuata,niseme tu kuwa ni wale wakulima wa Bora liende na kwakuwa alikuwa Karibu na Mimi sikuwa kabisa na kinyongonaye nilimfundisha kuchagua mbegu nzuri ya nyanya, nikamfundisha pia jinsi ya kukabilisna na magonjwa mbali mbali,sukujua kuwa kabisa kuwa yule jamaa angekuwa mnafiki kiasi kile,(kikulacho kinguoni mwako) kumbe alishawahi kulima kitunguu akaangukia pua, kwakuwa mie nilikuwa mzalishaji mzuri wa nyanya nilipoweka wazo mezani huyu jamaa yeye alikuwa akipiga makofi kuwa nikilima vitunguu aje akipige pesa nyingi kwa kulima nyanya,tulivyohangaika sana ndugu yangu huyu alikuwa na kawaida ya kuja pale shambani Kila asubuhi na jioni bilashaka alikuwa akija kushuhudia jinsi kitunguu kinavyonigaragaza pale shambani wataalamu wamisemo ya kiswahili walisema unapokuwa mnafiki ujifunze kutunza kumbukumbu, rafiki yangu huyu siku Moja alijisahau na kunihadithia kuwa katika haya maeneo Huwa hayakubali vitunguu,nilijiuliza maswali mengi sana kuwa Mimi napoteza muda wangu Tena najitolea hunilipi hata Senti Tano nakuja kwako kwa moyo mweupe kabisa kuja kukupa Ushauri ulishashajaribu project inayonigaragaza hapa nawewe ndiye mtu wa karibu ambaye nimeona kama ndugu yangu wa karibu na WA damu kabisa najitoa kwako kwa Hali na mali ,bado hii habari kabla sijaianza nilikuambia kwanini huku nipa ushauri unakuja kuutoa niko nimeweka mamilioni ya pesa yanateketea hapa,nilijisemea moyoni mwangu nikajua kabisawa wazi Mwanaume nimefeli na nimepoteza pesa nyingi "mchuma janga hula na wakwao"huu ni msiba wa kwangu wacha nilie mwenyewe nikianza kutafuta wa kumtupia lawama hakuna nitakachoambulia zaidi ya kupoteza muda na kukosa kufikiria wacha nisonge mbele na hapa KUKATA TAMAA mwiko, napigana Hadi tone langu la jasho la mwisho,hayo ni mawazo yaliyokuwa yakizunguka kichwani kwangu huku nikiendelea kuteketeza mamilioni ya pesa kwenye kitunguu kisicho na tumaini,najua huwezi ukaelewa mapema na tulio wengi Huwa hesabu zetu tunazipigia mezani labda kwa kusikia tu fulani kapata pesa kwenye jambo fulani 😄😄 rafiki usijaribu kuweka mradi mkubwa ambao huna uzoefu nao hakika utajuta na utaanza kujilaumu ,kumbuka hili kwa wewe unayetaka kuingia katika kwenye kilimo zingatia hili,kilimo ni Kanuni elewa unalima zao gani magonjwa yake ni yapi yantokea kwa mfumo na nyakati gani ZIJUE KANUNI ZAKE Ugonjwa aina gani unatibiwa kwa Kanuni ipi (Hapa nazungumzia,aina za dawa na viambata vyake),kilimo ni target elewa aina ya mazao unayolima Yana iva wakati gani na je wingi wa bidhaa unayoizalisha imezalishwa na watu wapi kwa wakati huo je mfano nikiivisha vitunguu mwezi upi soko litakuwa juu,na je bidhaa yangu itatoka kwa bei nzuri?, kilimo ni watu , unaweza kuwa na vitendea kazi ukawa na mtaji lakini ukafeli wajue watu wako unaotegemea kufanya nao kazi ni watu wa namna gani ukumbuke watu,wanaweza kukukwamisha , inawezekana ikawa ni wakati wakuzalisha au wakati wa kuuza bila watu hutoboi tenfeneza mazingira ya jinsi bidhaa Yako utaizalishaje,na mwisho utaiuzaje(watu) kilimo ni soko,unalima utamuuzia nani,mlaji wa mwisho au wa jumla je ni soko la karibu au mbali,kama ni karibu unawafikiaje wateja wako,wakiwa wa mbali bidhaa inafikaje,na je soko lako linakulipa linapenda bidhaa ipi na Kwa kiwango kipi. KILIMO ni ubora(quality) je bidhaa unayo ilima inaubora gani kwa mlaji inampa hasara?( Uimara kwa kile unachokizalisha mfano nyanya au kitunguu chako ,tikiti lako linakaa muda gani kabla halijaoza likiwa kwa mteja wako au shambani kwako kabla huja uza? ITAENDELEA........
Kilimo cha kitunguu kinaweza kukufanya tajiri ndani ya miezi 3 tu au kurudi 0 kwa miezi 3.
Kitunguu kikubwa (grade 1 huwa inafika inachezea 230k, 240k, 250k, 270k & 300k kwa gunia za Samia au magufuli
Grade 2 (Chenga) huwa ni 150k hadi 170k
Grade C (Utumbo) ni 60k mpk 70k
Grade D (Ngadala) ni 20k mpk 30k kwa gunia ya samia au magufuli.
Bei hizi ni za mwaka 2024 (Singida). Kuanzia mwaka 2023 mpk 2024 waliobahatika kuvuna vizuri vitunguu, wamepiga hela
 
H

uu mwandiko hapana sisomi hii
 
Jamaa yangu alikopa m15 akaemda eti kulipa mbogamboga ruvu akakodi na shamba kabisa hahahaaaaaa naogopa kumalizia maana ilikuwa makasiriko kwa kila mtu.
 
Ubaya wa Jf ya sasa ukiquote au rrply msg huwez kuja kuona tena tagged threads,

Nimependa thread.yako, hapa nna kilo tano ndani naniandaa kuweka kitalu, sijawah lima kitunguu ila nataka nijilipue, kwa kupitia thred yako nimaweza jifunza ups and down zako.

Vyovyote vile lazima nami nijiunguze kwenye onions msimu huu.

Aluta continue
Mnaanza mwezi Gani?

Mkoa Gani unaolimia?

Kila la heri,,,,,nawe usisahau kutupa mrejesho wako waji
 
Kama habari inavyoeleza hapo juu,

Mimi ni mkulima mzuri wa nyanya, nimelima zao hili kwa zaidi ya miaka kadhaa kutokana na changamoto za hapa na pale zilinifanya kuwa mzoefu na mtaalamu sana wa kilimo hiki, hivyo ilikuwa nikiweka mbegu shambani.

Ililazimu jirani angalie nitaivisha wakati gani Ili tusikutane naye hii ni kutokana tu na kutengeneza Jina la uzalishaji wa bidhaa bora,kama wahenga walivyosema "Mwenye nguvu mpishe "kauli hii ilinipa kujiamini kutokana na kile tulichokuwa tunakizalisha, zama huwa zinabadilika.

Mabadiliko ya Kila Leo ya soko la nyanya na vijana wengi kuhisi tunapiga pesa nyingi basi kulianza kunifikirisha kulihana zao hilo, baada ya kuona vijana wengi wakiiga pasi na ujuzi juu ya uzalishaji wa zao hili,kulileta mafuriko katika soko letu kiasi kwamba kwa mtu unayezalisha kwa kutumia gharama kubwa.

Huwezi kushindana na mtu aliyezalisha kwa gharama ndogo na anauza anavyojisikia, ukizingatia walaki wetu wa mwisho Wana angalia quantity na si quality, hivyo mtu aliyezalisha kwa gharama ndogo atapima mfuko ule unaouzwa kwa Shilingi mia tatu(Magufuli)Wasukuma Wa Meatu Mwandoya Simiyu.

Huwa wanaita hivyo, mtu aliyezalisha kwa gharama ndogo atauuza Shilingi 500,huku Mimi na rafiki yangu Makoye kibarua wangu tukiuza nyanya 5 kwa Shilingi mia 500, Tuliona kabisa kuwa tunakoelekea tutakwenda kukwama.tuliamua kulihana zao hilo na kuamua kuhamia kwenye vitunguu.

Hamasa ya kutiana mioyo ilikuwa kubwa tulikuwa tukipiga stori za kupata mamilioni ya pesa kwani wakati huo gunia lilikuwa likinunuliwa 350k, tulijipa matumaini makubwa kuwa hata kama tutakuta bei imeshuka basi tutakuta angalau ngunia linanunuliwa 150k.

Haiwezekani bei iporomoke kutoka 350k mpaka liivuke 150k, mjadala juu ya Nini tufanye uliishia Mwanaume nikajitosa kwenda kununua mbegu,nilikwenda maduka kadhaa kufanya ulinganifu wa bei na upelelezi wa Kila walaka unaozungumuzia kilimo hiki nilisoma kwa makini huku nikiulizia Kila uzoefu na changamoto za hapa na pale juu ya zao hili.

Nilibahatika kupata mzoefu wa zao hili kwa kuuza mbegu,kulima na mrejesho wa wakulima mbali mbali aliokuwa anaupata kwa wakulima walikuwa wakichukua mbegu kwake.

ITAENDELEA...
Wenzio wamekufaaa n. Hasara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom