goodmother
Senior Member
- Jul 21, 2012
- 108
- 77
Niliwahi lima Anna ni mbegu nzuri inazaa sana kwa kweli sikuona ubaya wake, sijui kwa masika changamoto zake zikoje, nililima msimu wa kiangazi.pia ungewaona wataalamu wa syngeta wakushauri mbegu gani ulime wakati gani kutegemea hali ya hewa ya mahali husika, wana mbegu inatoa hadi tani 35 kwa ekari imeacha hadi eden. Google monsato utaona varieties za mbegu za nyanya.