Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

Niliwahi lima Anna ni mbegu nzuri inazaa sana kwa kweli sikuona ubaya wake, sijui kwa masika changamoto zake zikoje, nililima msimu wa kiangazi.pia ungewaona wataalamu wa syngeta wakushauri mbegu gani ulime wakati gani kutegemea hali ya hewa ya mahali husika, wana mbegu inatoa hadi tani 35 kwa ekari imeacha hadi eden. Google monsato utaona varieties za mbegu za nyanya.
 
Karibu Syngenta upate mbegu bora ya nyanya itwayo Kilele F1 Inatoa tani 35 kwa ekari, kikonyo kimoja kinakuwa na matunda kati ya 7 mpaka 9. Pia tuna madawa bora ya ukungu eg. Ridomill Gold na sumu za wadudu. Kwa wakazi wa Dumila kuna Demo Plot ukiwa unaelekea Dodoma iko upande wa kushoto utaona bango la SYNGENTA.
 
kaka ulilima kiasi gain? na vipi kuhusu ganda lake linadumu kwa kipindi gani?
 
Karibu Syngenta upate mbegu bora ya nyanya itwayo Kilele F1 Inatoa tani 35 kwa ekari, kikonyo kimoja kinakuwa na matunda kati ya 7 mpaka 9. Pia tuna madawa bora ya ukungu eg. Ridomill Gold na sumu za wadudu. Kwa wakazi wa Dumila kuna Demo Plot ukiwa unaelekea Dodoma iko upande wa kushoto utaona bango la SYNGENTA.

Wanapatikana wapi hao Syngenta?
 
Sio kwamba tunaficha bei ila ni vizur kujua mtu anachotaka na kumpa ushauri juu ya kilimo chenye tija na ndo maana tukatoa namba ya simu ili kwa maulizo na ushauri zaid.
 
Sio kwamba tunaficha bei ila ni vizur kujua mtu anachotaka na kumpa ushauri juu ya kilimo chenye tija na ndo maana tukatoa namba ya simu ili kwa maulizo na ushauri zaid.

unajua kama biashara vitu vinavoweza vuta au shawishi watu ni pamoja na full information. ukiangalia kwenu maelezo hayajitoshelez ni kama vile mnafanya udalali jaribu fungua web ya kenyanseed muone walivoweka data zao. sasa leo hii no. za balton ukipiga ni kama unapiga customer care tigo. maelezo yenu ni nusu kaputi
 
samahani sana kama ulipata usumbufu wowote, tunaomba kujua tatizo lako na tushugulike nalo, tunaomba radhi kwa usumbufu
 
Ndugu wa balton naomba utupe aina za mbegu za nyanya, hoho na wingi wa mavuno wa aina za hizo mbegu, mbegu za greemhouse na outdoor, drip lines mnafumga kwa bei gani 1 acre pamoja na quotation za ukubwa tofauti wa greemhouse
 
habari za leo ndugu mbegu za nyanya na hoho tulizo nazo kwa sasa ni Hybrid shanty na california wonder ambazo hizi zote ni za outdoor, na mavuno ya nyanya kwa nje inaweza kuwa tonnes 15 na ndani ni 4 na nusu , na kwa hoho kwa ndani inaweza kuwa tonnes 3 na nje tonnes 6, kuhusu ufungaji inategemea na eneo lilipo.
 
Msaada utapata ila uandishi wako ni shida aisee! jaribu kuandika kwa ufasaha zaidi ili tukusaidie maana hatulipwi humu ila tutafarijika kusaidia kama mwandiko wako wako utatuvutia.
 
Mbegu nzuri ya nyanya inaitwa TANYA. Kwanza ni nzuri kwa biashara ina gamba gumu la nje pia kwa bei ipo juu.
 
Kilimo bora ndugu sio mbegu tu ni toka kwenye kuandaa shamba,jinsi ya upandaji,njia ya umwagiliaji haswa uangalie maji ya kutumia na kuzuia kusambaza magonjwa,kufanya tying na hata uvunaji so angalia usipoteze hela kwa mbegu bora halafu isikulipe hakikisha unaangalia kuanzia uandaaji wa eneo lako la kilimo,Kila la Kheri
 
Wapendwa naomba mwenye ujuzi juu ya hilo zao naomba tushee ujuzi, pia mwenye mchanganuo kuanzia kulima, mbegu bora hadi kuvuna,nataka nilime nyanya kwaajili ya kuuza, asanten sana kwa michango yenu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom