Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

shmba langu lipo bagamoyo kijiji cha kiwangwa.. mwenye contacts za wauzaji wa miche bora ya papai anisaidie ASAP
 
4f63e00946102dfdc3776d8205d92e78.jpg

Hapa inamiezi sita
 
shmba langu lipo bagamoyo kijiji cha kiwangwa.. mwenye contacts za wauzaji wa miche bora ya papai anisaidie ASAP
Miche jaribu chuo cha kilimo tengeru Arusha na sua Morogoro,ila kua na hakika umeotesha mbegu bora nunua mbegu za papai za kampuni ya mbegu east west wanauza packet ya mbegu nane tsh 2000 na uhakika yote majike ,kununua tu miche watu wote si waaminifu unaweza kula hasara ,papai za east west ndio hio moja wapo niko nao pichani hapo juu
 
nawashukuru wote kwa ushirikiano na ushauri, nimepata msaada mkubwa sana, kupitia mitandao ya kijamii, nimeunganishwa na watu ambao kwa kweli ni msaada mkubwa sana kwangu kwenye shughuli ambazo nataka kuzifanya shambani, mungu awabariki.
 
jamani naomba msaada papai linachukua muda gani kupanda hadi kuvuna hasa kwa mbegu zilizozalishwa maabara (hybrid)
 
Miche jaribu chuo cha kilimo tengeru Arusha na sua Morogoro,ila kua na hakika umeotesha mbegu bora nunua mbegu za papai za kampuni ya mbegu east west wanauza packet ya mbegu nane tsh 2000 na uhakika yote majike ,kununua tu miche watu wote si waaminifu unaweza kula hasara ,papai za east west ndio hio moja wapo niko nao pichani hapo juu
Aisee hizi papai mpaka raha yaani chinichini,duhhh
Hiki kilimo kipo kichwani namie kukianzisha in large scale
 
Mafundisho mwafaka kabisa kutoka kwa Shosi. Aina ya mbegu na aina ya mazao tukizingatia tutaondoa malalamiko ya soko.Tutambue kwanza soko linataka nini ndipo tuzalishe tuache kuzalisha ndipo tunaanza kutafuta soko.]
Navyo ona mm soko Lina msimu pia naweza kwenda sokon nikakuta bamia ndo inaitajika sana ila mpaka nilime bamia maybe miezi3 ukipeleka sokon unakuta sio itaji la soko or nakosea kuwaza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom