Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,904
- 1,976
- Thread starter
- #21
Kwani hakuna mabinti wajeda?
Ndio hapo sasa!!!
Kwani hakuna mabinti wajeda?
Kwani hakuna mabinti wajeda?
Kwa hiyo unamaanisha sisi askari ndo hamnazo?
Kwa hiyo unamaanisha sisi askari ndo hamnazo?
... Khaaaa ! Kwa hiyo unamaanisha dogo hamnazo ?!
MY TAKE : dogo bonge la genius wa elimu ya mtaani.
Mtoto:Babaaaaaa,kila siku unasema nipate mia kwenye mitihani,leo sasa nimeipata!!!
BABA:Ohooo,safi sana,umepata mia kwenye mtihani gani?
MTOTO: HISABATI 30%, KISWAHILA 25%, ENGLISH 25% na SAYANSI 20%!!!!!!! JUMLA...
Hivi nimemuacha mbaba yupo sokoni kutafuta wauza ng'ombe ili wabadilishane na huyu mtoto!!