Kilaza ni kilaza tu!msikie huyu...

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,904
1,976
Mtoto:Babaaaaaa,kila siku unasema nipate mia kwenye mitihani,leo sasa nimeipata!!!

BABA:Ohooo,safi sana,umepata mia kwenye mtihani gani?

MTOTO: HISABATI 30%, KISWAHILA 25%, ENGLISH 25% na SAYANSI 20%!!!!!!! JUMLA...

Hivi nimemuacha mbaba yupo sokoni kutafuta wauza ng'ombe ili wabadilishane na huyu mtoto!!
 
huyo mtoto ni genius ndo maana amewaza hivyo ni wangapi kwani wangewaza hivyo hata baba yake alikuwa hajawahi kufikiri
 
Back
Top Bottom