fundiaminy
JF-Expert Member
- Jun 4, 2009
- 355
- 51
kweli kila kabila lina mila na desturi zake.tazama hii.kabila moja pwani ya kenya linashikilia kwamba ukipatikana na mke wa mtu basi inahitajika kutoa kiasi flani cha pesa kwa kosa hilo.na hii imefikia kwamba mume wa mke anayechezewa gem hufurahia sana anapompata mkewe na kosa kama hilo kwani ni wazi atavuna.haha.wakuu je kuna zingine kali kupita hii?