Kila kabila na mila zake ila hii...!

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
kweli kila kabila lina mila na desturi zake.tazama hii.kabila moja pwani ya kenya linashikilia kwamba ukipatikana na mke wa mtu basi inahitajika kutoa kiasi flani cha pesa kwa kosa hilo.na hii imefikia kwamba mume wa mke anayechezewa gem hufurahia sana anapompata mkewe na kosa kama hilo kwani ni wazi atavuna.haha.wakuu je kuna zingine kali kupita hii?
 
Ila uzuri wa hii adhabu haina kutoana ngeu wala kugeuzana mbuzi. unalipa, mnamalizana.. Kama huna hela huna haki ya kufanyana na mke wa mtu..
 
What about ngoma mazee..nayo inakuwa considered? Unajua waafrika tunapenda sana shortcut wakati kiukweli hakuna realistic shortcut..these guys need to be taken to school to learn how to be sober..lol
 
cha kushangaza shughuli yote ya malipo hufanyika mbele ya jamii.doh!yaani mume mwenzio anakulipa kwa kulala na mkeo.si hiyo ni kama unampa through pass,ndio azidi kula mavi2z.hahaha.
 
kweli kila kabila lina mila na desturi zake.tazama hii.kabila moja pwani ya kenya linashikilia kwamba ukipatikana na mke wa mtu basi inahitajika kutoa kiasi flani cha pesa kwa kosa hilo.na hii imefikia kwamba mume wa mke anayechezewa gem hufurahia sana anapompata mkewe na kosa kama hilo kwani ni wazi atavuna.haha.wakuu je kuna zingine kali kupita hii?
Kwa faida yako na wengine TZ ukimfikisha mtu mahakamani kwa kosa la fumanizi ,kesi itakayofunguliwa ni ile ya MADAI.

Meaning,aliyefumania, kama mlalamikaji, inabidi ALIPWE FIDIA.

Huo ni mkondo rasmi wa Sheria.

Lakini hata TZ makabila mengine mengi tu yana utaratibu kama huo wa hilo kabila la Kenya.
 
Mimi nafikiri hii inachochea watu kutokuwa waaminifu katika ndoa zao. Maana kama mimi ni kibosile ninazo za kuchezea si nitawamaliza wanawake wote wazuri mtaani? as long as I can pay their husband!!

Na pia inazidi kuchochea maambukizi ya UKIMWI maana kama ninao na wao wanaona dili maana wanapata pesa yangu si nitawapa pesa kama fidia na virusi kama zawadi!!?

All in all wanawake wanaotembea nje nao waadhibiwe kwa sababu muda si mrefu watatumiwa kama chambo cha kuwatajirisha wanaume zao wasipoangalia!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom