Kikwete's 'Maisha Bora kwa Kila Mtanzania'

Huyu mzee kaamua kuandika kabango kake kadogo tu:

a1.jpg
 
Kikwete yeye anatuma magari yaliyotumiwa na serikali za makaburu kukandamiza weusi:

29102008%28005%29.jpg
 
Huyu mtoto akabwaga manyanga, akaamua kunywa maji yaliyoletwa na kasi, ari na nguvu mpya:

Dirty+water.jpg
 
hawa walitakiwa kuwa shule sasa hivi, ila kwa vile wana viherehere, wataishia kupata mimba na kurudi darasani wakichuruzika maziwa (kwa mujibu wa Kikwete):

malibwi_water_children_op_.jpg
 
haaaa, njia ya kwenda home sweet home

472127027_716e1cc066.jpg


Ingebidi na mimi niwe na ndege ya fahari kama mama Kikwete:

2241536655_540d01c2cf.jpg
 
Hawa wanahitaji bajaji za kikwete ili waende kutibiwa kwingine, hii zahanati ya kijiji inawayeyusha:

4.JPG
 
Huyu mama anajuta kwa nini anataka kumpigia Slaa kura wakati serikali ya Kikwete na ccm wanamlinda asidhuriwe na kemikali za kampuni la kifisadi la Barrick:

 
Ningeambiwa leo kuwa hali hii itarekebishwa kwa mtutu wa bunduki, sina hakika kama nitasita kushika mtutu...
Hapana, haina haja ya mtutu... Mambo mengine ni kuelezana, kuna siku hata wasiosikiliza watasikiliza mkuu wangu!

b714qt.jpg
 
Mchango wako wewe ni upi katika kuhakikisha kila mtanzania anapata maisha bora?Au unasubiri kikwete/serikali ikugawie pesa, ndipo uwe na maisha bora? Maisha bora hayaletwi na mtu mmoja ,bali yanaletwa na watanzania wote wenye nguvu na akili timamu kwa kufanya kazi kwa bidii

Kwani nani aliyeahidi wadanganyika MAISHA BORA??
 
mimi natilia shaka kiwango cha ujinga cha mtu anaeichagua cccm, inakwaza sana.
 
sasa kama mnadandanyika na yeye anapata riziki kuna tabu gani?

FYI: Safari hii ni ai zaidi, kasi zaidi na nguvu zaidi zaidi na zaidii........
 
OOOH NO JAMANI MBONA CHOZI LIMENIPOROMOKA KWENYE HII PICHA...
03.jpg
:A S confused:

Vijisenti tuu, EPA, Radar, ATCL, BoT, ...labda marehemu Governor Balali angekuwa hai angesema ukweli woooooooooooooooooooottttttt:mad2:eeeeeeeeeeee
CCM!!!
 
Back
Top Bottom