Kikwete's 'Maisha Bora kwa Kila Mtanzania'

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Wakuu,

Baada ya kuangalia picha hizi nimejikuta nalazimika kuwashirikisha link ili mjionee hali halisi ya maisha ya watanzania wenzetu:
b714qt.jpg


03.jpg

The two photos above show an old woman called Loi, in front of and in her house in Ibwaga Village. She has lost her sight with age, and lives with her daughter who is deaf. They normally depend on farming for their livelihood but last year their farm was among many others that were destroyed by the December floods in Kongwa District. At the time photograph was taken they had stock of only ten kilos of "uwere" left.

04.jpg



Zaidi endelea hapa:


Pres. Kikwete's "Maisha bora kwa kila Mtanzania" « JamiiForums|TMF Blogs
 
mkuu hii inauma sana kusema kweli na ukiangalia ufujaji unaoendelea kwenye serikali yetu.

Kama vipi tufungueni jamiiforum foundation kujaribu kuwasaidia ndugu zetu wa kitanzania kama hawa kwani sidhani kama serikali yetu inajali kabisa.kama hipo foundation humu nitafurahi kuijua.
 
Hizi ndio picha hao wanaojiita wapinzani wanaweza kuzitumia wakati wa kumuumbua Kikwete na CCm yake wakati wa kampeni!! Hata hivyo sidhani kama wana capacity ya kufanya hivyo!!
 
Haya maisha na mimi nimeyaishi, hapo usiwaambie kitu kuhusu CCM. Kwa hiyo kama kuna mtu anaona kwamba maisha hayo siyo bora ni wewe na mimi, maana wao ukikutana nao wanalalamika, ukija uchaguzi, ni wao na CCM.
Umasikini wa watanzania ni mtaji mkubwa sana wa CCM. Na wataendelea kuwafanya watanzania wawe masikini hivyo hivyo ili waendelee kushinda.
 
Nianze na kauli mbiu yangu: Miafrika Ndivyo Tulivyo! Kama kuna anayebisha basi na aje hapa anithibitishie visivyo na mimi nitaifutilia mbali.

Kingine, hivi kwani ni lini sisi (Tanzania/Afrika) tumekuwa na maisha bora? Kipya ni kipi hapo ktk hizo picha mpaka tumenyike kwa mshangao hivyo? Mbona hii hali ipo tokea enzi na enzi na wala hauhitaji kukata mbuga kwa sana kuiona? Sasa kipi cha ajabu hapo kinachouma sana?

Mwisho, hivi kweli mpo/wapo miongoni mwenu walioiamini hiyo kauli mbiu ya kampeni ya uraisi ya Kikwete? Kwamba eti ataleta maisha bora kwa kila Mtanzania...hayo maisha bora angeyaletaje? Angeyatoa wapi? Kisimani? Mimi katu sikumwamini. Nilijua ni yaleyale tu ya kuchonga domo kama ilivyo jadi yetu.

Namalizia kwa kusema: wenye uwezo hutenda na wasio na uwezo hujifanya wanao kwa kuongea. Wangekuwa wanaweza wangekuwa washatenda.

Alamsiki wana Jamiiforum! Ni mimi wenu mtiifu,

Nyani Ngabu/ Brasil.
 
Thank you Ngabu,

I never believed in what he ever promised...I didn't vote, there was no one else to vote for. No wonder he won...

I am looking, desperately this time..for a man/woman who is worth my vote..na sijaona! Nahisi kuipoteza haki yangu ya msingi yet again this time!

Nitajitahidi kupiga kura ya mbunge na diwani wangu wa kata...

If only God will hear our cry and come to save us.. Please God, send us a man who will lead Your people in the fear and guidance from You! A man who will live as an example...

Meanwhile I know what I can do...I will try to the best of my ability and to the extent of my blessings to help my fellow man..my fellow Tanzanian who is unprivileged and disadvantaged in some way. Most probably he didn't choose to be that way...he didn't choose to be born here..didn't choose to be led by such selfish egocentric 'leaders'...didn't choose to live in the inner parts of the country..where the school was 10km from home and he had to walk on bare feet...didn't choose to skip meals but had to because no one cared for him...

Thank You Lord, for I was privileged to be where I am...You have been my Eben-ezer!

Use me Lord, as a vessel to bless Your people..to do that which is within or even without my capacity to do...

In alll these, help me Lord,

Amen.
 
07.jpg


A young boy Village walks more than 20 kilometres in one week to collect firewood.

03.jpg


The two photos above show an old woman called Loi, in front of and in her house in Ibwaga Village. She has lost her sight with age, and lives with her daughter who is deaf. They normally depend on farming for their livelihood but last year their farm was among many others that were destroyed by the December floods in Kongwa District. At the time photograph was taken they had stock of only ten kilos of ”uwere” left.

05.jpg


Above, Ekilia Ngonyani, 46 is a single mother raising five children alone. She is also suffering from an unestablished condition that has caused her stomach to swell up and has been for the past 16 years. She cannot afford to go to a 'big hospital' as advised by the doctor in her village. For a living she walks 14 kilometres thrice a week to buy vegetables in a village called Tubugwe and only gets Sh2000 in profit for her trouble.




KUSEMA KWELI HIZI PICHA NDO ZIMENIUMA tANZANIA INAELEKEA WAPI??
 
Nimesikitika sana, hayo maisha bora kwa kila mtanzania hayapo kabisa. usemi huu ni wizi tuu. Still they are in for the next 5yrs of blander and this time it'll be worse !! uwiiiiii ..." MIX WITH YOURS "
 
OOOH NO JAMANI MBONA CHOZI LIMENIPOROMOKA KWENYE HII PICHA...
03.jpg
:A S confused:
 
kawaida tu, kijijini kwetu hay mambo nayashuhudia kwa macho yangu bora nyie mnaolizwa kwa picha.

huyo bwana mdogo alobeba kuni kanikumbusha tu machungu nlopitia.

kwangu hakuna jipya na nakubaliana na NN
 
Mi sioni ajabu. Kwa maisha bora kwa kila mtanzania angalia watoto wa wakulima walivyo. Hawa ni wanafunzi wa shule ya msingi huko vijijini kwao na mwanakijiji.
IMGP7799.JPG

attachment.php
 
DSC04941.JPG

DSC04942.JPG
DSC04944.JPG
DSC04945.JPG
DSC04947.JPG
DSC04982.JPG

Licha ya wananchi hao kuonekana wenye furaha lakini wana uzuni tupu,kwani wanalalamika kuwa wamekuwa wakicharazwa viboko na mzungu mmoja kwa kile kinachodaiwa ni ugomvi wa ardhi baada ya mzungu huyo kumilikshwa eneo lao na Serikali.

Picha na maelezo kwa hisani ya Blog ya Mathias Byabato
 
Hayo siyo Maisha Bora bali ni BORA MAISHA! Angalia walivyochoka, utadhani wakimbizi?
 
Kweli haya ndio maisha bora!
HAYA NI MAISHA MABOVU KWAKILA MTZ,ALAFU MI NASHANGAA,HV TZ NI DAR AU?inakuaje RAIS KIKWETE anaahd kujenga fly overs da-S-lam wakat kijijini kwetu MATOBORO Watu hawana hata barabara za kuwafikisha kwenye maeneo maalumu kama mahospitalini,mashuleni n.k.
Jaman nisaidien jins ya kupost topic kwenye hii forum.
 
HAYA NI MAISHA MABOVU KWAKILA MTZ,ALAFU MI NASHANGAA,HV TZ NI DAR AU?inakuaje RAIS KIKWETE anaahd kujenga fly overs da-S-lam wakat kijijini kwetu MATOBORO Watu hawana hata barabara za kuwafikisha kwenye maeneo maalumu kama mahospitalini,mashuleni n.k.
Jaman nisaidien jins ya kupost topic kwenye hii forum.

duh...hali mbaya. hata mtangazaji alieshika kisemeo (mic) kachoka!!!.

Kupost New topic Mkuu..click "forum" nenda kwenye Title ya forum husika, click hapo kwa juu kushoto utakutana na " Post New Topic" click, andika "title" kisha endelea, ukimaiza "submit"...
 
Haha kauli za JK ni za kisiasa zaidi jamaani wandugu wapendwa!!
Tanzania ni nchi tajiri ya kwanza kutoka mwisho.
 
Back
Top Bottom