Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 78
Nakumbuka sana maneno ya Prof Lipumba aliye wahi kusema kuwa huyu mzee mzima anawezi kuongozi na pia itakuwa mbaya sana kuona kuwa watu na Watanzania tena tutarudia yale yale kwa kipindi kingine ambacho macho yetu na roho zetu zinakuwa in election MWanakijiji. It is really awful when we are thinking about Tanzanian Mwanakijiji. Na kusema kuwa itakuwa vipi.. Maana siku hizi unakuja na hasira nyingi sana mpaka unashindwa kuandika na kuweka katika viporo kibao juu ya Tanzania, Uliwahi kutoa ushauri wa Bure kwake?? Je uliwahi kupata hata email toka kwao?? Je anakusudia kuomba kipindi kingine tena. Tunasubiri tena haya X-projectHe assumed the office of the presidency with fanfare and with an overwhelming mandate he ascended to power. He was called to lead. He has miserably failed and now he has become a good follower. Discuss.