Kuanzia Kikwete aingie madarakani, mfumo wa kisiasa ndani ya CCM umekuwa wa kutisha sana kiasi kuwa sioni njia njema mbele yetu. Akitoka Kikwete, naona kama vile tutapata watu kama Lowassa.Rostam, Nchimbi, Makamba au Mahanga au Guninita, and the list goes on. Watu hawa wasingewamo kwenye list ya Salim. Ni kweli kuwa Dr. Salim kama binadamu mwingine yeyote ana udhaifu wake, lakini asingekuwa na udhaifu mkubwa kama huu wa Kikwete.
Hiyo list mkuu hamna kitu kabisa. Bogus to infinity!