Kikwete: Unprepared to lead

He assumed the office of the presidency with fanfare and with an overwhelming mandate he ascended to power. He was called to lead. He has miserably failed and now he has become a good follower. Discuss.
Nakumbuka sana maneno ya Prof Lipumba aliye wahi kusema kuwa huyu mzee mzima anawezi kuongozi na pia itakuwa mbaya sana kuona kuwa watu na Watanzania tena tutarudia yale yale kwa kipindi kingine ambacho macho yetu na roho zetu zinakuwa in election MWanakijiji. It is really awful when we are thinking about Tanzanian Mwanakijiji. Na kusema kuwa itakuwa vipi.. Maana siku hizi unakuja na hasira nyingi sana mpaka unashindwa kuandika na kuweka katika viporo kibao juu ya Tanzania, Uliwahi kutoa ushauri wa Bure kwake?? Je uliwahi kupata hata email toka kwao?? Je anakusudia kuomba kipindi kingine tena. Tunasubiri tena haya X-project
 
Kikwete was never a leader before even being called to lead the nation! Can anybody show me any consequential thing or issue that he showed leadership on prior to becoming president?

Read between these lines: Subsequent to that, as Minister for Finance in 1995 he gave crucial support to what was seen as an alien concept, that is providing payment and currency convertibility guarantees to private investors.
 
Last edited:
"His Excellency Jakaya M. Kikwete, now the President of Tanzania, was also given an award [for 'extraordinary contribution to the success of the Songo Songo project'] on the same occassion. Patrick Rutabanzibwa [the then PS of the ministry responsible for energy] said of him:

As Minister of Water, Energy and Minerals from 1990 to 1994 he guided the initial Project negotiations with Ocelot [one of the original sponsors of the Songo Songo gas-to-electricity project, which subsequently became PanAfrican Energy]. In 1994 he selected the original sponsor, Ocelot and TransCanada PipeLines, over their rival for the Project, Enron. Subsequent to that, as Minister for Finance in 1995 he gave crucial support to what was seen as an alien concept, that is providing payment and currency convertibility guarantees to private investors.

While we successfully drilled for natural gas, we also continued to invite oil companies to explore for petroleum in Tanzania" - Al Noor Kassum's 'Africa's Winds of Change: Memoirs of an International Tanzania' page 128.

I'm not buying this. It looks more like a padded resume....
 
Kwa maoni yangu binafsi sehemu kubwa ya kushindwa kwa Kikwete kunatokana na expectations za watu walizokuwa nazo juu yake.
 
You don't have to. There are so many buyers out there. In the 'free market'!

I was never sold on him from the beginning of his quest to become president and I'm proud to say I was right on the money even though I was seen by many as being weird or strange. But look now...who's laughing? Who's having buyer's remorse? And I'm here gloating and saying 'see, I told you so!'
 
Kwa maoni yangu binafsi sehemu kubwa ya kushindwa kwa Kikwete kunatokana na expectations za watu walizokuwa nazo juu yake.

But didn't he build up that expectation by promising maisha bora kwa kila Mtanzania?
 
But didn't he build up that expectation by promising maisha bora kwa kila Mtanzania?

Yeah he did and the stupid people believed him without asking 'what have you done for us lately'? Stupid dumb Africans
 
But didn't he build up that expectation by promising maisha bora kwa kila Mtanzania?

That's correct. Lakini toka tumepata uhuru huo ndio wimbo? Kwa mimi ambaye sikutegemea chochote i don't see any difference.
 
That's correct. Lakini toka tumepata uhuru huo ndio wimbo? Kwa mimi ambaye sikutegemea chochote i don't see any difference.
Kwake yeye au mwanasiasa lazima angefanya hivyo tatizo ni mfumo mbaya na ule ule, tatizo pia yeye mwenyewe anaweza kuwa analifanya au Mimi sikutegemea chochote kile toka kwake, hata haya ya leo tunaona sishangai hata kidogo
 
- It is a high time sasa, tuka-discuss who is an-alternative in the spirit of looking at the big picture yaani our nation, can we?


Respect.

FMEs!

Najua kuwa CCM watampitisha kugombea tena na bado atashinda kwani wapiga kura walio wengi hasa huko vijijini hawaelewi kuwa hali ngumu ya maisha waliyonayo sababu kubwa ni CCM na uongozi wake mbaya. CCM wameifanya nchi kuwa kama kampuni ya watu wachache wenye kuweza kufanya biashara ya kitapeli na kula wao huku wananchi waliowengi wakiendelea kuteseka katika lindi la umaskini uliopitiliza.
 
Can you Imagine
Rais wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu
anasema mafisadi wana mbinu zaidi katika kulinda madudu yao? (Not exact quote)

That's just ridiculous. That shows the country that he has no intention to bring this corrupt leaders to the court of law.

I hope
did not hear that statement coming from his neighbor!
 
He is simply not qualified for that position and in my opinion he is not qualified even for a deputy minister's position.
 
Kila Mtanzania, hata mtoto mdogo, anelewa jinsi JMK alivyoshindwa kama Rais wa Tanzania na mwenyekiti wa chama chenye historia ya pekee africa (CCM)! Dalili ziko kila mahala, si serikali wa CCM wenye kujua wanakoelekea! Serikali haina mwelekeo, kila siku inaibuka na jipya wakati la awali halijawa! Tutatokaje chini ya shimo la kukosa uzalendo, wizi na ubadhirifu (ufisadi), kushindwa kujiamini na kuabudu wenye pesa, uzembe na kukumbatia wezi kwa jina la wawekezaji, alikotusukumizia? Kazi tunayo lazima tuifanye, tuiokoe nchi yetu! Fukuza kazi CCM wote 2010!
 
Bwana Mtoto,

Tatizo viongozi wetu wengi hawajui nini maana ya kuwa kiongozi na ni jinsi gani ya kuuendesha utawala bora mbali na kuwa na mifumo mizuri ktk nchi yetu kwani tatizo kubwa hapo ni Viongozi kuogopana na kupeana madaraka hapo wategemea huo mfumo utaongozwa kwa sheri na utawala bora???? Litakapo ondoka hilo jinamizi la kupeana madaraka na kuchaguana na kuogopana ktk utendaji ndani ya siasa na serikalini basi tutasonga mbele bila shida. Huyo Pinda wazani ataweza leo kwani kuna vibaraka huko white house na kwenye sekta nyingi tu za serikali wanjiona wao ndio washika dau kwa hii nchi bila wao ati hakitowezekana na ndio washauri wabovu na wanaipeleka nchi pabaya.

Ikulu ikipata washauri wazuri am telling you to natoka na twafika mbali ila pale ndipo panashida ikulu na kuna watu wasafishwe kwanza jamani.

good point/s..........hilo ni tatizo kubwa sana..........hivi sasa vijana wakimuona JK tu ni kubana mikono na kujipendekeza.....issue zikitokea inakuwa zimamoto style........

Its true JK hakuwa tayari........timu yake ilitakiwa kuwa na dizaini ya watu kama Magufuli, Sefue, Bukuku and the REAL Lowassa and the likes...hawa wtu kwa kweli ukikutana nao they on top of whatever assignment they are given....ukiondoa matatizo madogo madogo ya kibinadamu.........

,,,cha kushangaza JK kachagua akina Chiligati, Ghasia, na the rest are mediocres........damn........YES, todate JK is unprepared to lead
 
good point/
,,,cha kushangaza JK kachagua akina Chiligati, Ghasia, na the rest are mediocres........damn........YES, todate JK is unprepared to lead
Mimi hapo sijashangaa. Birds of the same feather. Umemsahau pia Kawambwa.
 
Mimi sina muda wa kujadili hapa Mkuu na mimi tulisha malizana wale walio mpigia debe ndiyo waingie kwenye mjadala .
 
Kikwete hakuwa amejiandaa kuongoza nchi, bali aliandaliwa na kikundi cha watu ili wamtumie kwa ajili ya maslahi yao binafsi.

Kwanini wamlimuona anafaa, kwa sababu mwaka 1995 alichuana vikali na BWM na akamtoa jasho, kwa hiyo bado alikuwa anaonekana kwamba anaweza kuuzika kirahisi kuliko wengine. Pia ninadhani kikundi cha watu waliomtumia walishajua weaknesses zake kwamba huwa hana maamuzi, Mr. YES MAN, kwa hiyo ingekuwa rahisi kum-control kwa kutumia remote na ndivyo ilivyo sasa hivi.

Lowassa alikuwa anautaka urais kwa udi na uvumba, lakini baada ya kupewa ukweli na Mwalimu mwaka 1995, hakuwa na jeuri ya kufikiria kugombea urais mwaka 2005, alihitaji kipindi cha miaka 5 au 10 awe mbele ya macho ya wananchi afanye kazi na ajisafishe kwamba ni mchapa kazi na yale maneno ya Mwalimu (RIP) hayakuwa na ukweli wowote. Ndiyo maana JK alimteua kuwa PM huku akijua wazi kwamba anafanya kosa, lakini hakuwa na jinsi maana miko yake ilikuwa imefungwa na wanamtandao kwa kuwa ndiyo waliomsaidia kufika hapo alipo.

Ndani ya kundi hilo hilo kulikuwa na wafanyabiashara wenye kofia za uana siasa ambao walikuwa na malengo ya kumtumia JK kwa ajili ya maslahi yao binafsi ili waweze kujilimbikizia zaidi utajiri wakati JK akiwa madarakani. Pia kulikuwa na wana siasa waliokuwa wanasubiri zawadi ya post za kuteuliwa hata kama hawakuwa na uwezo nazo.

Hata kama angekuwa amejiandaa kiasi gani, kitendo cha yeye kukubaliana na kundi la opportunists a.k.a "wanamtandao", lilikuwa ni kosa kubwa maana malengo wanamtandao yalikuwa ni kwamba sasa zamu yao ya kula imewadia na hivyo walikuwa wanasubiri ama biashara zao zishamiri kwa kupendelewa au wapewe posts nzito nzito hata kama hawana uwezo nazo.

Katika mabadiliko madogo na makubwa ya baraza la mawaziri tumeshuhudia akiendelea kuwazungusha watu wale wale na wengi wao tayari walikuwa na kashfa ama utendaji wao ulikuwa mbovu. Ameendelea kuwabeba watendaji wengi wa serikali hata kama wana matatizo, kwa kuwa watendaji hao ama wana connections na watu waliomsaidia kufika Ikulu ama ana uswahiba nao wa moja kwa moja.

Kosa alilofanya ni kuanza kuteua timu ya watendaji kwa kuangalia ndani ya wana mtandao pamoja na maswahiba. The biggest mistake ilikuwa ni kumfanya EL kuwa waziri mkuu na hivyo EL alipata nafasi ya kutoa ushauri kwenye uteuzi wa cabinet, makatibu wakuu, wakuu wa wilaya/mikoa, wakuu wa idara za serikali na hata viongozi wa bodi za mashirika na taasisi za umma. Lowassa kwa kuwa alikuwa na harufu ya ufisadi na pia malengo ya kugombea urais hapo baadaye, lazima wateule wake wangekuwa ni ama wenye uwezo wa kulinda maslahi yake au watakaomsaidia kwenye mbio za kuelekea kwenye urais pindi wakati muafaka ukiwadia.

Matokeo ya hayo yote JK amebaki hana option zaidi ya kuendelea kuwakumbatia hao rafiki zake huku na yeye mwenyewe akiendelea kuonekana ni fisadi mbele ya wananchi japo anajitahidi kujitetea, kujisafisha na kujiweka mbali, but kwa kuwa maswahiba bado wameshikilia mpini hana jinsi inabidi awe mpole tu na kukubaliana na matakwa yao.
 
he is simply not qualified for that position and in my opinion he is not qualified even for a deputy minister's position.
acha kuongea kishabiki na kwa dharau
kikwete hafai sawa,lakini huwezi sema hafai hata kuwa naibu waziri????nani anaefaaa???????

Every nation get the leaders it deserves,kiwete hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kwa nchi zilizoendelea,lakini kwa tanzania anafaa sana tu,tatizo nyinyi mawazo yenu yanazunguka kwenye circle za watu wenye elimu ya chuo kikuu tu peke yake,wakati wapiga kura ni 95 percent ni mambumbu.and he is their president,maybe he is not ur president but wewe
unawakilisha percent ndogo sana ya watanzania.wanajf peke yake wako elfu nane katika wapiga kura milioni 40,kuielewa tanzania na watanzania tokeni maofisini muende m,ikoani vijijini,
 
Back
Top Bottom