Kikwete: Unprepared to lead

Mama Anna Kilango jiandae kuchukua nchi,...najua mwakani utaogopa sababu Mzee Malecela atakukoromea. Ila 2015 piga ua chukua fomu tukupe nchi.... Mlio karibu na Mama Kilango mwambieni ajiandae kisaikolojia, tunamsubiri kwa hamu aje kufyeka fyeka upuuzi unaotuharibia nchi. Mama njoo kiti chako kile kinakungojea.

Asiyeunga mkono atoe jina mbadala tuwalinganishe.... So far mama nyota yake ipo juu.
 
acha kuongea kishabiki na kwa dharau
kikwete hafai sawa,lakini huwezi sema hafai hata kuwa naibu waziri????nani anaefaaa???????

Every nation get the leaders it deserves,kiwete hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kwa nchi zilizoendelea,lakini kwa tanzania anafaa sana tu,tatizo nyinyi mawazo yenu yanazunguka kwenye circle za watu wenye elimu ya chuo kikuu tu peke yake,wakati wapiga kura ni 95 percent ni mambumbu.and he is their president,maybe he is not ur president but wewe
unawakilisha percent ndogo sana ya watanzania.wanajf peke yake wako elfu nane katika wapiga kura milioni 40,kuielewa tanzania na watanzania tokeni maofisini muende m,ikoani vijijini,

Hah! hah! Boss mbona unajidhalilisha kiasi hiki? Yaani unafurahia kuongozwa na mtu ambaye hafai hata kuwa kiongozi wa nyumba 10 katika nchi zilizoendelea!!

Tafadhali waombe watanzania msamaha kwa kuwaambia kuwa ni mbumbumbu na kwaajili hiyo wanafaa kuongozwa na kiongozi mbumbumbu.
 
duuuhhh..........haya bana
 
hehehe
He is another just like others (exclude Nyerere).
Juzi nilitembelea website ya ccm nikasoma hotuba ya Mwinyi akifafanua namna walivyoliua azimio la arusha kule zanzibar. Ile ndiyo ilikuwa mwanzo wa mwisho wa chama-ume. Ile speech ambayo wajumbe walikuwa wnaishangilia kila kituo niliiona tooo shallow and lack of knowledge kwani hata mifano iliyotumika ni imposible, just like FISI kustuff kwenye mawe akidhania yatabadilika kuwa mifupa.

JK alipaswa kukubali ushauri wa kuanza upya badala ya kuendeleza matata ya aliyetangulia,,....
 
Obama alisema (I don't remember the exact words) but something like this: "Africa does not need strong leaders, it needs strong institutions". What about that?
 
- It is a high time sasa, tuka-discuss who is an-alternative in the spirit of looking at the big picture yaani our nation, can we?

Respect.

FMEs!

I suggest Mr Six
to be the altenative choice. He seems to be serious, and ready to fight againts those mafisadi. nakumbuka aliwahi kumwambia president bungeni bila ya woga kwamba aache upole na kuleta ubinadamu kwa watu ambao wanahujumu uchumi. sijawahi kusikia kiongozi mwingine awamu hii ambaye ambaye alimwambia JK kiunaga ubaga.
 
Obama alisema (I don't remember the exact words) but something like this: "Africa does not need strong leaders, it needs strong institutions". What about that?

A strong leader can be a strong institution by him or herself e.g. Ronald Reagan and Margaret Thatcher...
 
Obama alisema (I don't remember the exact words) but something like this: "Africa does not need strong leaders, it needs strong institutions". What about that?

Its true that institution aliyopo mtu inampa nafasi kubwa kuonyesha mafanikio katika kile anachosimamia. Lakini tumeona baadhi ya mawaziri ndani ya mfumo huo huo ambao yeye JK anasimamia wakionyesha japo kuthubutu kuleta mabadiriko wakati yeye kasindwa, mfano Pombe. Sasa yeye kwa nini asionyeshe njia ili sisi tuamini kuwa ni institution framework inakwamisha kama ilivyo kwa Sitta.

Hoja ya msingi nadhani ni kukosa vision, na bahati mbaya hata baseline walizo weka kama vile programme mbali mbali yaelekea hazielewi vema. Hivyo inamuwia vigumu yeye kujua anatupeleka wapi na alitakiwa kutupeleka wapi.

Its very clear kwamba hatuna viongozi, walipo wako kwa niaba yao na matumbo yao.
 
Tahadhari kwa mtazamaji: Inaitwa Gospel TV usijali, content are non-Gospel.
Hawa Ndio Viongozi wetu
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=FYLZ0Gs89-4[/ame]
 
Boss said:
he founded tra.

Boss,

..he only "managed" the transition frm Customs and Income Tax Depts to TRA.

..TRA yenyewe iliundwa kutokana na recomendations za Presidential commision which was under the chairmanship of Edwin Mtei.

..The secretary of the commision, i have forgotten his name, was a retired Deputy PS of Ministry of Finance[tax and revenue] and former Commisioner of Income Tax.
 
Hah! hah! Boss mbona unajidhalilisha kiasi hiki? Yaani unafurahia kuongozwa na mtu ambaye hafai hata kuwa kiongozi wa nyumba 10 katika nchi zilizoendelea!!

Tafadhali waombe watanzania msamaha kwa kuwaambia kuwa ni mbumbumbu na kwaajili hiyo wanafaa kuongozwa na kiongozi mbumbumbu.

kwa hiyo sisi ni taifa la werevu???????ambalo hata rostam aziz anafanya analotaka???????
 
Kwa maoni yangu binafsi sehemu kubwa ya kushindwa kwa Kikwete kunatokana na expectations za watu walizokuwa nazo juu yake.

you mean people got less than what they expected? but then what was the basis of such an expectation?
 
Obama alisema (I don't remember the exact words) but something like this: "Africa does not need strong leaders, it needs strong institutions". What about that?

Hizo institutions zinatoka wapi na ni nani anasimamia ujenzi wake? I don't think Institutions make strong leaders; ni viongozi wanaojenga taasisi zenye nguvu. It starts with leaders.
 
He assumed the office of the presidency with fanfare and with an overwhelming mandate he ascended to power. He was called to lead. He has miserably failed and now he has become a good follower. Discuss.

True,

I knew this guy was a playboy, and I believed that a serious person like Dr Salim would easily crush him; but I was wrong. Tanzania seems to be a country of playboys and playgirls, and we ended up choosing a playboy who speaks our tone. So?

Tuliyataka wenyewe. Kuna wimbo uliimbwa na mlimani park mwanzoni mwa miaka ya themanini huu hapa:

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=UsfXcyuquhA[/ame]

Kuanzia Kikwete aingie madarakani, mfumo wa kisiasa ndani ya CCM umekuwa wa kutisha sana kiasi kuwa sioni njia njema mbele yetu. Akitoka Kikwete, naona kama vile tutapata watu kama Lowassa.Rostam, Nchimbi, Makamba au Mahanga au Guninita, and the list goes on. Watu hawa wasingewamo kwenye list ya Salim. Ni kweli kuwa Dr. Salim kama binadamu mwingine yeyote ana udhaifu wake, lakini asingekuwa na udhaifu mkubwa kama huu wa Kikwete.
 
True,

I knew this guy was a playboy, and I believed that a serious person like Dr Salim would easily crush him; but I was wrong. Tanzania seems to be a country of playboys and playgirls, and we ended up choosing a playboy who speaks our tone. So?

Tuliyataka wenyewe. Kuna wimbo uliimbwa na mlimani park mwanzoni mwa miaka ya themanini huu hapa:

http://www.youtube.com/watch?v=UsfXcyuquhA

Nafikiri wakati umefika wa kuanza kuonesha kuwa ni kwanini CCM is irrelevant linapokuja suala la mabadiliko.
 
Nafikiri wakati umefika wa kuanza kuonesha kuwa ni kwanini CCM is irrelevant linapokuja suala la mabadiliko.

CCM walipo sasa hawawezi kuleta mabadiliko yoyote kwani ni sawa na mtu aliyesinzia wakati anaendesha mkokoteni darajani. Inatakiwa "wadanganyika" tupige nyoyo zetu konde tuwaondoe Kikwete na CCM wenzake madarakani.
WAKATI WA MABADILIKO NI SASA.
 
True,

I knew this guy was a playboy, and I believed that a serious person like Dr Salim would easily crush him; but I was wrong. Tanzania seems to be a country of playboys and playgirls, and we ended up choosing a playboy who speaks our tone. So?

Tuliyataka wenyewe. Kuna wimbo uliimbwa na mlimani park mwanzoni mwa miaka ya themanini huu hapa:

http://www.youtube.com/watch?v=UsfXcyuquhA

Kimsingi tafsiri ya kiongozi bora walio nayo CCM ni tofauti kabisa na ile tuijuayo katika nadharia za uongozi. Kwa CCM ukishakuwa na sifa na uwezo ni tatizo, hutakiwa. Ili uchaguliwe katika CCM unatakiwa usiwe makini, uwe mbabaishaji, uwe mswahiliswahili hivi, mtu wa mzaha, ujanjaujanja, na sifa zingine kama hizo. Ndio maana hata BWM alipita kwa nguvu kubwa sana ya Nyerere, vinginenevyo mtu kama Mkapa haingii kabisa katika sifa za uongozi wa CCM. So I was not surprised kwamba wana CCM walimweka pembeni Salim-kosa lake kubwa ni kwamba yupo makini na ana uwezo.
 
Back
Top Bottom