Jakaya Mrisho Kikwete, My favourite president!

El Roi

JF-Expert Member
May 29, 2020
263
502
Ni jambo la kushukuru Mungu kwamba, binafsi nimeishi wakati wa Marais wote walioitawala nchi hii.

Nimeanza na Mwl na Sasa Samia suluhu Hassani.

Ukweli usemwe, Jm Kikwete looks the best president this country has ever had.

Namiss, uwazi wake serikalini katika kuendesha mambo, Uungwana wake na utu, utekelezaji wa mipango mikubwa ya maendeleo bila kelele.

Uhuru wa kufanya siasa, kujenga nchi ya kistaarabu na ustaarabu.

Kutuachia pesa mifukoni na tukafanya maendeleo yetu.

Kwa kuwa Mheshimiwa suluhu hajamaliza muda wake , nionavyo, the canon stick kupima maendeleo ya utawala wake ni JM Kikwete.

Madam President, look up to Jm Kikwete as you lead this country.

The only spot on the white paper of Jakaya's performance, was the failure to accomplish the process he initiated to bringing a new constitution in place.

Hata hivyo, this gentleman remains my best president of all, leave alone the current president who will equally match him, If she dares to bring on the new constitution.
 
Wewe utakuwa ni fisadi kama yeye, uwazi unasaidia nini watu walikuwa wanachota pesa kwenye magunia na hawafungwi? kutuachia katiba mbovu ikazaa dikteta, nyie wazee inabidi muondoke kwanza ndiyo nchi ipate maendeleo ya kweli. Shame on you
 
Ni jambo la kushukuru Mungu kwamba, binafsi nimeishi wakati wa Marais wote walioitawala nchi hii.

Nimeanza na Mwl na Sasa Samia suluhu Hassani.

Ukweli usemwe, Jm Kikwete looks the best president this country has ever had.

Namiss, uwazi wake serikalini katika kuendesha mambo, Uungwana wake na utu, utekelezaji wa mipango mikubwa ya maendeleo bila kelele.

Uhuru wa kufanya siasa, kujenga nchi ya kistaarabu na ustaarabu.

Kutuachia pesa mifukoni na tukafanya maendeleo yetu.

Kwa kuwa Mheshimiwa suluhu hajamaliza muda wake , nionavyo, the canon stick kupima maendeleo ya utawala wake ni JM Kikwete.

Madam President, look up to Jm Kikwete as you lead this country.

The only spot on the white paper of Jakaya's performance, was the failure to accomplish the process he initiated to bringing a new constitution in place.

Hata hivyo, this gentleman remains my best president of all leave alone the current president who will equally match with him, If she dares to bring on the new constitution.
Jakaya huyu huyu alieuwa wazanzibar? Au wapo wawili??
 
Awamu ya nne ilitambulika kwa ufisadi kuliko maendeleo. Watu walijichukulia mali za umma kwa jinsi ya mtu alivyotaka
 
Benjamin William Mkapa
Yule aliandaliwa haswa na haimbwi wala haringi

Hakuna rais alitia nchi hasara kuliko mkapa.

Yeye mwenyewe alijiuzia kiwanda cha sukari. Akajiuzia nyumba ya serikali sea view. Akajiuzia nyumba ya serikali lushoto.

Mkapa ndie alipitisha hela za Epa zichotwe BOT. Halafu alivyo mpumbavu akajifanya anaomba msamaha kwenye kitabu chake.

Mkapa ndie rais fisadi na mwizi kuliko wote kuwai kutokea Tanzania
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Benjamin William Mkapa
Yule aliandaliwa haswa na haimbwi wala haringi

Ila ile kitendo Cha Joseph Nyerere aliyekuwa mbunge wa Musoma wakati wa kampeni huko Arumeru mashariki kusema kuwa Mkapa ndio aliyemuua Nyerere, na kisha Mkapa kupanick vibaya hadi kuacha siasa za majukwaani, kilitutafsirisha sana uadilifu wa Mkapa.
 
Awamu ya nne ilitambulika kwa ufisadi kuliko maendeleo. Watu walijichukulia mali za umma kwa jinsi ya mtu alivyotaka
Ndio maana mtoa mada kakuambia kulikua na uwazi, ukisoma Report za Ufisadi Awamu ya 5 na 6 ni za kutisha, Matrilioni ya Hela hayajulikani yalipo, nani afanye uchunguzi? Kila mtu anaogopa kupotezwa.

Ila wakati Wa kikwete kukiibiwa milioni kadhaa tu kila mtu anajua, kulikua na uhuru wa waandishi wa habari na hata Mwanasiasa kuyaongea. Wakati wa Kikwete ndio tulipata wanasiasa machachari kina Zito, Lissu, Mbowe, Slaa na wengineo ni wakati huu, Hadi ndani ya CCM kwenyewe tuliona upinzani.

Wakati wa Kikwete pekee ndio unaona mtu mkubwa kama waziri mkuu kujiuzulu.

Na Maendelea data hazidanganyi watu waliendelea sana huu wakati, sababu biashara zilishamiri, Kikwete alipenda sana kuthamini vya nyumbani na kuwa rudisha Watanzania na watu wengine Duniani waje Tanzania kuwekeza.

1. Kikwete aliwaleta Viettel (sasa Halotel) toka Vietnam na Kusambaza internet vijiji vyote, kabla ya Kikwete watu walikua hawajui hata GB ni nini ila wakati wa Kikwete mpaka anaondoka kila mtu ana internet nafuu.

2. Kikwete kamleta Dangote uwekezaji mkubwa kabisa wa Cement,

3. Mchechu aliletwa na kufanya NHC liwe shirika la kibishara, na tukaona Maghorofa makubwa yakijengwa na kuuzwa.

4. Tido Mhando na TBC

5. Taifa star na Maximo

6. Hapo Kariakoo kulijaa Wacongo, Zambia, Wacomoro unauza bidhaa bila stress.

Kutokana na uwekezaji kuwa mwingi kila sector ndio maana ukaona na Mzunguko wa Pesa unakua mkubwa na watu wakajenga, mishahara ikawa inaongezeka, ukiwa fighter kidogo unatoboa etc.
 
Ni jambo la kushukuru Mungu kwamba, binafsi nimeishi wakati wa Marais wote walioitawala nchi hii.

Nimeanza na Mwl na Sasa Samia suluhu Hassani.

Ukweli usemwe, Jm Kikwete looks the best president this country has ever had.

Namiss, uwazi wake serikalini katika kuendesha mambo, Uungwana wake na utu, utekelezaji wa mipango mikubwa ya maendeleo bila kelele.

Uhuru wa kufanya siasa, kujenga nchi ya kistaarabu na ustaarabu.

Kutuachia pesa mifukoni na tukafanya maendeleo yetu.

Kwa kuwa Mheshimiwa suluhu hajamaliza muda wake , nionavyo, the canon stick kupima maendeleo ya utawala wake ni JM Kikwete.

Madam President, look up to Jm Kikwete as you lead this country.

The only spot on the white paper of Jakaya's performance, was the failure to accomplish the process he initiated to bringing a new constitution in place.

Hata hivyo, this gentleman remains my best president of all leave alone the current president who will equally match with him, If she dares to bring on the new constitution.
NI kweli %100 huyu Raisi ndo kaweka msingi wa mtu wachini kuanza kufanya biashara bila bugudhi, tatizo lake kubwa katika makosa alio tenda, mpaka atuombe msamaha ni kuruhusi raisi kama JPM kuingia madarakani wakati alikua na uwezo wa kumkata, jpm karudisha nchi nyuma miaka kama 20, watu walipoteza mali na maosha.
 
Wewe utakuwa ni fisadi kama yeye, uwazi unasaidia nini watu walikuwa wanachota pesa kwenye magunia na hawafungwi? kutuachia katiba mbovu ikazaa dikteta, nyie wazee inabidi muondoke kwanza ndiyo nchi ipate maendeleo ya kweli. Shame on you
Fisadi ?! Duh 🙄 !!
Hatari sana !! 😅😅
 
Ni jambo la kushukuru Mungu kwamba, binafsi nimeishi wakati wa Marais wote walioitawala nchi hii.

Nimeanza na Mwl na Sasa Samia suluhu Hassani.

Ukweli usemwe, Jm Kikwete looks the best president this country has ever had.

Namiss, uwazi wake serikalini katika kuendesha mambo, Uungwana wake na utu, utekelezaji wa mipango mikubwa ya maendeleo bila kelele.

Uhuru wa kufanya siasa, kujenga nchi ya kistaarabu na ustaarabu.

Kutuachia pesa mifukoni na tukafanya maendeleo yetu.

Kwa kuwa Mheshimiwa suluhu hajamaliza muda wake , nionavyo, the canon stick kupima maendeleo ya utawala wake ni JM Kikwete.

Madam President, look up to Jm Kikwete as you lead this country.

The only spot on the white paper of Jakaya's performance, was the failure to accomplish the process he initiated to bringing a new constitution in place.

Hata hivyo, this gentleman remains my best president of all leave alone the current president who will equally match with him, If she dares to bring on the new constitution.
Ndege wafananao huruka pamoja. Jk alikuwa mtu wa deal na dhaifu aliyeiuza nchi na kuitapeli. Kwako ndiyo best president? Shame on you woman,
 
Mkapa ndie alipitisha hela za Epa zichotwe BOT. Halafu alivyo mpumbavu akajifanya anaomba msamaha kwenye kitabu chake.
Doohh..kwel noma.kwahiyo na kuomba kwake msamaha ikabidi tulipe sisi.
Yan akatuuzia kitabu ili tukasome msamaha alio tuomba.😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom