dah? Canada day ni muhimu kuliko madaktari.
Kwani yeye ndiye MC wa hiyo sherehe?
Aende tu maana hata akibaki hana faida yoyote kwa nchi yetu zaidi ya kuwa na faida kwa wanaukoo wake pamoja na marafiki zake.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
Alisema mwenyewe kwa mdomo wake "ukitaka kula lazima nawe uliwe" nadhani sasa ni zamu yake kuliwa. Anaenda kuliwa huko Canada.