Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Ipo wapi hotuba nzima ili na sisi tuichambue?
mimi nilipokua na miaka 12 ,nilikua najua mema na mabaya .niliweza kutofautisha tofauti ya biblia,ama chochote cha dini na vitabu kama vya bulicheka,sindbad,koti jekundu etc.nilielewa umuhimu wa vitabu vya dini sikuwahi hata kufikiria kuvichezea.
Nachojiuliza,huyu kijana yuko sekondari,14 years ashindwe kweli kujua kile anachokifanya?hawa watu WANATUMWA FULL STOP.
Waliochoma makanisa ni WAHUNI.
Wahuni waliotokea msikitini baada ya swala ya ijumaa.
Maana yake msikitini wanaenda wahuni wengi kiasi kile!
Dont be naive.......angalia hoja ilipo, usiwe kipofu kwa imani peke yake.
Sijaelewa hasira za waislam zimetokana na nini, ikiwa mazungumzo yanatolewa kwamba wale vijana/watoto walibishana bila shaka wote ni wakosaji.
Ikiwa yule mtoto muislam ndiye aliyeanzisha uongo kwamba ukikojolea msahafu unageuka na akaruhusu kuiweka iliikojolewe basi naye anastahili adhabu, je ni adhabu gani amepewa?
Sasa suala la hasira ni la nini, iwapo msahafu wenyewe una uwezo wa kumgeuza mkosaji awe mjusi kwanini wasingeacha huyo mtoto ageuke?
Kama si kweli kwamba msahafu una uwezo wa kugeuza mtoto atakayeikojolea, basi uongo umedhihirika.
Je hasira ya kiwango kikubwa hivyo imesababishwa na nini?
Hatua ni kuhakikisha Hatuchagui tena Rais muislam. Mpaka mwisho wa dunia. wakristo tuko wengi.oajk hana jipya na cc wakristo tuamue kuchukua hatua....
Watanzania ni hodari wa kujaribu kila kitu, SIKU AKITOKEA MGANGA WA KIENYEJI na kusema quran ni dawa ya utajiri, HATA HAO WANAOJIDAI KUCHOMA MAKANISA Watakuwa wa kwanza kupeleka za kwao kwa mganga!
Kama muumini wa dini hiyo anapaswa kusema hivyo, ila sijui kama mawazo kama hayo wanayo wasioamini kitu kama hicho. Kifupi swala la dini linahusu yule tu anayeamini, leo hii mie niende kulima siku ya jumapili, ama nisipofuata amri za wakristo na mambo yao ni kutokana na msimamo wangu kuwa siamini katika hayo wanayofanya na hata vitabu vyao, kumbe nitakapochokozwa kuonyesha msimamo wangu wa kutohusika na hayo, nadhani mwenye kosa ni huyo anayenichokoza kuonyesha msimamo wangu. Wakati umefika sasa kuangalia upande wa pili wa hao wanaotaka kuleta specimen zao kujaribiwa, hawa nao wawajibishwe kwa kosa kama hilo, maana nitakapokuhakikishia kuwa specimen yako haipo hivyo, itakuwa si kosa langu bali ni wewe uliyeleta hiyo specimen. Kwanini tutake kujaribu kihivyo?Too soft, hamna hata karipio au order.
Mh. Rais kaishia kuongelea ushauri aliowapa.
Amewataka waislam kutochukua maamuzi haraka wanapokuwa wamekasirika.
Amesema, pamoja na kuwa kijana ni mdogo lakini alifanya kosa kubwa kukojolea msaafu.
Chanzo: Leo hotuba ya Nyerere day
Hatua ni kuhakikisha Hatuchagui tena Rais muislam. Mpaka mwisho wa dunia. wakristo tuko wengi.oa
imefika wakati Raisi awaonye ndugu zetu wenye hisia kali au siasa kali kwamba waache kuchokoza Mungu wa wenzao, kama wao wasivyo penda vyao kuguswa au kukashifiwa, na kujifanya vyao ni bora zaidi ya vya wengine, na hao watoto au wazazi wenye kujidai kwamba vyao vina thamani kubwa, basi wakiwaringishia au kuwachokoza wenzao, basi wao ndio wapewe adhabu kubwa zaidi kwa uchochezi na kulitia Taifa hasara.
Huyo dogo aliyekojolea qur an aliitoa wapi?
Mbona mnakuwa wapofu kiasi hicho?
Kama mtoto aliyekojolea kurana ana makosa,
Je huyo aliyempa aikojolee kwa mabishano ya kugeuka chizi au nyoka yeye hana makosa?
Ndivyo alivyofundishwa kuitumia quran?
Dont be that low.