Kikwete: Pamoja na utoto wake, kijana alifanya kosa kubwa kukojolea msahafu!

Sijaelewa hasira za waislam zimetokana na nini, ikiwa mazungumzo yanatolewa kwamba wale vijana/watoto walibishana bila shaka wote ni wakosaji.

Ikiwa yule mtoto muislam ndiye aliyeanzisha uongo kwamba ukikojolea msahafu unageuka na akaruhusu kuiweka iliikojolewe basi naye anastahili adhabu, je ni adhabu gani amepewa?

Sasa suala la hasira ni la nini, iwapo msahafu wenyewe una uwezo wa kumgeuza mkosaji awe mjusi kwanini wasingeacha huyo mtoto ageuke?

Kama si kweli kwamba msahafu una uwezo wa kugeuza mtoto atakayeikojolea, basi uongo umedhihirika.
Je hasira ya kiwango kikubwa hivyo imesababishwa na nini?
Umesomeka mkuu!!!!!
 
Mpuuzi wa kwanza ni huyo kijana wa kiislam aliyemweka mwenzie majaribuni eti akidhalilisha quran mara atageuka mjusi au panya au taahira wala hakuna hata aya moja ndani ya msahafu inayosema hivyo yeye alitoa wapi maneno hayo kiasi cha kumthubutisha mwenzie ambaye alikuwa na ujasiri wa kufanya hivyo! Chanzo cha udhalilishaji wa quran hiyo ni huyo huyo mtoto wa kiislam ambaye alikubali msahafu ukojolewe ili mwenzake ageuke mjusi au panya au taahira! haina tofauti sana na mtu aruhusu mkewe mwenye wowowo yenye mvuto alawitiwe na jamaa mwingine mwenye nyege kali halafu amwambie akimaliza anampeleka mahakamani ahukumiwe miaka 30 jela sasa hapo unategemea nini?!! wewe mwenyewe unamweka mtu majaribuni halafu akithubutu unakuja juu! kwa kifupi huyo mtoto 'aachwe ageuke mjusi au panya na baadae taarifa itolewe kuwa mtoto kageuka panya akiwa lupango halafu akatoroka tuone kama waislam watafurahi au ndo watapagawa kwa jazba! eeh kova sema dogo kageuka panya halafu akasepa tuone nini kitatokea!
 
Suala la watoto kubishana na kutishiana, lilikuwa lao na wote wanamakosa.
Suala la kuchoma moto makanisa na kuharibu vitabu vya dini kosa la jinai ambalo wote waislam na wakristo lazima tulilaani. Hao wahuni waliofanya uharibifu huo lazima washughulikiwe
 
ungekuwa ni wewe ungeliongeleaje? amekosea kuwashauri waliofanya hivyo?

Alimshauri nani?

Wakristu hawakuwa na nia yoyote kulipa kisasi wala kufanya ubaya wowote.

Isitoshe ameenda kule jumamosi sasa walikuwa wanangoja ushauri wake tangu ijumaa? sio kweli asijipe ujiko kwa jambo

ambalo hakulifanya nakama alifanya, amechelewa sana kiasi kwamba kama kuuwana siku nyingi tungekuwa wakimbizi.
 
Yaani ugomvi wa watoto, mijitu mizima na ndevu zao inaingilia. Tena inaonyesha upendeleo. Nadhani shida ni ukosefu wa elimu dunia. Mijitu mingine bwana
 
Mpuuzi wa kwanza ni huyo kijana wa kiislam aliyemweka mwenzie majaribuni eti akidhalilisha quran mara atageuka mjusi au panya au taahira wala hakuna hata aya moja ndani ya msahafu inayosema hivyo yeye alitoa wapi maneno hayo kiasi cha kumthubutisha mwenzie ambaye alikuwa na ujasiri wa kufanya hivyo! Chanzo cha udhalilishaji wa quran hiyo ni huyo huyo mtoto wa kiislam ambaye alikubali msahafu ukojolewe ili mwenzake ageuke mjusi au panya au taahira! haina tofauti sana na mtu aruhusu mkewe mwenye wowowo yenye mvuto alawitiwe na jamaa mwingine mwenye nyege kali halafu amwambie akimaliza anampeleka mahakamani ahukumiwe miaka 30 jela sasa hapo unategemea nini?!! wewe mwenyewe unamweka mtu majaribuni halafu akithubutu unakuja juu! kwa kifupi huyo mtoto 'aachwe ageuke mjusi au panya na baadae taarifa itolewe kuwa mtoto kageuka panya akiwa lupango halafu akatoroka tuone kama waislam watafurahi au ndo watapagawa kwa jazba! eeh kova sema dogo kageuka panya halafu akasepa tuone nini kitatokea!

It does not hold water, pale kwenye red!
 
Walikwenda kuchoma moto makanisa baada ya kukikosa kichwa cha yule dogo. Lau kama wangekipata kile kichwa chake,(Polisi walimficha) nadhani hakuna Kanisa wala Madhabahu hata moja ingechomwa moto. Amini nakwambia!
Kwani hukumu niza nani? Mola au mwanadamu? kwani ni lazima wote waende peponi au kuna wa jehanum? Mbona ilikuwa kazi rahisai tu kumuombea kwa Mola naye afanye kilicho sahihi kwa huyo mtoto lakini badala yake wote wamechuma dhambi.. waliochoma makanisa na aliyekojolea kurani..
 
Mpuuzi wa kwanza ni huyo kijana wa kiislam aliyemweka mwenzie majaribuni eti akidhalilisha quran mara atageuka mjusi au panya au taahira wala hakuna hata aya moja ndani ya msahafu inayosema hivyo yeye alitoa wapi maneno hayo kiasi cha kumthubutisha mwenzie ambaye alikuwa na ujasiri wa kufanya hivyo! Chanzo cha udhalilishaji wa quran hiyo ni huyo huyo mtoto wa kiislam ambaye alikubali msahafu ukojolewe ili mwenzake ageuke mjusi au panya au taahira! haina tofauti sana na mtu aruhusu mkewe mwenye wowowo yenye mvuto alawitiwe na jamaa mwingine mwenye nyege kali halafu amwambie akimaliza anampeleka mahakamani ahukumiwe miaka 30 jela sasa hapo unategemea nini?!! wewe mwenyewe unamweka mtu majaribuni halafu akithubutu unakuja juu! kwa kifupi huyo mtoto 'aachwe ageuke mjusi au panya na baadae taarifa itolewe kuwa mtoto kageuka panya akiwa lupango halafu akatoroka tuone kama waislam watafurahi au ndo watapagawa kwa jazba! eeh kova sema dogo kageuka panya halafu akasepa tuone nini kitatokea!
Loading...................................................
 
swala la dr Ulimboka hamtaki kulizungumzia lakini swala dogo la kukojoa mnamhukumu kijana wa watu...
 
swala la dr Ulimboka hamtaki kulizungumzia lakini swala dogo la kukojoa mnamhukumu kijana wa watu...
 
Walikwenda kuchoma moto makanisa baada ya kukikosa kichwa cha yule dogo. Lau kama wangekipata kile kichwa chake,(Polisi walimficha) nadhani hakuna Kanisa wala Madhabahu hata moja ingechomwa moto. Amini nakwambia!

Mbn kama unawatetea? C wangeenda kuchoma police alikofichwa huyo mtoto?!
By thw way kwann nikuamini wakati zanzibar yalichomwa bila ya kitabu kukojolewa?!
 
Ni nani alimwambia huyo mtoto mwenye kuran kuwa mtu akiojolea basi huyo mtu atageuka mjusi? Hapo ndipo pa kuanzia. Hiyo theory imekuwa proven wrong. Na ni mambo mengine mangapi ya uwongo huyo mtoto (mwenye kuran) kafundishwa?

Ndugu zangu waislam hapa angalieni aina ya walim wa watoto wenu. Miaka ya nyuma kuna kijana wa kiislama alimchapa kofi Rais Mwinyi, na yote hiyo tualiambiwa ni mambo ya dini!

Response ya rais nayo inaweza kuacha wingu zito kwa baadhi ya watu. Mabishano kati ya watoto yana uhusiano gani na kanisa? Kwanini watu wazima wanashindwa kuona hili? Na makanisa yaliyoharibiwa kuna KKKT na TAG. Sasa huyo mtotoa anasali KKKT au TAG?
 
Suala la watoto kubishana na kutishiana, lilikuwa lao na wote wanamakosa.
Suala la kuchoma moto makanisa na kuharibu vitabu vya dini kosa la jinai ambalo wote waislam na wakristo lazima tulilaani. Hao wahuni waliofanya uharibifu huo lazima washughulikiwe

*Mwongozo*
Ni wahuni waliochoma makanisa au waislam??
 
swala la dr Ulimboka hamtaki kulizungumzia lakini swala dogo la kukojoa mnamhukumu kijana wa watu...

mkuu dr. Ulimboka ni mkristo ndio maana hatuliongelei, lakin tulilaani vikali kifo cha osama japokuwa ni gaidi koz osama ni muislamu mwenzetu pia huwa tunalaani kitendo cha wanajeshi wa UNO kuwaua alshababy koz ni waislamu wenzetu.

Thakbir......................
 
HAIJAWAHI KUTOKEA, WALA KUSIKILIKA rais MWENYE AKILI ZA HIVYOHIVYO, ila ONLY IN TANZANIA.
 
Sishangai kauli ya JK, ni kauli ya kidplomasia zaidi, Raids wetu hajui majira na nyakati, kama angelijua angeanza siku nyingi kukemea kwa nguvu tabia za dini kuinuka dhidi ya dini nyingine lkn kwa bahati mbaya naye, kupitia CCM, akaingiza Uislamu na Ukristo kwenye Kampeni zake 2010! Sheikh Ponda alipoanza uchochezi si JK kama Rais, Nchimbi au Kamanda Kova waliokuwa na ujasiri wa kuwakemea, matokeo yake ndio hayo, ni kama Waislamu fulani walikuwa wanatafuta nafasi ya kuwakomoa Wakristo.
Waislamu
 
rais katoa tamko zuri,kaomba na apology na waliohusika na uharibifu huo watachukuliwa hatua,ukitaka atoe kauli ipi??
 
Back
Top Bottom