Kikwete: Pamoja na utoto wake, kijana alifanya kosa kubwa kukojolea msahafu!

mimi nilipokua na miaka 12 ,nilikua najua mema na mabaya .niliweza kutofautisha tofauti ya biblia,ama chochote cha dini na vitabu kama vya bulicheka,sindbad,koti jekundu etc.nilielewa umuhimu wa vitabu vya dini sikuwahi hata kufikiria kuvichezea.
Nachojiuliza,huyu kijana yuko sekondari,14 years ashindwe kweli kujua kile anachokifanya?hawa watu WANATUMWA FULL STOP.

huyo aliyempa aikojolee halikuwa hajui udhamani wa hicho kitabu? na kama huyo dogo alishindwa kukiheshimu kitabu chao kitakatifu na kumuomba mwenzake atolee aje yake ndogo nani hapo ambaye ameonyesha kutokukidhamini anacho kiona cha dhamani kwake? siku nzote udhamini wa kitu unatokana na yule mwenye kukimiliki, iwapo mwenye kukimiliki haoni udhamani ni ngumu kwa asiyejua dhamani yake kukidhamini.
 
Tatizo lilianza pale kundi fulani la KIISLAM lilipoanza kuzunguka nchi nzima wakimlaani MWL.NYERERE, bila kuchukuliwa hatua zozote naona matokeo ya laana ya kulaani visivyolaaniwa yameanza kuonekana sasa, WALIFANYA HIVYO WAKIDHANI WANAWEZA KUMUONDOA MWL. KTK mioyo ya WATZ, sasa wameanza kumkumbuka kwa mazuri yake, kumbuka ukitoa laana kwa asiye na hatia hiyo laana inawarudia.

Laana iwafikie wale wote wanaowadhulumu wasio na hatia. NO CRIME GOES UNPUNISHED,
SASA TUSISIKIE AKINA PONDA WANAANDAMANA KWENDA KUWATOA WALIOIBA, HARIBU NA KUCHOMA MOTO MAKANISANI, SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE

NI UJINGA KUSHABIKIA NA KUMLAUMU MTOTO YULE KWA KOSA KUKOJOLEA KORAN TUKUFU na kusema eti kafanya kosa kubwa, watu wazima ndiyo mnasema kosa kubwa kwa 7bu hamuujui utoto?
watu wazima mnaingilia yasiyo wahusu,

wazazi wa watoto hao wanabusara sana, ndiyo maana wao walisha yamaliza tangu tarehe 10.10.2012

kinachouzi ni pale watu wazima wanapofanya mambo ya kipuuzi, LEO HII UKIWAULIZA WALE WALIOSHIRIKI KUHARIBU, KUIBA, KUCHOMA MAKANISA KWANINI WAMEFANYA YALE WALIYOFANYA SIJUI KAMA WANA MAJIBU YANAYOELEWEKA KWA WENYE AKILI .

Watu wazima wanaingilia mabishano ya watoto, kama sio laana ni nini?
Halafu wanaiba vifaa kanisani na kuchoma moto, ndivyo walivyofundishwa na mungu wao?
nani aliwaambia kuwa yule mtoto amejificha kanisani kama sio kanisani walifuata nini?
na kwanini waibe?
wanafanya hivyo kwa maslahi ya nani?
na wananufaika vipi wakichoma makanisa?
waliagizwa na nani kwenda kuchoma makanisa?
na kwanini hawakuendelea kupambana na polisi ili kumtoa waliyemtaka?
huo ujasiri wa kushambulia makanisa wamepewa nani?
ili iweje?
walipwa na nani?
ni nani aliwaambia kuwa kosa la mtoto huyo, adhabu yake ni capital punishment?
nani iliidhinisha hiyo hukumu kwa maslahi ya nani?

MUSLIMS wajue kuwa makanisa wanayaharibu yamejengwa na WATZ wenzao kwa nguvu zao sio msaada kutoka SAUDIA, IRAN, KUWAIT

NI UJINGA KUMSHAMBULIA mtu kwa kosa la kitoto kama hili
 
Waliochoma makanisa ni WAHUNI.
Wahuni waliotokea msikitini baada ya swala ya ijumaa.
Maana yake msikitini wanaenda wahuni wengi kiasi kile!

Dont be naive.......angalia hoja ilipo, usiwe kipofu kwa imani peke yake.

mimi navyojua kanisani wanaingia watu,ambao miongoni mwao wapo,wanakwaya,wacheza mpira,mafisadi,walimu,nesi,wahuni,waigizaji,wanamieleka,vibaka,dadapoa,kakapoa,wabunge,waasherati kila dizaini.na wanaingia kanisani si kwa sababu ingine.WANAKWENDA KUTUBU.
Yale ya uchomaji makanisa hawa watu waliekiti kwa jazba after being PROVOKED.
 
Watanzania ni hodari wa kujaribu kila kitu, SIKU AKITOKEA MGANGA WA KIENYEJI na kusema quran ni dawa ya utajiri, HATA HAO WANAOJIDAI KUCHOMA MAKANISA Watakuwa wa kwanza kupeleka za kwao kwa mganga!
 
Mmomonyoko wa maadili unazidi kushika kasi,maana maendeleo huja na mamboleo tusije.anyway napita tu.
 
Sijaelewa hasira za waislam zimetokana na nini, ikiwa mazungumzo yanatolewa kwamba wale vijana/watoto walibishana bila shaka wote ni wakosaji.

Ikiwa yule mtoto muislam ndiye aliyeanzisha uongo kwamba ukikojolea msahafu unageuka na akaruhusu kuiweka iliikojolewe basi naye anastahili adhabu, je ni adhabu gani amepewa?

Sasa suala la hasira ni la nini, iwapo msahafu wenyewe una uwezo wa kumgeuza mkosaji awe mjusi kwanini wasingeacha huyo mtoto ageuke?

Kama si kweli kwamba msahafu una uwezo wa kugeuza mtoto atakayeikojolea, basi uongo umedhihirika.
Je hasira ya kiwango kikubwa hivyo imesababishwa na nini?

uongo wao kujulikana
 
pumba tupu, ameshindwa kuzuia hisia zake. kwa hyo angekojolea m2 mzima ndo hasira zao dhidi ya makanisa zingekuwa justified? mambo ya kesi ya nyani kwa ngedere hayo.
 
Watanzania ni hodari wa kujaribu kila kitu, SIKU AKITOKEA MGANGA WA KIENYEJI na kusema quran ni dawa ya utajiri, HATA HAO WANAOJIDAI KUCHOMA MAKANISA Watakuwa wa kwanza kupeleka za kwao kwa mganga!

unauhakika gani hazitumiwi na wachawi na waganga.... chunguza vizuri.
 
Too soft, hamna hata karipio au order.

Mh. Rais kaishia kuongelea ushauri aliowapa.

Amewataka waislam kutochukua maamuzi haraka wanapokuwa wamekasirika.

Amesema, pamoja na kuwa kijana ni mdogo lakini alifanya kosa kubwa kukojolea msaafu.

Chanzo: Leo hotuba ya Nyerere day
Kama muumini wa dini hiyo anapaswa kusema hivyo, ila sijui kama mawazo kama hayo wanayo wasioamini kitu kama hicho. Kifupi swala la dini linahusu yule tu anayeamini, leo hii mie niende kulima siku ya jumapili, ama nisipofuata amri za wakristo na mambo yao ni kutokana na msimamo wangu kuwa siamini katika hayo wanayofanya na hata vitabu vyao, kumbe nitakapochokozwa kuonyesha msimamo wangu wa kutohusika na hayo, nadhani mwenye kosa ni huyo anayenichokoza kuonyesha msimamo wangu. Wakati umefika sasa kuangalia upande wa pili wa hao wanaotaka kuleta specimen zao kujaribiwa, hawa nao wawajibishwe kwa kosa kama hilo, maana nitakapokuhakikishia kuwa specimen yako haipo hivyo, itakuwa si kosa langu bali ni wewe uliyeleta hiyo specimen. Kwanini tutake kujaribu kihivyo?
 
imefika wakati Raisi awaonye ndugu zetu wenye hisia kali au siasa kali kwamba waache kuchokoza Mungu wa wenzao, kama wao wasivyo penda vyao kuguswa au kukashifiwa, na kujifanya vyao ni bora zaidi ya vya wengine, na hao watoto au wazazi wenye kujidai kwamba vyao vina thamani kubwa, basi wakiwaringishia au kuwachokoza wenzao, basi wao ndio wapewe adhabu kubwa zaidi kwa uchochezi na kulitia Taifa hasara.


Samahani Mkuu, sijui utakuwa na data yoyote ya Ratio ya Waishlam na Wakristo ilikuwaje kule Kosovo. Nani alikuwa 30% pale. Unayo kumbukumbu yoyote? Na ni nani aliprovoke mwenzake? Any data?
 
kama raisi ndo anatoa kauli kama hiyo kuna nini hapo moja kwa moja inaonyesha hata yeye anaunga mkono yaliofanywa na waislamu nilitegemea kusikia kalipio ambalo wangethubutu kwa mara nyingine kiama kingewakuta lakini kama ni rahisi kiasi hicho basi usitegemee chochote
 
Mtoto akibeba barafu kwenda kuwaringishia wenzake; isiporudi utamlaumu nani-mwanao au wenzake?
 
Nitachagua amani kwasababu amani huletwa kwa amani na amani ikiwepo huwezi kusikia machafuko kutokana na amani kuwepo na kufanya watu kuishi kwa kuheshimiana na kusameheana.

God bless u all
 
1. Napenda kujipongeza kwa kua MUISLAM
2. Napenda kumpongeza raisi wetu kwa kutupendelea sisi WAISLAM
3. Napenda kuwapongeza walimu wetu wa madrasa kwa kutufundisha kuwachukia WAKRISTO
4. Napenda kuwapongeza polisi kwa kutuogopa sisi WAISLAM
5. Napenda kumpongeza MUNGU wetu kwa jinsi tunavyomtetea vizuri
6. Napenda kuwapongeza kwa kutochukua hatua kila tunapochoma makanisa yao

NATUMAINI RAISI AJAYE ATAKUA MUISLAM ILI AENDELEE KUTULINDA WAISLAM KATIKA HARAKATI ZETU ZA KUMTETEA MUNGU WETU.
 
Huyo dogo aliyekojolea qur an aliitoa wapi?
Mbona mnakuwa wapofu kiasi hicho?

Kama mtoto aliyekojolea kurana ana makosa,
Je huyo aliyempa aikojolee kwa mabishano ya kugeuka chizi au nyoka yeye hana makosa?

Ndivyo alivyofundishwa kuitumia quran?

Dont be that low.

Mtoto hana kesi ya kujibu.. alikuwa anafanya risechi kutokana na kushawishiwa na mwenzie. Wakimpeleka mahakamani patachimbika.. bora wamuachie huru
 
Back
Top Bottom