Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

Hahaa namwangalia hapa na jamaa ni bomu kweli lakini atashinda tu (kihalali au kiharamu). Damn
 
Mwenye kujua anijuze mbona huu ukumbi umejaa alama za ccm hadi chemba ya mwenyekiti ina nembo ya ccm ni ukumbi wao?
na kulikoni mdahalo huu unarushwa na both chanels, itv na eatv(chanel5)
 
JK-Tumeanzisha stakabadhi ghalani na tumelipa madeni ya cooperatives. kuna mazao hayao kwenye vyama vya ushirika mfan mahindi lkni hifadhi ya taifa inanunua

Cooperatives zimetafunwa na wajanja serikali inasamehe na kulipa madeni yoote...maisha yanaendelea kama kawa!! I love zis kantri!
 
Mi kanikera jinsi alivyojibu ishu ya mramba? Very low kwa kweli!


Mwenyewe kanikera nahisi jaziba nije nikashindwa uvumilivi invisible akanifungia bure haki Kikwete hana uchungu na nchi hii ...naona anatabasamu tu:evil::evil::evil::evil:
 
Hatoi pendekezo wala njia huyu sio kiongozi ndiyo maana nchi imerudi nyuma hivi. DU anapigiwa makofi kwa kumaliza kuongea pumba
 
Naomba link ili ikiwezekana niangalie mwenyewe maana wachakachuaji wa habari hapa JF wamezidi.
 
Wamuulize Mwakalebela si alikuwa nimtuhumiwa? Mbona walimuengua?
 
Hana mvuto? hivi anaongelea hali ya nchi au anazungumzia uchaguzi??? mambo ya mvua na huu.... anaouzungumzia unakujaje? mambo ya miradi yanakuje tena hapa? i dont understand this broda
Hayo mambo ya kuiachia Idara ya hali ya hewa...
 
Imagine 5 TVS ie ITV,STAR TV,CH TEN,EATV and TBC.
Alafu kupiga makofi ni kama formality doesnt come outomatically
 
Alijua matatizo ya Cooperatives alipoenda Mtwara. Rais mpaka aende mahali ndio ajue kuna tatizo - Asipoenda no solution.
JAMANI UONGOZI UKO HIVI.
 
Sasa anauliza Flora Malya wa Star TV.-Baadhi ya wagombea wa nafaso mbalimbali wamesema wana wasi wasi na wizi wa kura. Vipi kwenye CCM?
JK-Na mi nimelisikia watu wakilalamika. Zipo tuhuma kwamba kura zimeshapigwa, pia zipo tuhuma za wizi wa kura. Mfumo wetu wa uchaguzi ni vigumu kuiba kura, ni vigumu kuchomekea kura zilizopigwa. Kura zinapigwa kwenye kituo, zinahakikiwa na mawakala
 
Back
Top Bottom