sijapenda hata kidogo anavyotetea sera yake ya kuwanadi watuhimiwa wanaogombea ubunge wakati wana kesi mahakamani boring :tape:
leo sijui kama utapata Link naona people hawako serious na huu mdahalo teteteteteteh:thinking:
Bashe je alikuwa mtuhumiwa au alikuwa amehukumiwa?
wamiliki na hao walio wakilisha vypmbo vyao
wanalamba viatu vya Kikwete wamepewa maswali utafikili misukule fulani audience sijui kaitoa wapi,sio mchanganyiko kabisa maajabu kweli hatuna raisi