Kikwete MUST resign [facebook page]

Wanajamvi mapambano bado yanaendelea ya kutafuta haki na usawa, FACEBOOK kuna page imeanzishwa ya kumtaka kikwete aresign, kama wewe ni member wa facebook endeleza mapambano kwa kulike hii page on the link below....... watu wakijoin wengi itasaidia kugain attention ulimwenguni na hatimaye mambo kubadilika

President Jakaya M. Kikwete MUST Resign | Facebook
View attachment 24466
weee ndiyo ***** wa mabwege. Eti ku gain attention,, ili iwe nini? Tuondolee uvivu wako wa kazi, huna kazi za kufanya? Kafie mbele
 
kama wewe unaona hii sio democrasia tulia hakuna aliyerazimishwa kwenda huko kwenye hiyo page, kwa mfano mimi baada ya kuiona hapa fasta nimeshatimiza wajibu wangu kwa kwenda ku-like hiyo page maana hiyo ni democrasia yangu na wewe kama unaona haikufai kaa pembeni lakini hiyo page ikifikisha watu wa kutosha huyo mtu wako utamsikia vyombo vya vya habri vya kimataifa lazima vitataka kujua kulikoni na hapo ndio mambo yatamwagika maana tatizo litajulikana ni UFISADI

This is a wishful thinking. Kwa akili yako unaamini kabisa kwamba kwa njia hii unaweza kuiminya demokrasia na ku-impose unachokitaka wewe. Nenda uarabuni kama unataka, siyo utuletee uchochezi wako. Hapa sisi tunakosoa lakini hatuwezi kujiingiza katika vitendo vyako vya uhaini!
 
Nahisi Kuna watu wanatumia vibaya uhuru wao wa habari na Social Networks, Na pia naomba watu wa CHADEMA waje hapa watuhakikishie kama hizi link ni zao!,

Chama cha Demokrasia na Maendeleo | Facebook

Hiyo hapo juu nina mashaka kwa 100% kwamba Sio ya CDM that one am sure. kama wao ndio naomba wajitokeze na waseme najua wapo humu na wanasoma Post zetu

President Jakaya M. Kikwete MUST Resign | Facebook hii siikubali hata kidogo,

Kuna watu huenda wanataka kuichafua CDM au kuna wana CDM ambao ni watovu wa nidhamu.
 
Mbona hujauliza zile pages za face book za jakaya kikwete kama ni zake kweli?
Hapo ukijibu kama ni zake wana chadema tupo tutajibu pia.
Ulimwengu wa teke linalokujia ndio huu mwenzangu, hata wewe unatumia jina fake lakini ujumbe unafika. Hilo ndilo la maana.
 
Back
Top Bottom