Kikwete MUST resign [facebook page]

This is a wishful thinking. Kwa akili yako unaamini kabisa kwamba kwa njia hii unaweza kuiminya demokrasia na ku-impose unachokitaka wewe. Nenda uarabuni kama unataka, siyo utuletee uchochezi wako. Hapa sisi tunakosoa lakini hatuwezi kujiingiza katika vitendo vyako vya uhaini!

Weye hebu tumia akili, nani amekwambia kutumia Facebook kunaminya demokrasia? Huu si uchochezi ni fursa, kama watu wanachagua kiongozi kwa nini pia wasiweze kumkataa? Halafu unaelewa nini maana ya uhaini? Kama mnasafiri kwenye basi halafu dereva hayuko makini na anahatarisha maisha ya abiria, kumuengua ni sawa na uhaini kwenye fikra zako? Go get your head cleaned up and mopped, your thinking is downright warped.
 

Kuna watu wana ubongo mdogo sana

Mbona hujauliza zile pages za face book za jakaya kikwete kama ni zake kweli?
Hapo ukijibu kama ni zake wana chadema tupo tutajibu pia.
Ulimwengu wa teke linalokujia ndio huu mwenzangu, hata wewe unatumia jina fake lakini ujumbe unafika. Hilo ndilo la maana.
Tunahitaji watu wa CDM wenye authority waseme kama ile kitu wameinitiate wao sio kuleta upuuzi kama huu
angalia picha hii ya kulia ni page halisi ya CDM na ya kushoto ndo amabayo nasema ni ya kufoji
combined.jpg
nimetaka ufafanuzi, usikurupukie reply
 
Naona nyie mumekosa cha kufanya bora hata mungekuwa mnatuhamasisha kwenda kulima jijini kuliko kutuhamasisha maandamano, munajuaje kwamba atatoka aking'ang'ania kama libya na syria, hata matatizo makubwa yakusema kakosea sana hamna,miaka mitano huwezi sema mtu imemushinda nchi, bora hata angekuwa na miaka 20 madarakani tungesema lakini mitano hata kama angekuwa slaa hawezi kuongoza nchi miaka mitano na ikaleta maendeleo haipo hiyo, huna mawazo ya kujenga wewe unamawazo kubomoa
 
watanzania wangapi wanauwezo wa kutumia mtandao wa facebook? Misri iliwezekana lakini kwa Tanzania ni ndoto labda kwa ushauri tumieni njia ambayo itakuwa ni rahisi kwa watanzania vinginevyo itakuwa ni kupoteza muda.

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
Mmh hapa mwenzenu sina cha kukoment, harakati zangu ni LUDDISM-(just to hit and run), haya ya facebook siyawezi!
 
Ni sababu gani inayofany Tanzania kukawa na mgao wa umeme?
Viongozi kazi yao kujaza matumbo yao bila kujali hali ya nchi na wananchi.
Je hali hii itaendelea mpaka linii Tanzania


Mzalendo
 
Hatuna umeme kwahiyo access yetu ya facebook ni limited; Mgao wa umeme ni blessing in disguise kwa ******!!
bado kuna tatizo hapa maana wengi kwenye facebook wanatumia majina halisi na kwa mfumo wetu wa usalama hapa TZ si ajabu ikatengwa Bil. 200 kwenye budget kudeal na wanaosupport. Lakini tunaweza kumtoa, ngoja niingie fc kussuport
 
matatizo ya tanzania siyo ya kikwete ni ya mfumo...sehemu kubwa ya tanzania htufanyi kazi..we lack ubunifu..na pia tumekosa opposition ya ukweli. cha kufanya sio kumpindua kikwete bali..tufanye 'Kongamano tujiulize kw nn mkoa wa mara ni maskini na mkoa wa k'njaro ni matajiri..bila kujua tunachotafuta hata tukiwasha taa itakuwa kazi bure...
 
Bora unyamaze kama unapenda sana hali ya wachache kuishi maisha ya kifahari na wengi kukosa mlo hata wa siku moja,siyo lazima uonyeshe ujinga wako we lea watoto wako
 
Back
Top Bottom