Kikwete MUST resign [facebook page]

mdau umepatia kuwahamishia fb kwani wengi watajulikana kwa majina sahihi. hakika its a gud idea,Asante sana mku, very soon majina yatatangazwa ya wachangia utumbo wote
 
Wanajamvi mapambano bado yanaendelea ya kutafuta haki na usawa, FACEBOOK kuna page imeanzishwa ya kumtaka kikwete aresign, kama wewe ni member wa facebook endeleza mapambano kwa kulike hii page on the link below....... watu wakijoin wengi itasaidia kugain attention ulimwenguni na hatimaye mambo kubadilika

President Jakaya M. Kikwete MUST Resign | Facebook
View attachment 24466

Mie naona haupo sawa katika kichwa chako mkuu. Unahitajika upelekwe milembe. Nimecheki wote waliokurupuka kuandika kule wote ni under mature age.
 
Kikwete knows he was not elected by the people. Again for the sake of Tanzanias and peace Kikwete just leave, this time we will force you and your fellows out. Mubarak and Ben Ali tried to resist and now where are they?
 
This is a wishful thinking. Kwa akili yako unaamini kabisa kwamba kwa njia hii unaweza kuiminya demokrasia na ku-impose unachokitaka wewe. Nenda uarabuni kama unataka, siyo utuletee uchochezi wako. Hapa sisi tunakosoa lakini hatuwezi kujiingiza katika vitendo vyako vya uhaini!

Mbopo, wewe ndo Kikwete mwenyewe nini?, pole- freedom is comimg tomorrow.
 
Kikwete hana sifa hata moja ya kuongoza nchi yetu, kama inawezekana "let him go!"
Kama kweli watanzania sisi ni wajinga ebu tumsubiri amalize miaka hiyo iliyobaki, tutalia.....
 
Kwa kweli sina kinyongo na nafasi yake huyu jamaaa ila kwa mambo haya hapa chini inaonyesha anamapungufu ambayo ni lazima ajiuzulu haraka ili wengine waje watengeneze mambo vizuri zaidi;
1. Kwa kushindwa kudhibiti bei ya vyakula na bidhaa muhimu maisha ya mtanzania wa leo hayaendani kabisa na kipato halisi kwa hili tafadhali mkwere mwenzangu tafakari na kisha chukua hatua thabiti.
2. Kwa kushindwa kuwawajibisha watendaji waliochini yako hata pale wanapotenda makosa ya kusababisha vifo vya makusudi na usumbufu usio wa lazima kwa ndugu zetu na watanzania wenzetu hakika ni kosa kubwa kaka nenda tu na watanzania tutakukumbuka kwa hali tulizonazo.
3. Kupanda kwa gharama za umeme kila kukicha na kodi nyingi ambazo hazina maelezo kamili katika umeme wakati tunalipa kodi kila mahali hii si haki na halivumiliki mwenzetu kijana wetu na mtanzania mwenzetu nenda tu hata kabla ya Watanzania kukuchoka japo ulichaguliwa kwa kura za wachache wetu ambao hawafiki hata 1/4 ya sisi wenye nchi!.

TAFAKARI YAKO YA KINA KATIKA HILI ITARUDISHA HESHIMA YA TAIFA LETU!.
 
Ukweli mtupu mkuu,watanzania tuache ukunguru(uoga)we real need big changes
 
Akisha resign halafu? hebu nitajieni malaika waliobaki kwanza, wanaoweza kutuongoza.

Viongozi wapo kibao tu!nani aliyejua mtawala wa misri atatoka,ulijua libya itakuwa kama ilivyo sasa,hakuna born leader bwana,any one can lead,leaders are made up
 
Viongozi wapo kibao tu!nani aliyejua mtawala wa misri atatoka,ulijua libya itakuwa kama ilivyo sasa,hakuna born leader bwana,any one can lead,leaders are made up

Du haya akitoka ni nani anaweza kuleta neema na mkate mnaoutaka wa kila siku?
ni nchi gani ambayo haiko katika purukushani la uhaba wa kazi na maisha kupanda, juzi tu tumemaliza uchaguzi, leo tukamuondoe JK na kumuingiza mwingine kwa facebook!
2015 bado na nikaribu sana wanaotumia mtandao si wapiga kura asilani mpaka umeme utakapofika vijijini na watz kujituma kufanya kz. Sio kutoka shule na kudai kz
 
inawezekana unachoongea ni kweli kwamba hata wali sijala nina miezi! Lakini unamdanganya nani kwamba kwa ku-sign up kwenye huo upuuzi wako ndo mimi na wanangu tutakula huo mkate unaousema? Mimi nitajikwamua kwa juhudi zangu mwenyewe na siyo kuhamasika kwenye vitendo vya kihaini, tena vya mtu aliyekata tamaa ya maisha yake na sasa anataka kujiegemeza kwenye matatizo ya nchi. Tupishe kule!
wewe kizaz cha kifisadi nyamaza na ushindwe kwa jina la kikwete
 
Hii haijakaa sawa mkuu ndani ya facebook tena? au mnataka kujua profile za watu?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom