Sure. System at work. Maana hata comment yako ni ya matumaini zaidi, kutia ari zaidi na nguvu zaidi za kusubiria ndoto hizi
mkuu hiyo bei uliyoitaja ni ya maeneo gani?,Buguruni?
Kikwete sasa ameanza kazi, Nondo mm 12 ef 14500, sementi mfuko sh 12400,misumari,bati bei ni bwereree,hadi raha.kama una ujenzi wako wakati ni huu.
Kikwete sasa ameanza kazi, Nondo mm 12 ef 14500, sementi mfuko sh 12400,misumari,bati bei ni bwereree,hadi raha.kama una ujenzi wako wakati ni huu.
Nimenunua leo cement Dar mfuko sh15,500. Nondo mm12 nilinunua juzi sh16,500
mkuu hiyo bei uliyoitaja ni ya maeneo gani?,Buguruni?
for sure you are a great thinker.........imeshuka bei au imepanda? Maana jk alipo ingia madaraka cement ilikuwa 5800/= sukari 400 kg.nondo 12 mm 3800,
Whether hii stori ni kweli au la, lakini ukweli unabaki pale pale kuwa:
- CCM imekurupushwa usingizini na kuanza kuendeleza infrastructure (barabara) kwa kasi sasa hivi. Good!
- baadhi ya mawaziri wa CCM wameamka usingizini sasa wameanza kuchapa kazi (hope it lasts though). Excellent!
- watendaji wengi kwenye taasisi za umma wameanza kuogopa ku-chop (kuiba ovyo). Splendid!
- frequency ya safari za JK walau kidogo inaanza kupungua. Encouraging!
- hakuna ubishi kuwa hayo yote hapo juu 1-4 yameletwa kwa hisani kubwa ya Operation Sangara, Vua Gamba Vaa Gwanda & sasa M4C
- simple logic arithmetic.....kama wabunge less than 50 wa Chadema wameweza kusababisha mabadiliko yote haya ndani ya miaka 2 tu, vipi wakipewa kuongoza nchi walau kwa miaka 5? Fanya extrapolation mwenyewe hata kama hisabati haipandii!!
imeshuka bei au imepanda? Maana jk alipo ingia madaraka cement ilikuwa 5800/= sukari 400 kg.nondo 12 mm 3800,
Wakuu msibishe kila kitu. Ni kweli bei imeshuka ila Ameanza na Msoga kwanza
Good news, thanks ma friend.
By the way, where is Kikwete's Hardware Stores?
Umejitakia mwenyewe. Ungeenda kwenye duka la kikwete analolisema muanzisha mada ungepata kwa bei nafuu.