Bei ya nondo inazidi kuporomoka kila siku

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,401
15,980
Wakuu mm huwa ni mdau ya maswala ya ujenzi na pia ni mshauri wa Mambo ya umeme wa majumbani na mabomba pia.

Sasa ktk mwezi huu wa tatu Toka uanze bei ya vifaa muhimu vya ujenzi inaporomoka Bei that is very good.

Mfano kwa mkoa wa dodoma Bei ya nondo milimiter 12 imeshuka ghafla na kufikiaa shilingi million 2,020,000 kwa tani moja yenye piss 94, tofauti na mwaka jana Hadi kufikia mweZ wa pili mwaka huu Bei ilisimamia kucha sna kwa tani moja kuuzwa Hadi milioni 2300,000 kwa pisi hizo hizo 94 na na sis wadau wake kuanza kuogopa sana kutrade au na kupeleke baadhi ya wafanyabiasha kununua mzigo mkubwa wakijuwa kuwa itazidi kupanda na kufikiaa shilingi 2.5m kwa tani Hali imekuwa tofauti Sana kwani kila kukicha Bei inabadilika.

Bei nilizo zitaja hapo ni zajumla jumla kwa wa watu wa reja reja itakupaza ulipa Kati ya 24500 kwa piss moja ya nondo.

Sasa hofu yangu naona kbsa inazidi kushuka Sana kwa Kasi ya ajabu kila siku napewa update za Bei na leo nimepata dili la tani tano nawaza kusubiri angalau hadi kufikia mwezi wa nne itafikia milion 1.8 huwenda ikarudi Bei ya zamni.

Vifaa vingine vya ujenzi zilo shuka na kupanda Bei ni kam. Wall putt white skimm Bei imepanda kufika 21000 kwa mfuko wa kg 25.

Na cement imependa imeshuka ghalfa kwa shilingi 18500 kwa mfuko wa kg 50 za dangote cement

Rai kwa vijan acheni pombe jengeni makazi yalio Bora Kia's hicho hicho ulichonacho Anza ujenzi acheni pombe na umalaya finally uzeeni.

Mwisho kbsa naomben taarifa za vifaa hvyo kwa mikoani huko kukoje ili niweze ku trade according

Nawasilisha kwa Sasa ddoma chamwino.
 
Sio Umalaya mkuu, michongo haikai. Hela ya kula tu jau sembuse kujenga. Ila tukijipata chap tunafumua mjengo.
Kutumia kipato chako chote kwenye ujenzi ni ujuha, jenga huku maisha yanaendelea, taratibu tu unamaliza, sio unajenga mpaka pesa ya kula tu inakuwa taabu.

Ni bora mara kumi uweke pesa kwenye biashara ikizaa unafanya ujenzi taratibu.
 
Back
Top Bottom