Kikwete ashusha bei vifaa vya ujenzi

Kikwete sasa ameanza kazi, Nondo mm 12 ef 14500, sementi mfuko sh 12400,misumari,bati bei ni bwereree,hadi raha.kama una ujenzi wako wakati ni huu.

kama hivyo ndivyo, basi kuedelea kuishi katika Nyumba zilizoezekwa kwa Nyasi itakuwa kwa sababu zingine kama vile kujipatia "Natural AIR CONDITION"
Safi sana Mweshimiwa.
 
Watu wengine bana,

Unabambikiwa Cement ya Wizi iliyochakachuliwa uzito then unakuja kuongea upuuzi huku.

Kg 42 mfuko ulizouziwa zinahusianaje na kikwete? Alikuambia kashusha
 
Last edited by a moderator:
Kuweni makini usikute mtoa mada anapata cement nondo mabati vote vya deal!
Otherwise uku kwetu cement ni 18500tshs
 
katoka mirembe jana huyo alikuwa anajaribu kuweka thread ili ajipime kama kapona au la
 
Whether hii stori ni kweli au la, lakini ukweli unabaki pale pale kuwa:

  1. CCM imekurupushwa usingizini na kuanza kuendeleza infrastructure (barabara) kwa kasi sasa hivi. Good!
  2. baadhi ya mawaziri wa CCM wameamka usingizini sasa wameanza kuchapa kazi (hope it lasts though). Excellent!
  3. watendaji wengi kwenye taasisi za umma wameanza kuogopa ku-chop (kuiba ovyo). Splendid!
  4. frequency ya safari za JK walau kidogo inaanza kupungua. Encouraging!
  5. hakuna ubishi kuwa hayo yote hapo juu 1-4 yameletwa kwa hisani kubwa ya Operation Sangara, Vua Gamba Vaa Gwanda & sasa M4C
  6. simple logic arithmetic.....kama wabunge less than 50 wa Chadema wameweza kusababisha mabadiliko yote haya ndani ya miaka 2 tu, vipi wakipewa kuongoza nchi walau kwa miaka 5? Fanya extrapolation mwenyewe hata kama hisabati haipandii!!


Pamoja sana Mkuu!
 
Modes tuondoleeni huu upuuzi humu Jamvini unatia hasira msitufanye tukimbie JF kwa ajili ya wapu.......z.....i kama hawa wanaoleta utani kwenye vitu serious
 
mm niko kivule kata ya msongola tarafa ya ukonga cement 16000 uyo atuambie bei iyo inapatikana sehemu gani? kwani tunaitaji kujuwa mie naona kwa serikali hii ni kitu amabacho hakiwezekani mwaonaje bei ya petrol?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom