ismathew
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 253
- 38
Imeeleweka wazi kama mwanzo wa kuinadi sheria aliyoisaini Kikwete ya kutunga katiba mpya, umekuwa ni mwanzo
mgumu sana na mkwamo kwa Serikali ya Ccm. Kwa matokeo yaliyokwisha jitokeza Musoma na Mbeya.
Kisiasa Dr. Slaa kukutana na Kikwete, huo ni mfumo wa siasa ambao unafanyika na unahitajika kuendelezwa,
katika kuifungua zaidi Demokrasia Tanzania. Ila tu pale magogoni mfumo wa kukaa kimaongezi unahitajika kubadilishwa,
na isiwe kifalme zaidi, bali Kidemokrasia zaidi kwa kuchanganyika kwenye meza moja kwa upande wa kulia na kushoto,
Kilichozungumzwa, kilichoajiri na makubaliano kati ya Serikali na CDM hatukijuwi. Tunachosubiri ni taarifa rasmi kutoka
kwa Mkurugenzi ya Habari na Uwenezi wa CDM. Ili tuweze kujadili.