Kikwete akutana na uongozi wa CHADEMA Ikulu; Dr. Slaa ndani

Dk Slaa ni mtu makini na anacheza na mind za magamba kwa sababu magamba wamepiga kelele oo mara sijui hamtambui oo sas dr kaenda kukutana ja JK ili kidomo domo kiishe kabla hawahjazusha ,emngine makubwa ambayo hata haya exist

Shida kubwa ya wanamagamba ilikuwa ni kwama hawakumwelewa Dk.Slaa, Kwa sababu Dk. Slaa alikuwa anasema mchakato uliomwaka kikwete Haukwa halali na hivyo yeye hautambui(siyo Raisi) na akafafanua zaidi kwenye vyombo habari kuhusu hilo lakini kwa sababtu wanamagamba hakuweka akili zao katika mazingira ya kutaka kuelewa alichokuwa anakisema Dk. basi wakabaki kulia tu oo CDM hawamtambui raisi. Ni hatari kukaaa na watu wa namna hii.
 
FF ni kaunti ya nani? Ninahisi kitu kikubwa sana. We soma tu post zake ktk huu uzi na ule wa Sikonge utagundua kitu kizito!
 
FF ni akaunti ya nani? Ninahisi kitu kikubwa sana. We soma tu post zake ktk huu uzi na ule wa Sikonge utagundua kitu kizito!
 
Hv huyo jk wetu kweli aliweza kuongea na hao jamaa maana hiyo timu iliyo ingia ikulu inanatisha sana hao watu ni makini mno ndio maana kikakao kilikuwa kireeu vile.rais wetu jk hana ubavu wa kuongea na hao jamaa ataíshía kuchekacheka tu.
 
Taarifa tulizopata punde ni kuwa Rais Kikwete na ujumbe wa CHADEMA wamekutana Ikulu muda si mrefu, Slaa ni mmoja wa waliohudhuria. Inasemekana ni mwendelezo wa maongezi ya mjadala wa Katiba.



Picha:
Natumaini Makamanda hamkuchinywa hiyo kitu ya Manjano iliwekwa hapo!:

lissu-slaa-kikwete.jpg




juice-ilikuwepo.jpg

Sauti ya wengi ni Sauti Mungu, Mapambano bado yanaendelea:
 
Dah, sikuwepo kijiweni kwa muda lakini naona mambo ni yale yale...CDM wameenda IKULU basi ndio imekuwa hoja nzito badala ya kujua mambo yaliyozungumzwa na tuyajadili kwa mapana. Sasa hapa kinachofanyika ni wafungwa wa magereza wakibishana juu ya gari lililopita nje...

Jamani hivi kweli CDM au Ikulu wanashindwa kutuletea habari kamili ya kile kilichozungumzwa zaidi ya kuambiwa hadi wakati muafaka?..Binafsi siwezi kupongeza wala kutoa maoni yangu juu ya mkutano ambao sielewi kilichofanyika wala kutangulia zaidi ya kuona picha za Ujumbe wa CDM wakiwa Ikulu..
Sioni hoja ya msingi kujadili mtanisamehe ...
 
Back
Top Bottom