Labda umechoka wewe na familia yako! Usitusemee mkuu
Dr. Slaa tunashukuru kwa majibu yako. Tunasubiri taarifa ila shaka yangu ipo hapo kwenye neno "wakati muafaka utakapofika tutatoa taarifa kwa umma". Sijui ni lini wakati muafaka utafika. Hilo tu. Nilikuwa nadhani ungesema kesho ama keshokutwa tutatoa taarifa kwa umma ili niishi kwa matumaini, lakini hili la wakati muafaka linaninyima raha kidogo.
Sawa mkuu hapo tunaelewana. Tunataka elimu kama hii. Nadhani muda huu wamekuw makini hawakusaini communique manake wakati ule waliushangaza umma kwa kusaini communique na kesho yake wakaikana! Naona sasa kwamba mara ya kwanza walikosea na umuhimu wa Dr. Slaa kuwepo ulijidhihirisha. Kwa maana hiyo mkuu yale makubaliano yanakuwa null and void ab initio?Najua huwezi kulielewa hili kwakuwa halifanyiki kama unavyotaka, chama ni taasisi ina vyombo vyake vya uendeshaji na utendaji. Waliokwenda ikulu ni wawakilishi wa kamati kuu lazima warudishe feedback kwa aliyewatuma.
Je unadhani zile para 2 zilizosainiwa mara ya kwanza zilifanywa kwa bahati mbaya?
Chama kinaendeshwa kwa vikao mkuu sio kwa matakwa ya Kimbunga ama Kim wa JF!
mh yani siasa kweli ni mchezo wa ajabu kweli kweli..! hawa ni watu wawili tofauti wenye fikira tofauti kabisa mmoja ni mkumbatia mafisadi mwingine ni mfichua mafisadi..! ila unaona hata ****** anamuangalia kwa uoga..? anajua kua mambo ni magumu hapo 2015..! kwakweli watanzania tuamke sasa hebu tusiwe na fikira mgando..! CCM ni kama gari lililoshindwa safari.. tukiendelea kukaa humo tutaonekana wajinga hebu tupande kwenye lingine tuone nalo litatuchukua umbali gani kuelekea kwenye tanganyika bora zaidi ya hii iliyo haribiwa
Nafikiri hujafikiri vya kutosha kwa taarifa yako wananchi wamechoka na JK na uwezo wa kuandamana ni mkubwa bila kusukumwa na chama chochote ugumu wa maisha ndio unawasukuma kufanya hivyo isipokuwa CDM ndio wanawachelewesha kwa kuwapoza kama hivyo kukaachini kwanza kuongea na Rais amasivyo wangesha andamana muda mrefu tangu kipindi cha mgawo wa umeme mfano mdogo Mbeya walisha kaa barabarani tayari CDM ndio waliokwenda kuwaomba wasitishe hata hivyo maandamano yameirekebisha na kuitia adabu serikali ya CCM.Mkuu inabidi wafuasi wa CDM wajue kwamba hakuna uadui katika siasa na siasa si matusi. Nadhani wameona mfano kwa viongozi wao: Wamehamasisha watu kuandamana weeee mwishowe wameona hakuna tija viongozi wakaamua kuandamana kwenda kwa Rais! Wanachadema humu Jf nao wabadilike wakubalia kukosoana na kujikosoa.
Viongozi wameona maandamano ya ghasia hayana mashiko wameamua kuketi mezani sasa ni wakati muafaka wa hawa watukanaji wa humu kuacha matusi na kurudi kwenye hoja.
W.Slaa,WanaJF,
Nawashukuru wote wanaofuatilia thread hii. Nawaomba kwa mara nyingine muwe na amani. Nawahakikishia hakuna wala hakutakuwa na usaliti. Chadema iko makini sana. Tunasukumwa na uzalendo na nia njema kwa Taifa letu.
Aidha kama alivyosema MMJ, tumekuwa tukisukuma mabadiliko makubwa katika Sheria ya Mabadiliko ya Katiba kabla Rais hajateua Tume ya kukusanya maoni. Tulieleza wazi kuwa vinginevyo hatutashiriki mchakato wa kukusanya maoni.
Ni dhahiri busara ya kawaida inataka tupate progress ya majadiliano hayo hayo na utekelezaji wake. Katiba nzuri ndio afya na uhai wa Taifa hata kama si ufunguo wa matatizo yote yanayotusibu leo. Wakati mwafaka utakapofika tutatoa Taarifa kwa umma.
Msiwe na hofu mtuamini.
Ahsante Mwita Maranya. Kwa hiyo kutakuwa na mikutano mingine kadhaa? Yote heri tu ili mradi yote yafanyike kwa maslahi ya watanzania wote bila kuangalia vyama na maslahi binafsi. Lakini pia muwe makini kwa kuwa CHADEMA kama Chama kinaongea na Serikali ya CCM! Sioni viongozi wa CCM kwenye hiyo mikutano (nina maana ya secretariat), hayo watakayokubaliana na serikali itabidi yaende chamani. CCM ikiyakataa itakuwaje? Tutaanza back to square one?Kimbunga,
Mkuu umeshaambiwa kuwa na subra wakati muafaka ukifika umma utajulishwa. Sasa unataka uambiwe lini wakati mazungumzo bado yanaendelea? Hebu tuwe waungwana japo kidogo haya mambo yanafanyika kwa umakini na kwa maslahi yetu wote.
Sawa mkuu hapo tunaelewana. Tunataka elimu kama hii. Nadhani muda huu wamekuw makini hawakusaini communique manake wakati ule waliushangaza umma kwa kusaini communique na kesho yake wakaikana! Naona sasa kwamba mara ya kwanza walikosea na umuhimu wa Dr. Slaa kuwepo ulijidhihirisha. Kwa maana hiyo mkuu yale makubaliano yanakuwa null and void ab initio?
Ahsante Mwita Maranya. Kwa hiyo kutakuwa na mikutano mingine kadhaa? Yote heri tu ili mradi yote yafanyike kwa maslahi ya watanzania wote bila kuangalia vyama na maslahi binafsi. Lakini pia muwe makini kwa kuwa CHADEMA kama Chama kinaongea na Serikali ya CCM! Sioni viongozi wa CCM kwenye hiyo mikutano (nina maana ya secretariat), hayo watakayokubaliana na serikali itabidi yaende chamani. CCM ikiyakataa itakuwaje? Tutaanza back to square one?
BAADA YA NDOA YA MKEKA INAYOSEMWA (CUF) KIKWETE ANATAFUTA NYUMBA NDOGO (CHADEMA:lol
Mkuu kumbe nawe unafikiri? "nafikiri hujafikiri vizuri". Ngoma droo kumbe wote tunafikiriNafikiri hujafikiri vya kutosha kwa taarifa yako wananchi wamechoka na JK na uwezo wa kuandamana ni mkubwa bila kusukumwa na chama chochote ugumu wa maisha ndio unawasukuma kufanya hivyo isipokuwa CDM ndio wanawachelewesha kwa kuwapoza kama hivyo kukaachini kwanza kuongea na Rais amasivyo wangesha andamana muda mrefu tangu kipindi cha mgawo wa umeme mfano mdogo Mbeya walisha kaa barabarani tayari CDM ndio waliokwenda kuwaomba wasitishe hata hivyo maandamano yameirekebisha na kuitia adabu serikali ya CCM.
Unatumia chombo gani cha mawasiliano mkuu! Mbona zipo tele hata mimi natumia mchina lakini nazionaivi mbona mimi sizioni hizo picha, kama kuna mkuu anaweza kuzipost tena naombeni jamani.
siasa siiiii uadui wana JF.binafsi nafarijika sana na hatua hii.hatuna sababu ya kumwaga damu,kujeruhiana kisa siasa.
Nchi maskini kama Tanzania hatuna sababu ya kuhasimiana hadi tunashindwa kusalimiana eti madaraka.nawaponeza wote kwa kuwa wana siasa wastaarabu.
Leo Dr Slaa naye amepata fursa ya kunywa juice ya ikulu lau glass moja.
Mkuu maranya, katika siasa chochote chaweza kutokea. Inaweza kuwa si kuunganisha vyama lakini kitu kingine ambacho kitakuacha mdomo wazi. Ndugu yangu usiwe mwepesi wa kula yamini namna hiyo utakuja kuiona dunia chungu pindi utakapogundua kwamba wenzako si wenzako!
unataka maji yaliyokamilika au nusunusu na kama ni hivyo itaondoa umaana wake sasa wewe vutasubila kama dr alivyokwambia iliupata majibu yaliyokamilika hata kama unataka kuyafanyia kazi ufanye kazi iliyokamilika mkuu.dr. Slaa tunashukuru kwa majibu yako. Tunasubiri taarifa ila shaka yangu ipo hapo kwenye neno "wakati muafaka utakapofika tutatoa taarifa kwa umma". Sijui ni lini wakati muafaka utafika. Hilo tu. Nilikuwa nadhani ungesema kesho ama keshokutwa tutatoa taarifa kwa umma ili niishi kwa matumaini, lakini hili la wakati muafaka linaninyima raha kidogo.
WanaJF,
Nawashukuru wote wanaofuatilia thread hii. Nawaomba kwa mara nyingine muwe na amani. Nawahakikishia hakuna wala hakutakuwa na usaliti. Chadema iko makini sana. Tunasukumwa na uzalendo na nia njema kwa Taifa letu.
Aidha kama alivyosema MMJ, tumekuwa tukisukuma mabadiliko makubwa katika Sheria ya Mabadiliko ya Katiba kabla Rais hajateua Tume ya kukusanya maoni. Tulieleza wazi kuwa vinginevyo hatutashiriki mchakato wa kukusanya maoni.
Ni dhahiri busara ya kawaida inataka tupate progress ya majadiliano hayo hayo na utekelezaji wake. Katiba nzuri ndio afya na uhai wa Taifa hata kama si ufunguo wa matatizo yote yanayotusibu leo. Wakati mwafaka utakapofika tutatoa Taarifa kwa umma.
Msiwe na hofu mtuamini.
mkuu nimetumia neno hilo nafikiri kwasababu sipo ndani ya ubongo wako, ninaona matokeo ya ubongo wako kwenye maandishi yako nasitaki kuamini kwamba wewe hujui halihalisi huku mtaani ya ugumu wa maisha usiokuwa na sababu ya msingi ambao nyie magamba mmeusababisha kwa kutofikiri kwenu vizuri.mkuu kumbe nawe unafikiri? "nafikiri hujafikiri vizuri". Ngoma droo kumbe wote tunafikiri