Kikwete aelekea Msoga Bagamoyo kujiweka sawa!

Natafakari, bibi au babu anayeishi ktk banda huko msoga, hana hata baiskeli chakula chake tabu, umeme labda haujui, halafu mtu mwingine mwenye elimu yake ya kutosha ya Chuo kikuu anakwenda kuomba upako wa kupata au kulinda ubunge au Urais wake. Mantiki ya kawaida inakataa, na hii ni aibu kubwa kwa viongozi wetu na laana kwa taifa. I will never advise somebody to do that.

KIKWETE-CHALINZE-2005_30120736_std.jpg

Mh! na hii nayo anavushwa kwenda wapi? au michuzi amemtafutia kigagula kingine!!

Jason si jina la kiume?

Mnhhhh, makubwa jamani! mwanamme mzima kwenda kuleta udaku wa kike kwenye jamvi kama hili? Unanshangaza!

Na mijitu mingine inashadidia kwenye ujinga kama huu? Hivi mmekosa ya kusema wala ya kufikiri? hii inawasaidia nini? Uongo mweupeee wa mchana kweupeee! mwanamme hapendezi kwa haya jamani, loohhh! mkeo (kama unae) yuko mashakani.

Hahaha, ff..nani muongo ww au mtoa mada, maana yeye kaleta mada ww kama unaona ni uongo toa ushahidi against hiyo mada, na sio kulalama kama ilivyo kawaida yenu magamba....

Fb lete mambo zaidi

Hahaha, ff..nani muongo ww au mtoa mada, maana yeye kaleta mada ww kama unaona ni uongo toa ushahidi against hiyo mada, na sio kulalama kama ilivyo kawaida yenu magamba....

Fb lete mambo zaidi

Nilishamwambia taratibu za kujibu hoja zilivyo,nasikitika kuwa bado kichwa cha ff nikizito!!

Rais Kikwete ni mkulima.na ili kuthibitisha hilo angalia hapa akiwa kwao huko msoga.

JK Shambani

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa shambani kwake Msoga, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. Shamba hilo ni la manyasi ya kulishia mifugo kwa njia ya kisasa (zero grazing), akiwa ni mmoja wa wafugaji kijijini hapo. Rais Kikwete, ambaye aghalabu hutumia muda wake wa likizo shambani kwake, pia analima pia mananasi ambayo hustawi vizuri katika wilaya hiyo. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mh Mwantumu Mahiza. kuthibitisha hilo,wkend hii ameamua kutumia mda wake shambani.

Kwanini msoga sio kwingine kama ruvuma etc? why msoga?????????????????????? why msoga??????

Enzi hizo unatengengeneza uzushi kama huu unaupost Jf

Mods hawaufuti wala hawakupigi ban

Anaeuleta huo uzushi ni verified user

Anamaliza ku post anaenda zake kukusanya Bamia na bilinganya Shamban kwake Kigamboni na hakuna anaemuuliza chochote kuhusu uzushi huo dhidi ya Amiri jeshi

JPM karudisha sana hadhi ya Rais iliyopotea sana wakati wa Jongwe mwenzangu wa Msoga kwa kucheka Cheka na Kima

Hakuwa verified user kuna jina alikuwa akijiita

Sent using Jamii Forums mobile app

Back
Top Bottom