Kikwete aelekea Msoga Bagamoyo kujiweka sawa!

ndo naona msafara unarud magogoni hapa, ivi JB ulokuwa unasema ni kweli? we noumer

Jb ulikuwa unatuzingua sio? Au kashapata chale za kwenye masaburi sasa anarudi kujiandaa kuhutubia taifa mwisho wa mwezi!

Anarudi now,tulisimamishwa hapa magomen kusubiri apite,,,,kwenye makutano ya kawawa n moro rod,,,,,,

au ndo huyo bibi anaenda kutoa maelekezo ya nini hatma ya Jairo? Inawezekana ye ndo master maind lol

mkuu wa nchi, Amiri jeshi mkuu, kiboko ya slaa, kiongozi mwenye busara, hekima na subira ndio anarudi ikulu.

Jb ulikuwa unatuzingua sio? Au kashapata chale za kwenye masaburi sasa anarudi kujiandaa kuhutubia taifa mwisho wa mwezi!

Nilichoeleza ni kitu halisi kabisa!
Soma updates hapo juu mkuu!!

Akipata ajali mbona tutafanya sikukuu ya lazima kusheherekea nitakunywa mwezi mzima kwa furaha nitakyokuwa nayo.

Hata mimi sitarudi nyumbani hata wk 2 mpaka pesa ziishe na ntakodi matarumbeta

Hvi kumbe yuko nchini,me nlidhan bado yuko kwenye birthday ya obama kule UsA?

mwacheni bwana,kwenda kwa mganga sio kosa.....labda yeye ndiko anakoabudu.....kila mtanzania ana haki ya kuabudu anakokupenda hata kama ni miti LOL

Back
Top Bottom