hayo yote hayaangaliwi, anaangalia ustaarabu wake tu na kuendelea kubaki madarakani! Lakini nawe bourne wakikugundua unatoa siri zao watakupa kipigo cha mbwa mwizi!
Ingekuwa mwezi wa kula mchana tungekukubalia japo kwa shingo upande, kwa mwezi huu? alishwe madawa mchana kweupee na wewe uko hapo hapo ukishuhudia yote? uongo wa kitoto huu! Huna haya wala hujui vibaya?
hizi habari uzushi mtupu.... mkuu wa kaya yupo kwenye mfungo alikunywaje hivo vitu
kweli nilikuwa shamba nikaona msafara! Watu mnatisha khaa!
hizi habari uzushi mtupu.... mkuu wa kaya yupo kwenye mfungo alikunywaje hivo vitu
Mkuu wa kaya akiwa na mpenzi mkewe na Said Mwema wanaelekea nyumbani kwao Bagamoyo kwa mapumziko!
Pamoja na mambo mengine atakwenda kwa KIGAGULA wake aliyemsaidia kufika magogoni ambae yupo umbali wa kama km 1 hivi kutoka msoga!
Mganga huyo kwa taarifa nilizozinasa toka ktk chanzo changu muhimu ndani ya familia hii zinasema kuwa huyo kigagula amemuita mkuu wa kaya!!
NB: Nilishindwa kuwapa updates ya kikao cha juzi usiku kutokana na hali ya usalama kuwa ya juu kiasi kwamba hatukuaminiana wenyewe kwa wenyewe!
Lakini mungu alisimama upande wangu, habari yote ninayo na nitaiweka hapa japo inatisha!!
UPDATES!
Msafara umefika salama salimini,yanayoendelea sasa hivi ni kifamilia zaidi lakini nimejipenyeza mpaka mstari wa mbele!
Kaka yake mkuu wa kaya sasa hivi ndiye msemaji japo kwa sasa hakuna zito zaidi linalojadili ila nitakomaa mpaka mida ya kwenda kwa kigagula wake huyo! Leo lazima nishuhudie yote yanayotendeka! Nyie vuteni subira!!
Nimeambiwa kuwa huyo kigagula ni bibi!!
More Updates!!
Naomba samahani kwa kuchelewa kuwapa yanayojiri hii ilitokana na mazingira niliyokuwa nimekaa!
Bibi keshafanya mambo,nilichokiona kwa macho yangu ni kuwa bibi amemunywesha kitu kama damu hivi na kumwogesha maji meusi kisha akambadilishia pete ya mkononi na kumpa nyingine!
Moja ya masharti niliyosikia ni kuwa wakati wa kutoka pale msigeuke nyuma!
Lakini mimi niligeuka tu nyuma!! Na akasema tusirudi kwa njia ile tuliyoendea ndipo tukapita kimara kule kwa marehem kawawa!
Kwa sasa msafara usharudi magogoni na ****** anaonekana kujiamini kidogo!
Kaeni mkao wa kula kuna ishu hatari ya Riz1 najiridhisha kisha niwamwagie hapa!!!!

Mkuu huwezi kututupia na picha kidogo za hayo mambo?tuone huwa inakuaje!
Hivi mfungo huwa hauruhusu kunywa "dawa"? Acheni uwongo bwana! Kwa hiyo waislamu wagonjwa hawanyi dawa zozote zenye mwelekeo wa chakula au kinywaji kwa vile wamefunga? Kama wagonjwa wanaweza kunywa dawa ili kuokoa maisha yao kwa nini rais asinywe hicho kitu cheusi kama damu kama sehemu ya tiba?
Nimevumilia kutokukujibu ila nimeshindwa. Nashkuru kama unakiri kuwa inawezekana Rais wetu kufanya mambo ya giza, ila kinachokutatiza ni kwamba huu ni mwezi wa kushinda njaa mchana. Kunaconnection gani kati ya kutokula mchana na kufanya mambo ya giza.

Wewe unadhani kuwa waislam wote nchini/duniani wanafungaga (kushinda njaa mchana) kama wewe wkt wa mfungo wa Ramadhani?? jua kuna kundi kubwa tu, including wagonjwa na hata pengine Rais wetu huwa hawafungagi.
Hivyo kutofunga kwa JK sishangai na hakumuondolei sifa yake ya uislam. Bado ni muislam ila atakuwa amevunja tu amri/masharti ya uislam. Je wewe watimiza masharti/nguzo zote za uislam maisha yako yote, achilia mbali kipindi cha mfungo? Au baada ya mfungo uislam unaruhusu mtende dhambi????
Mwanamke anapokuwa kwenye siku zake hatakiwi kufunga,,,,,,

ziseme sasa wewe unayezijua, siyo kuniuliza swali tena? Eboo!unazijua sifa za kufunga wewe ? au unaongea tu wengine wakuone na wewe unaongea?