Kikwete aelekea Msoga Bagamoyo kujiweka sawa!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,985
20,263
Mkuu wa kaya akiwa na mpenzi mkewe na Said Mwema wanaelekea nyumbani kwao Bagamoyo kwa mapumziko!
Pamoja na mambo mengine atakwenda kwa KIGAGULA wake aliyemsaidia kufika magogoni ambae yupo umbali wa kama km 1 hivi kutoka msoga!

Mganga huyo kwa taarifa nilizozinasa toka ktk chanzo changu muhimu ndani ya familia hii zinasema kuwa huyo kigagula amemuita mkuu wa kaya!!

NB: Nilishindwa kuwapa updates ya kikao cha juzi usiku kutokana na hali ya usalama kuwa ya juu kiasi kwamba hatukuaminiana wenyewe kwa wenyewe!
Lakini mungu alisimama upande wangu, habari yote ninayo na nitaiweka hapa japo inatisha!!

UPDATES!

Msafara umefika salama salimini,yanayoendelea sasa hivi ni kifamilia zaidi lakini nimejipenyeza mpaka mstari wa mbele!
Kaka yake mkuu wa kaya sasa hivi ndiye msemaji japo kwa sasa hakuna zito zaidi linalojadili ila nitakomaa mpaka mida ya kwenda kwa kigagula wake huyo! Leo lazima nishuhudie yote yanayotendeka! Nyie vuteni subira!!
Nimeambiwa kuwa huyo kigagula ni bibi!!

More Updates!!

Naomba samahani kwa kuchelewa kuwapa yanayojiri hii ilitokana na mazingira niliyokuwa nimekaa!

Bibi keshafanya mambo,nilichokiona kwa macho yangu ni kuwa bibi amemunywesha kitu kama damu hivi na kumwogesha maji meusi kisha akambadilishia pete ya mkononi na kumpa nyingine!
Moja ya masharti niliyosikia ni kuwa wakati wa kutoka pale msigeuke nyuma!
Lakini mimi niligeuka tu nyuma!! Na akasema tusirudi kwa njia ile tuliyoendea ndipo tukapita kimara kule kwa marehem kawawa!
Kwa sasa msafara usharudi magogoni na ****** anaonekana kujiamini kidogo!

Kaeni mkao wa kula kuna ishu hatari ya Riz1 najiridhisha kisha niwamwagie hapa!!!!
 
Mkuu wa kaya akiwa na mpenzi mkewe na Said Mwema wanaelekea nyumbani kwao Bagamoyo kwa mapumziko!
Pamoja na mambo mengine atakwenda kwa KIGAGULA wake aliyemsaidia kufika magogoni ambae yupo umbali wa kama km 1 hivi kutoka msoga!
Mganga huyo kwa taarifa nilizozinasa toka ktk chanzo changu muhimu ndani ya familia hii zinasema kuwa huyo kigagula amemuita mkuu wa kaya!!
!!

HEEE!!! nilidhani baada ya kufa kwa BABA AKE WA HIYARI YAHAYA MAJINI HUSSEIN kumbe ana mwingine? kaenda kucheza mahepe??
 
Madawa yapo.Kwa jina la YESU wameshindwa.hatudanganyiki tena.yeye akaoshwe tu.ila DAMU YA YESU INA NGUVU.
 
Ajali!ajali!ajali heeee jamani msafara umenusurika kupata ajali hapa maeneo ya wazo kuna daladala imegongwa!!!
 
Mwaje akajiliwaze maana tangu aondoke Shekh Yahya pale Magogoni hapakaliki kabisaa
anataka faraja ****** wa watu maana kila akitazama kila kitu kimemshinda, anasubilia ku resign tuu.
 
Mkuu ulimpenda kwenye movie yake mpaka jina umeweka .... ... ... bora uwe Bourne wa ukweli .... .... ..... .... lakini wewe ni number ngapi katika series ... ... Back to the mada ... M k w e r e aka Fisadi papa anamwenda kupumnzika kwani ni kazi gani ya maana aliyoifanya? Huyu jamaa ni joka kweli pambaf kabisa[/QUOTE said:
Kumsimamisha kazi rafiki yake kipenzi Jairo
 
Hivi huyu jamaa si kila siku kapumzika...kwani kuna kazi gani anafanya? Naona bora ungesema kabadilisha kiwanja maana hata pale kwake msoga ni kama 5 star hotel flan
 
Du lakini inatisha kweli,
Sina uhakika kama bado yu hai: MBONA MSAFARA WAKE UNA - AMBULANCE, MADAKTARI BINGWA NA HATA GARI LA ZIADA??? Kwa kweli napata wasiwasi mkubwa kama anayetuongoza bado ni yeye, au vinginevyo... Au ye amebaki kupokea jezi za wachezaji wa Marekani tuu Ikulu.?? Akkhh.
 
Endeleeni kutujuza vipi hiyo ajali wamesalimika? Msafara umefika salama Msoga?
 
Ajali!ajali!ajali heeee jamani msafara umenusurika kupata ajali hapa maeneo ya wazo kuna daladala imegongwa!!!
<br />
<br />

Kwa mwendo kasi msafara uliokuwa unatembea nao hilo lawezekana kabisa. Nilikua naelekea tegeta tukasimamishwa kuupisha msafara. Kilichovuta attention yangu ni mwendokasi msafara unaopita nao, na jinsi magari ya msafara yalivokuwa yamesambaa barabarani ni kama vile gari tatu tatu zinatembea sambamba kwa wakat mmoja, kama kwenye sinema hivi.
 
Hivi huyu jamaa si kila siku kapumzika...kwani kuna kazi gani anafanya? Naona bora ungesema kabadilisha kiwanja maana hata pale kwake msoga ni kama 5 star hotel flan

Wiki hii mkulu toka msoga amefanya kazi kubwa sana ya kurudisha ofisini rafiki yake kipenzi david jairo na kisha kumesnd off likizo baada ya mkwara wa bunge.
Inabidi akajipumzishe msoga ili kujiepusha na rabsha za daslam, akifikiria ni lini, wapi na kwa utaratibu gani jairo atarudi kazini.
 
Huyu bwana anapenda sana kwenda msoga bana! Amezidi, kuna cku nimeona msafara saa kumi unatoka msoga, by saa moja usiku ukawa unarudi msago tena. Imagine anatumia morogoro road!

mkewe alisababisha ajali ruvu juzi kati jamaa moja akafia pale pale na landcruiser yake masikini sijui alikuwa anaenda wapi, alikuwa mwenyewe!
 
yule alimtoa "sadaka"..du jason mkali...lete lete..
 
Back
Top Bottom