Kikwete aelekea Msoga Bagamoyo kujiweka sawa!

Ndio maana tuko maili nyingi sana nyuma. Alie mbele yetu anategemea uchawi. Hawezi kutumikia wananchi hata chembe badala yake atatumikia waganga kwa maana hao ndio tumaini lake.
Alaaniwe hapa na huko kama hatabadilika.

Yan na mwezi m2kufu huu haogop hata,c naskiaga nae huwa anafunga au?

Jason si jina la kiume?

Mnhhhh, makubwa jamani! mwanamme mzima kwenda kuleta udaku wa kike kwenye jamvi kama hili? Unanshangaza!

Na mijitu mingine inashadidia kwenye ujinga kama huu? Hivi mmekosa ya kusema wala ya kufikiri? hii inawasaidia nini? Uongo mweupeee wa mchana kweupeee! mwanamme hapendezi kwa haya jamani, loohhh! mkeo (kama unae) yuko mashakani.

Jason si jina la kiume?

Mnhhhh, makubwa jamani! mwanamme mzima kwenda kuleta udaku wa kike kwenye jamvi kama hili? Unanshangaza!

Na mijitu mingine inashadidia kwenye ujinga kama huu? Hivi mmekosa ya kusema wala ya kufikiri? hii inawasaidia nini? Uongo mweupeee wa mchana kweupeee! mwanamme hapendezi kwa haya jamani, loohhh! mkeo (kama unae) yuko mashakani.

Nilitegemea ukipinga basi uje na ukweli wa unachokipinga kumbe unaleta mipasho!!!
Love uuuuu ff!!!

Mkuu ulimpenda Jason kwenye movie yake mpaka jina umeweka .... ... ... bora uwe Bourne wa ukweli .... .... ..... .... lakini wewe ni number ngapi katika series ... ...

Back to the mada ... M k w e r e aka Fisadi papa anamwenda kupumnzika kwani ni kazi gani ya maana aliyoifanya? Huyu jamaa ni joka kweli pambaf kabisa.

Akienda kwa mganga ndo kupumzika kwenyewe?kwenda kunywa damu na kuogeshwa na bibi kweli wizi wa kura mmbaya

Amenyweshwa kitu kama damu kwani hajafunga?Niishie hapa ila naomba uthibitisho zaidi wa hoja hii niweze kusema.

JK hawezi livu bila wewe kuleta complaint?
Tumwache apumzike? Hizi ni nyakati tofauti Garnesh, enzi zile za mtawala kukubalika wakati wote, na watu wote, afanyapo lolote, zimepita.

Binafsi sijali kama alienda Msoga kwa mchawi, in fact pamoja na mapungufu yake yote siamini Rais anaweza kwenda kwa kigagula, tatizo ni kwamba Kikwete hutembea na ma X5 na ma Defender na mapikipiki na ma ambulance kama arobaini hivi. Kwenda Msoga na kurudi ni kisafari cha kuongeza mzigo kwa walipo kodi tu, na traffic jam anayotengeneza kuanzia Bagamoyo mpaka Magogoni ina athari za kiuchumi.

Nilichoeleza ni kitu halisi kabisa!

Soma updates hapo juu mkuu!!

mh..we si juzi ulikua pale wizara ya nishat wakati jairo anasukumwa leo uko msafara wa mkuu BRO UNAWAFANYA WATU HUMU NI WAJINGA SANA SIO!?Nakushauri uache kuvwekea ujinga wako humu mkuu unajidhalilisha

Nilitegemea ukipinga basi uje na ukweli wa unachokipinga kumbe unaleta mipasho!!!
Love uuuuu ff!!!

Ingekuwa mwezi wa kula mchana tungekukubalia japo kwa shingi upande, kwa mwezi huu? alishwe madawa mchana kweupee na wewe uko hapo hapo ukishuhudia yote? uongo wa kitoto huu! Huna haya wala hujui vibaya?

hayo yote hayaangaliwi, anaangalia ustaarabu wake tu na kuendelea kubaki madarakani! Lakini nawe bourne wakikugundua unatoa siri zao watakupa kipigo cha mbwa mwizi!

na nadhani jason unawaokota sana humu na huo ujinga wako pengine utoto unakusumbua how old are u boy na uko kidato cha ngapi tusije kukujudge kumbe niform nyoya'.

hii thread nashauri ifutwe! Mods naomba ondoeni hii kitu.Kama Rais wako anashinda kwa vigagula fanya kumuombea Mungu wa kweli ambadilishe lakini usimdhalilishe hapa jamvini! Hii habari yako haina uthibitisho na imekaa kimajungu jungu.

"Mungu hashirikishwi na kitu chochote".
Amefung kweli????

KIKWETE-CHALINZE-2005_30120736_std.jpg

Back
Top Bottom