Elections 2010 Kikwete aahidi usafiri wa treni Dar

This guy whatever he say he mean it, and infarct he does it. And if he doesn't do it, is just because of time limitation. Give him more time u gonna prove my words.

I can't wait to ride on Dar Subway!! Then heading to the New Dubai (Kigoma) and the Amsterdam of Africa (Mwanza):becky:
 
Mwambieni anatakiwa apanue barabara mpaka mlandizi au chalinze, mabasi kuishia kimara ni kituko hii inaonyesha asivyoijua hata dar, kimara mbezi asubuhi na jioni kunafoleni ya kufa mtu. darts yake haitasaidia.
 
Huu mradi umeanza kuuimbwa toka mwaka gani sijui. Na kuna watu wanakula mishahara tayari. Hii miradi ambayo bado wanachi hatujaona dalili za kuanza kwake bora rais awaachie watendaji wake waizungumzie.

Kuna mradi mwingine wa kuumia feri Posta- tegeta msaada Mbezi. Kuna waziri aliuzindua kwa maneno miaka ya nyuma. Hope nado wanatafuta wafadhili.

Ukiona foleni kuuubwaaaa ya magari na bajaji ndio maisha bora kwa kila mtanzania.
Mtajengewa subways sasa hivi
 
Huyu kikwete wawe wanarekodi haya mambo anayosema halafu baadaye wamuwekee mkanda atazame alichokuwa anasema.bila Shaka atakuwa anatuona mazuzu san a.we kweli kigoma na kuchoka kote kule Leo unasema utapafanya pawe Kama Paris...?
 
SERIKALI inatarajia kuanza kutumia njia ya reli kwa ajili ya kusafirisha abiria kwa mkoa wa Dar es Salaam ili kuondokana na adha ya foleni ambayo inazidi kila kukicha.

Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Rais Jakaya Kikwete wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa miundombinu kwa mabasi yaendayo kasi.

Rais Kikwete alisema kuwa suala hilo lilikubaliwa katika vikao vya Baraza la Mawaziri hivyo kinachosubiriwa ni Wizara ya Miundombinu kuangalia namna ya kuanza kulifanyia utekelezaji.


Alisema kuanza kutumia njia ya reli kutaleta manufaa na kupunguza foleni kwa wakazi wa jiji kwa kuwa kwa safari moja zaidi ya abiria ambao si chini ya elfu nne wataweza kusafirishwa.


“Mpango wa sasa tulionao ni kutumia njia ya reli kwa ajili ya kusafirisha abiria maana njia hiyo itasaidia kupunguza foleni na kwa wakati mmoja zaidi ya abiria elfu nne watasafirishwa, jambo hilo tulishakubaliana na Baraza la Mawaziri hivyo wizara husika tunaamini itakuwa imeanza kufanyia utekelezaji,” alisema.


Haya ngoja tuone..! hahahahahahaha

Katika hatua hiyo Rais Kikwete alizindua awamu ya kwanza ya ujenzi wa Miundombinu ya Mradi wa Mabasi yaendayo kasi (DART) katika jiji la Dar es Salaam ambao utanatarajiwa kukamilika mwaka 2012.

Ujenzi huo unaoanzia eneo la feri na kuishia Kimara ambapo aliwataka wamiliki wa mabasi hayo makubwa kutumia gesi asilia ili kuondokana na uharibifu wa mazingira.

Mradi huo unaotekelezwa katika awamu sita, umefadhiliwa na Benki ya Dunia (WB) hadi kukamilika kwake utagharimu kiasi cha sh trilioni 7.3.


Source: Tanzania Daima

Kama hajadanganywa huyu sijui...! Mzee wa uzinduzi, alizindua feri, gari la wagonjwa, hoteli ya kitalii kule Arusha hahahahaha! Jamaa wasanii sana

Jamaa kwa kuzindua hata mimi namvulia kofia.
 
Huyu kikwete wawe wanarekodi haya mambo anayosema halafu baadaye wamuwekee mkanda atazame alichokuwa anasema.bila Shaka atakuwa anatuona mazuzu san a.we kweli kigoma na kuchoka kote kule Leo unasema utapafanya pawe Kama Paris...?

Loood have mercy!:eyebrows:
 
Watanzania inabidi sasa tuamke. M2 anapotoa ahadi kama hizi ili kupata kura inabidi tuhoji kabla ya kupiga kura. Kwa mfano mtu anapokwamia nipe kura halafu kutukua na maishabora kwa kila mtanzania. Inabidi umuulize hayo maisha bora yatakujaje? Akikwambia kwa kasi mpya na ari mpya ujue bado hajakujibu!
Mungu atusamehe:becky:
 
This guy whatever he say he mean it, and infarct he does it. And if he doesn't do it, is just because of time limitation. Give him more time u gonna prove my words.

Bad campaign by the opposition parties. Instead of appreciating and respecting what Hon. Kikwete is planning to do for the city of Dar, all you do is whining. Are you jealous that the Indian contractors will win the bidding competition over your incompetent local contractors. When will you grow up?Instead of stressing about your future policies and strategies, you start whining about corruption. That's why the majority of the Tanzanians still overwhelmingly approve the job that has been done by CCM since independence because its leadership is lase-focused on how they can improve the economy and the lives of the citizens. There's no corruption in this country. If so, then why Chadema and CUF are not winning elections? Stop making false allegations about JK/CCM.
Vote CCM
 
Back
Top Bottom