Kikao cha Pamoja, Dr slaa (Chadema) na Sam Ruhuza (NCCR) now!

padri slaa mjanja sana amepakimbia uzini ili matokeo yakitoka awe na lakujitetea

Dr Slaa alishawahi kusema kila mtu nchii hii anajua kuwa aliwahi kuwa Padri ni fact kwa hiyo kutumia jina la padri Slaa kila unapoandika habari zake wakati kwa miaka hii haitumikii hiyo fani haimpunguzii kitu chochote unaonyesha jinsi ulivyo mjinga
 
Yanawezekana haya bila vikao husika kuhusishwa? Isije ikawa kama wanavyosema sasa kuwa MUUNGANO ni kati ya Mwalimu na Karume na sio Tanganyika na Zanzibar! Siamini kama Dr Slaa anaweza kuyafanya haya kwa staili hii.
 
Good move kwahiyo kesi imefungwa na Mh. Mdee mpaka 2015 ahsante. Pia ingependeza zaidi kama tutawekewa full document ya hayo makubaliano ili tuufahamu kiundani zaidi UWAZI NA UKWELI. Nimefurahi sana leo kwa taarifa hii.
 
Bahati nzuri Dr Slaa yumo humu, kama hutajali Dr. unaweza kutufafanulia zaidi kuhusu huu ushirikiano mpya

There are currently 57 users browsing this thread. (18 members and 39 guests)

Dr. Slaa amesepa maake hakutarajia haya mambo yatafika humu. Hii siri itakuwa imevujishwa na wana NCCR.

Perhaps Slaa hakuwa kisiasa zaidi na pengine alikwenda kumsalimia tu SHEMEJI yake SAM RUHUZA (Kaka na ndugu wa ukoo ama kikabila ) wa mkewe Josephine Mushumbusi.
 
padri slaa mjanja sana amepakimbia uzini ili matokeo yakitoka awe na lakujitetea

Sijui kama unafahamu, lakini mapadre ni moja ya watu wenye akili sana tofauti na maamuma wenu. Kwa hiyo unaweza ukadhani kwa kumuita "padre" unamkebehi kumbe wenye akili humu wanafurahi kwa kuwa unakiri uwezo wake mkubwa wa akili pasipo kujijua.
 
Dr. Slaa amesepa maake hakutarajia haya mambo yatafika humu. Hii siri itakuwa imevujishwa na wana NCCR.

Perhaps Slaa hakuwa kisiasa zaidi na pengine alikwenda kumsalimia tu SHEMEJI yake SAM RUHUZA (Kaka na ndugu wa ukoo ama kikabila ) wa mkewe Josephine Mushumbusi.

Katoka nduki kaona pameishanuka JF mtu kwenda kumsaliamia shemeji yake imeishakuwa kaenda kwenye kikao cha NCCR.
 
Sijui kama unafahamu, lakini mapadre ni moja ya watu wenye akili sana tofauti na maamuma wenu. Kwa hiyo unaweza ukadhani kwa kumuita "padre" unamkebehi kumbe wenye akili humu wanafurahi kwa kuwa unakiri uwezo wake mkubwa wa akili pasipo kujijua.

Mkuu, Maamuma ndio kina nani?
 
sasa chadema inaenda kufa rasmi kabla ya 2015!!mbatia can never be trusted,...kama moja ya makubaliano ni kufuta kesi ya kawe,mimi napinga,huwezi kuua chama kizima kwa jimbo moja..kwani mdee kashajua kuwa atashindwa kesi?
 
Nimepata taarifa kuwa Katibu mkuu wa CHADEMA Dr Slaa anaelekea kwenye ofisi za NCCR mageuzi kwa mazungumzo na katibu mwenzake Sam Ruhuza. Nafuatilia kujua kipi kinazungumzwa kati ya makatibu hao wawili then nitawaletea hapa jamvini soon!

Updates:

Taarifa ni kwamba CHADEMA na NCCR wamekubaliana kuungana na kusameheana katika kila jambo walilowahi kutendeana na wamekubaliana kushirikiana kuanzia sasa. Katika makubaliano hayo Mbatia amefuta kesi ya uchaguzi dhidi ya Halima Mdee kesi namba 101 ya mwaka 2010. Kuanzia sasa wamekubaliana kufanya kazi kwa ushirikiano kwa lengo la kuimarisha upinzani na kuhakikisha CCM inang'oka mwaka 2015. Makubaliano hayo yamesainiwa na DR Slaa na Sam Ruhuza katika ofisi za NCCR Mageuzi dakika chache zilizopita.

Yaani CDM inaungana na Mbatia huyu huyu mnaedai ni pandikizi la CCM - Kweli hamtabirirki
 
Yaani CDM inaungana na Mbatia huyu huyu mnaedai ni pandikizi la CCM - Kweli hamtabirirki
NCCR sio Mbatia. Hata mtoto wa darasa la kwanza analielewa hilo inakuwaje wewe hulielewi? tafakari kwanza uwezo wako kisha njoo humu jamvini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom