Kikao cha Pamoja, Dr slaa (Chadema) na Sam Ruhuza (NCCR) now!

Congratulation.We have been waiting for long the important minute, in which we can say the force of change through
2015 Election can never stop. The compromise between CDM and NCCR to be a coalition Political Party, will be a
today Word. For the all Tanzanians who likes the change, and starting the new era with the Technical programs in
every sector, and every Department, at least in short time to be able to sweep our poverty, and rich the standard
life style. The good Idea always is make everything to possible. Now we are in waiting for the official announcement
from CDM conferming about the coalition Between CDM + NCCR. Together we Can.
 
Nadhani litakuwa jambo jema sana lakini je ni nini nguvu ya NCCR katika siasa za Tanzania leo hii ? Maana isije ikawa kuna kuoteza nguvu tu kume NCCR ni Ilala na Kigoma pekee naombeni msaada wenu tafadhali .
 
Nadhani hii itakuwa fursa njema ya Machali, Mbatia kushirikiana na Kafulila (atahamia Chadema) na kuchapa kazi together for life.Teeeh...teeeeeh.
 
duh jamaa mnamsaka DR. kama almasi -- hamna kazi nyingine yaani ni DR. wetu tu yuko wapi, kwani na nyie si mna dr wenu hawatoshi? kwa nini hamjiulizi mbona sisi hamtusaki huyo wenu? :lol:
 
if this is true, je mpo tayari kupokea ujio wa kafulila na wale wananchama wengine toka NCCR to CDM na kufanya kazi nao? je mpo tayari kumpokea Rashid pia? ni mtazamo tu msinipige mawe wana CDM.
 
Hili ni katika kuzima sakata la Zito kujiunga na NCCR ,sidhani kama Slaa ataweza kuzima !
 
Hili ni katika kuzima sakata la Zito kujiunga na NCCR ,sidhani kama Slaa ataweza kuzima !

mbona nyinyi mliolewa na CCM tena kwa ndoa ya mkeka? tulia watu waikomboe nchi, CCM inaenda kaburini moja kwa moja na mafisadi wote ni kifungo na kufilisiwa
 
Ndugu wanaJF, hizi ni habari za kweli, historia mpya imeandikwa, hatimaye makubaliano yamefikiwa. Vyombo vya habari vilikuwepo ku-cover tukio. Bila shaka vitaanza soon kuujulisha umma. Hongereni sana viongozi wetu!
 
Ngudu wanaJF, hizi ni habari za kweli, historia mpya imeandikwa, hatimaye makubaliano yamefikiwa. Vyombo vya habari vilikuwepo ku-cover tukio. Bila shaka vitaanza soon kuujulisha umma. Hongereni sana viongozi wetu!
Makubaliano ya namna hii nje ya vikao rasmi vya vyama husika huwa hayadumu au yanadumu kwa kuwategemea hao waliokubaliana kuendelea kuwepo kwenye nafasi zao.
 
Bonge la kolabo!!CCM wana kazi 2015 kama JK ajawakimbiza watendaji wake basi CCM mnageuka wapinzani hivi karibuni!!
 
Makubaliano ya namna hii nje ya vikao rasmi vya vyama husika huwa hayadumu au yanadumu kwa kuwategemea hao waliokubaliana kuendelea kuwepo kwenye nafasi zao.
WildCard,
Tukio la leo ni hitimisho la mfululizo wa vikao vya pamoja kati ya viongozi wa pande zote mbili, usidhani kuna kukurupuka hapo
 
Nimepata taarifa kuwa Katibu mkuu wa CHADEMA Dr Slaa anaelekea kwenye ofisi za NCCR mageuzi kwa mazungumzo na katibu mwenzake Sam Ruhuza. Nafuatilia kujua kipi kinazungumzwa kati ya makatibu hao wawili then nitawaletea hapa jamvini soon!

Updates:

Taarifa ni kwamba CHADEMA na NCCR wamekubaliana kuungana na kusameheana katika kila jambo walilowahi kutendeana na wamekubaliana kushirikiana kuanzia sasa. Katika makubaliano hayo Mbatia amefuta kesi ya uchaguzi dhidi ya Halima Mdee kesi namba 101 ya mwaka 2010. Kuanzia sasa wamekubaliana kufanya kazi kwa ushirikiano kwa lengo la kuimarisha upinzani na kuhakikisha CCM inang'oka mwaka 2015. Makubaliano hayo yamesainiwa na DR Slaa na Sam Ruhuza katika ofisi za NCCR Mageuzi dakika chache zilizopita.


Kweli CCM ni tishio, mpaka wafu wanaungana ili kuiondoa ila wapi ? CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
mbona nyinyi mliolewa na CCM tena kwa ndoa ya mkeka? tulia watu waikomboe nchi, CCM inaenda kaburini moja kwa moja na mafisadi wote ni kifungo na kufilisiwa

Hata siku moja ccm haiwezi kuondoka madarakani kwa vikaratasi vyakutumbukiza kwenye masanduku ! una njia mbadala ?

 
WildCard,
Tukio la leo ni hitimisho la mfululizo wa vikao vya pamoja kati ya viongozi wa pande zote mbili, usidhani kuna kukurupuka hapo
Muhimu zaidi liwe kesi ya Mbatia dhidi ya Binti Mdee. Haipendezi. Haina maana. Halima anaimudu sana nafasi ile.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom