Kikao cha kumpata meya wa mwanza kimevunjika

kuna biashara gani halmashauri mpaka wanagombea uongoz ivi ? ccm na mkurugenz achen democracy ichukue nafasi ,zama za magumashi zimekwisha.
 
Hivi mkuu seriously... naomba unijibu kwanini unaipenda CCM.....

Je huoni kwamba upinzani utakuwa mzuri kwa Tanzania?,
au haoni kwamba hiki chama kinapotupeleka siko?
au kuna jambo ambalo wewe unalijua mimi sijalifahamu naomba unieleweshe... labda nitabadilisha msimamo wangu kuhusu hili Jinamizi.... Naomba kueleweshwa tu kaka....

Kibunango ni mtoto wa kigogo Bara sawa na MWP huko visiwani!!!
 
Ukiona hivyo ujue ana maslahi binafsi ndani ya CCM. Si bure!!!! Washabiki wa CCM wako wa aina tatu tu:

1. Viongozi wa chama hicho, hivyo wanafaidika na maslahi ya uongozi.

2. Wafanyabiashara au watu wenye shughuli za kubabaisha, hivyo kutegemea zaidi upendeleo wa viongozi wa serikali -kwa lugha nyingine hawa ni watu wenye maslahi binafsi ya moja kwa moja.

3. Wenye uwezo duni kiuchumi na kielimu/kiufahamu, hivyo huwa ni rahisi kurubuniwa kwa vijisenti.

Nje ya hapo hupati mtu wa kawaida tu kushabikia CCM

Umesahau pia watoto wa vigogo na wana familia.
 
Hivi mkuu seriously... naomba unijibu kwanini unaipenda CCM.....

Je huoni kwamba upinzani utakuwa mzuri kwa Tanzania?,
au haoni kwamba hiki chama kinapotupeleka siko?
au kuna jambo ambalo wewe unalijua mimi sijalifahamu naomba unieleweshe... labda nitabadilisha msimamo wangu kuhusu hili Jinamizi.... Naomba kueleweshwa tu kaka....

Jibu lipo wazi, CHADEMA ni wadini, wakabila, wabaguzi na wasio na busara hata kidogo
 
Kwahiyo wapinzani wote ni hayo hapo juu uliyosema..... Je huoni kwamba CCM inapotupeleka sipo.. au mwenzangu unanufaika na mimi naomba mnijuze ili nielewe labda kuna kitu ambacho mimi sikioni.. Udini (je ndio maana zanzibar hawakupata wabunge?), wakabila (je mwanza, kigoma, Arusha, Moshi, Dar) mbona huku kote wamepata wabunge....... wabaguzi(wamembagua nani) mimi suala la udini na ukabila sijaliona kabisa huku mtaani...
 
habari niliyopata hivi punde ni kuwa sababu kuvunjika kwa huu mkutano ni sababu mkurugenzi alitaka kila mtu apige kura kwenye chumba peke yake wadau wakakataa..... akasema ngoja anarudi akaondoka na hakurudi...... bado nafatilia uhakika wa hii story tawajuza
 
sehemu kama hizo ni mtihani kwa wakurugenzi, na hata kwa ma dc na rc maana inatoka oda kwa mkuu kwamba unataka kazi hutaki, balaa kubwa hili. . unga jamani.
 
habari niliyopata hivi punde ni kuwa sababu kuvunjika kwa huu mkutano ni sababu mkurugenzi alitaka kila mtu apige kura kwenye chumba peke yake wadau wakakataa..... akasema ngoja anarudi akaondoka na hakurudi...... bado nafatilia uhakika wa hii story tawajuza
Naamini hata wafanye nini hizi sehemu zenye Madiwani wengi wa Upinzani Upinzani utachukua Umeya.
Nawataka wafanye Kitu ki1 baada tu yakushinda kazi ya kwanza nikuhakikisha wanawafuta kazi hawa Wakurugenzi wanaoleta Mizengwe kwakukataa kufanya nao kazi wasituletee upuuzi wao kabisa mbona Bungeni walipokuwa wanamchagua Spika walipiga kura wakiwa wamekaa pa1 tena kwakuangaliziana,Izo ni mbinu zakuchakachua Chadema wasikubali kabisa,wapige kura za wazi.
 
habari niliyopata hivi punde ni kuwa sababu kuvunjika kwa huu mkutano ni sababu mkurugenzi alitaka kila mtu apige kura kwenye chumba peke yake wadau wakakataa..... akasema ngoja anarudi akaondoka na hakurudi...... bado nafatilia uhakika wa hii story tawajuza
Natamani kulia kwa hii dhuluma ya wazi kabisa,hivi kweli wakurugenzi wako radhi kupindisha taratibu ili mradi ma meya watoke CCM,CCM unafahamu unakopeleka nchi yetu ,Chadema Mwanza na madiwani wote msikubali ujinga wa aina yeyote,jiji ni lenu wanachi waliwapa
 
Ukiona hivyo ujue ana maslahi binafsi ndani ya CCM. Si bure!!!! Washabiki wa CCM wako wa aina tatu tu:

1. Viongozi wa chama hicho, hivyo wanafaidika na maslahi ya uongozi.

2. Wafanyabiashara au watu wenye shughuli za kubabaisha, hivyo kutegemea zaidi upendeleo wa viongozi wa serikali -kwa lugha nyingine hawa ni watu wenye maslahi binafsi ya moja kwa moja.

3. Wenye uwezo duni kiuchumi na kielimu/kiufahamu, hivyo huwa ni rahisi kurubuniwa kwa vijisenti.

Nje ya hapo hupati mtu wa kawaida tu kushabikia CCM

Atakayekataa ulilosma atakuwa anapingana na ukweli!
 
habari nazopata toka mwanza ni kuwa kikao cha kumchagua meya wa mwanza kimevunjika baada ya kutokea purukushani kati ya madiwani wa ccm na chadema...more to come

huwezi zuia mvua.. cdm ndio majority kwa hiyo lazima watoe meya labda kama wanadelay ili wafukie utumbo wao kabla hatujachukua jiji

kuchukua umeya sio option its amust
 
Hivi mkuu seriously... naomba unijibu kwanini unaipenda CCM.....

Je huoni kwamba upinzani utakuwa mzuri kwa Tanzania?,
au haoni kwamba hiki chama kinapotupeleka siko?
au kuna jambo ambalo wewe unalijua mimi sijalifahamu naomba unieleweshe... labda nitabadilisha msimamo wangu kuhusu hili Jinamizi.... Naomba kueleweshwa tu kaka....

Hana jibu atakuambia ni bendera na nyundo
 
Jibu lipo wazi, CHADEMA ni wadini, wakabila, wabaguzi na wasio na busara hata kidogo

wanasema ukiongea mambo ya kipuuuzi nawe automatically unakua mpuuzi..

wewe unakaa sehemu gani ambako kuna udini? mi naishi uswahilini ambako kuna dini zote na kabila zote tunaishi kama ndugu pamoja na itikadi zetu tofauti kisiasa.. acha kuandika pumba
 
habari niliyopata hivi punde ni kuwa sababu kuvunjika kwa huu mkutano ni sababu mkurugenzi alitaka kila mtu apige kura kwenye chumba peke yake wadau wakakataa..... akasema ngoja anarudi akaondoka na hakurudi...... bado nafatilia uhakika wa hii story tawajuza

Mkuu
Tunashukuru kutujuza kinachoendelea.
Kama alivyoiweka Froida, wanaMz wamechagua CDM iwaongoze.
Inshallah, hawa mafisi na mbinu zao chafu watashindwa tuu!
 
Ndio ndugu zangu taarifa kutoka vyanzo vyangu vya habari ni kuwa sababu ya mkutano kuvunjika ni utofauti kati ya (Mkurugenzi na wana CCM) kutaka kura zipigwe kwa siri kwenye vyumba mtu mmoja mmoja.... Lakini Chadema walikataa kwamba zipigwe palepale wote wakiwepo.. kama ilivyofanyika bungeni....

Wakasema wapige kura (kura zipigiwe wapi) Chadema wakashinda sababu wapo wengi lakini mtafaruku ukaendelea na haukupatiwa ufumbuzi na mkutano ukavunjika... My Take...... Kuna uwezekano baadhi ya madiwani wameshachakachuliwa...... Chadema inabidi wachungane.
 
....Mnafiki ww tunakujua vizuri, boksi lilikushinda sasa ni kutembeza bakuli na kujikomba kwa akina naniii....
 
Dah, kazi ipo. Mantiki inaonyesha kama CHADEMA ina madiwani wengi basi lazima washinde.

Unless baadhi yao wachakachuliwe. Kumbukeni kuna watu waligoma kutoka bungeni.
 
Back
Top Bottom