Kikao cha kumpata meya wa mwanza kimevunjika

Kibunango kwa kuangalia contribution zako zote ndani ya jf ninaamini wewe una mental slavery -waweza kutuita sie majuha lakini ukweli chupi imewabana waliokupa hiyo kazi ndani ya jf. Achidodo teyari amekiri katiba mpya lazima na mtanyoka tuuu vibweka kama wewe roho zitawashuka, wewe bado tuko wote.
 
Majambazi wa sisiem!!!!!!! Wakiongozwa na jambazi kubwa (jk). Wamesomea siasa za majia taka.
 
Kule Bukoba kachaguliwa Meya wa ccm anaitwa Amani Anatory, huyu aliwahi kuwa mwenyekiti wa mkoa wa ccm. Ni mmoja kati ya watu waliokumbwa na kashfa ya kutokuwa na uraia wakati wa Mkapa pamoja na wakina mzee Ulimwengu. Ilimfanya ateme uenyekiti. Hata hivyo ni mtu bogus hana lolote huyu. Lakini kwa kuwa ccm wote vichwa vyao vimechakachuliwa kama cha kibunango wamemchagua.
Hata hivyo leo palikuwa na hali mbaya kikaoni kwani yule mzee aliyekuwa meya zamani mzee Samwel Luangisa alimtuhumu wazi wazi meya mpya Bwana Amani, kwamba amekuwa akimfanyia vituko. Anadai kwamba kila alipokuwa akimpa mkono ili wasalimiane au alipotaka kumpongeza , Amani alikuwa akigeuza mkono ili asimshike na akasema jambo hili haliashirii hali njema. Wote ni wana ccm. Mzee Luangisa alimuambia wazi Bwana Amani kuwa yeye hana tatizo naye na kwa kweli yuko tayari kushirikiana naye kama Amani ataona jambo hilo ni vema. Hili lilimfanya Amani anyanyuke kwenye kiti ili aende kumpa mkono na kumkumbatia kama dalili ya kuonyesha mshikamano mpya. Yule mzee Luangisa alisimama kama vile anakuja mpokea, lakini mara Bwana Amani alipomfikia ghafla mzee Luangisa aligeuka nyuma na kumpa mgongo. Wote walibaki kustaajabu. Hao ndio wana ccm!
vituko ni jadi yao
 
Ccm ,meya wao aliyepita si anaozea jela kwa kesi ya murder ,sasa wanataka nini? Tena hapo mwanza.
 
Chonde chonde madiwani wa CHADEMA. Hao CCM wako tayari kwa lolote alimradi washinde. Mjihadhari kula hovyo na kukaa kwenye mikusanyiko au mahali popote kwenye fujo. Utakayedharau haya shauri yako. Hawa jamaa wanaweza wakakuundia kosa ukawekwa ndani na uchaguzi ukaendelea.

Au wakatuma vijana wakaanzisha fujo ukitaka kuamulia ukapigwa ukaumia hata kidogo ukaenda hospitali ukalazwa kwa nguvu.

Ewe diwani wa CHADEMA kuwa makini kwani kura yako ni ya muhimu. Jiji la mwanza lina vyanzo vingi vya mapato na CCM wana vitegauchumi pale na huenda hawalipi kodi!
 
Back
Top Bottom