MtazamoWangu
JF-Expert Member
- Apr 25, 2009
- 313
- 7
kazi kwelikweli...hakuna haja ya huyo bwana kuweka hadharani makubaliano yao na mzee malecela sasa hivi...ni udhaifu mkubwa kununuliwa na mpinzani wako...atumie njia nyingine kupitia uwezo wake na wala asikimbilie kumchafua yule mzee, hawa wazee wamelitumikia taifa hili kwa muda ruwaombe waachie ngazi wawapishe vijana lakini tusiwatoe kwa kashfa...suala kama hili ndio linalojitokeza jimbo la bumbuli...kijana January Makamba ameanzisha ugomvi mkubwa na mzee shelukindo na huenda wakafikishana hata mahakamani....