Siyo mara ya kwanza kwa CCM kumtumia mtu na kumtupa. John W. Malecela alitumika mpaka akajiita "Tingatinga"

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
CCM imekuwa na tabia ya kuwatumia baadhi ya wanasiasa nyakati za mawimbi makali ya kisiasa na kisha kuwatupa.

Malecela miaka ya nyuma alikuwa na nguvu sana ya kisiasa. Kwa taarifa yenu tu ni kwamba mzee Mwinyi hakuwa chaguo la Nyerere la kurithi kiti cha urais baada ya yeye kung'atuka. Lkn ni nguvu ya Malecela iliyomfanya Mwinyi akawa rais na hatimaye Malecela kulamba uwaziri mkuu (nitawapa kisa kizima siku nyingine).

Malecela na Mwinyi hawakupendwa sana na Nyerere, hotuba zake (Nyerere) zilijaa vijembe kwa rais Mwinyi na Malecela. Ilienda hivyo mpk Malecela akaundiwa zengwe la OIC na kung'atuliwa uwaziri mkuu.

Malecela alitupwa pembezoni mwa ulingo wa siasa na huku akilalama kuwa amekuwa akitumika kama Tingatinga kuwachongea wengine barabara za kisiasa.

Mwingine ni mzee Mangula. Huyu alitupwa nje ya siasa mara tu baada ya Kikwete kuukwaa urais (kwann ? Nitawapa kisa kizima siku nyingine). Mzee wa watu akarudi kwao Iringa kulima nyanya. Mpk pale walipoona (muhula wa pili wa awamu ya 4) chama kinataka kuwafia mkononi ndipo mzee Mangula akaenda kubembelezwa na kurudishiwa nafasi yake chamani.

Kwahiyo Makonda anatumika tu ili kukivusha chama lkn baadaye yeye na sukuma gang wengine watatupwa kama toilet paper.
 
CCM ni bingwa wa mikakati ya kisiasa Afrika, siyo Tanzania tu.

Moja ya mikakati ya CCM ni pamoja na kuanzisha vyama vya 'upinzani'.

CCM ina mbinu nyingi za kisiasa.

Kwa nionavyo, hiki chama kinafuata mfumo wa Kanisa Katoliki katika mfumo wa utawala.

Katoliki ndiyo waanzilishi wa dini na baadhi ya madhehebu ya upande wa pili.

Sijui ni kwa namna gani upinzani utapenya wakati upinzani wenyewe ni CCM-B!

Mwenye akili tunduizi atanielewa
 
Kuna siku nimesoma mahali kwamba Malechela baada ya kuhitimu masters yake huko uingereza, akarejea nchini na kupelekwa Mtwara kufanya kazi ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Ziara moja ya Kawawa ikamuinua. Aliandaa taarifa ya Mkoa na kuiwasilisha kwa Waziri Mkuu wakati huo. Kawawa akamshangaa jamaa kuwa na vitu vingi Sana kichwani, akauliza elimu yake akaambiwa ana masters tena ya uingereza, why yupo hapa akaambiwa kaletwa kufanya kazi. Mwamba akaelekezwa akafungashe begi na wakaruka wote Hadi Dsm na akainuliwa hadi kuwa huyu tumjiaye sasa.kumbe mizinguo maofisini ilianza tangu enzi hizo. Jamaa walimpeleka huko ili wao waendelee Kula bata mawizarani
 
CCM imekuwa na tabia ya kuwatumia baadhi ya wanasiasa nyakati za mawimbi makali ya kisiasa na kisha kuwatupa.

Malecela miaka ya nyuma alikuwa na nguvu sana ya kisiasa. Kwa taarifa yenu tu ni kwamba mzee Mwinyi hakuwa chaguo la Nyerere la kurithi kiti cha urais baada ya yeye kung'atuka. Lkn ni nguvu ya Malecela iliyomfanya Mwinyi akawa rais na hatimaye Malecela kulamba uwaziri mkuu (nitawapa kisa kizima siku nyingine).

Malecela na Mwinyi hawakupendwa sana na Nyerere, hotuba zake (Nyerere) zilijaa vijembe kwa rais Mwinyi na Malecela. Ilienda hivyo mpk Malecela akaundiwa zengwe la OIC na kung'atuliwa uwaziri mkuu.

Malecela alitupwa pembezoni mwa ulingo wa siasa na huku akilalama kuwa amekuwa akitumika kama Tingatinga kuwachongea wengine barabara za kisiasa.

Mwingine ni mzee Mangula. Huyu alitupwa nje ya siasa mara tu baada ya Kikwete kuukwaa urais (kwann ? Nitawapa kisa kizima siku nyingine). Mzee wa watu akarudi kwao Iringa kulima nyanya. Mpk pale walipoona (muhula wa pili wa awamu ya 4) chama kinataka kuwafia mkononi ndipo mzee Mangula akaenda kubembelezwa na kurudishiwa nafasi yake chamani.

Kwahiyo Makonda anatumika tu ili kukivusha chama lkn baadaye yeye na sukuma gang wengine watatupwa kama toilet paper.
John W. Malecela,,,
Hiyo "W" ni nani? au sijamfahamu!
 
sasa hilo ni jambo la CCM linamfurukuta moyoni mawana CCM mwenyeweee?, ama ni asie mwana CCM anafurukutwa na mambo CCM?

au ni analysis for political dynamics within rulling party and for ecademic purposes?

au mie ndie nimeghafilika?

mie ni slow lena nisamehe sana aise,
maana mambo ya kujadili watu badala ya masuala nadhani yanahitaji muda zaid kujifunza naamini nitaelewa polepole
 
CCM imekuwa na tabia ya kuwatumia baadhi ya wanasiasa nyakati za mawimbi makali ya kisiasa na kisha kuwatupa.

Malecela miaka ya nyuma alikuwa na nguvu sana ya kisiasa. Kwa taarifa yenu tu ni kwamba mzee Mwinyi hakuwa chaguo la Nyerere la kurithi kiti cha urais baada ya yeye kung'atuka. Lkn ni nguvu ya Malecela iliyomfanya Mwinyi akawa rais na hatimaye Malecela kulamba uwaziri mkuu (nitawapa kisa kizima siku nyingine).

Malecela na Mwinyi hawakupendwa sana na Nyerere, hotuba zake (Nyerere) zilijaa vijembe kwa rais Mwinyi na Malecela. Ilienda hivyo mpk Malecela akaundiwa zengwe la OIC na kung'atuliwa uwaziri mkuu.

Malecela alitupwa pembezoni mwa ulingo wa siasa na huku akilalama kuwa amekuwa akitumika kama Tingatinga kuwachongea wengine barabara za kisiasa.

Mwingine ni mzee Mangula. Huyu alitupwa nje ya siasa mara tu baada ya Kikwete kuukwaa urais (kwann ? Nitawapa kisa kizima siku nyingine). Mzee wa watu akarudi kwao Iringa kulima nyanya. Mpk pale walipoona (muhula wa pili wa awamu ya 4) chama kinataka kuwafia mkononi ndipo mzee Mangula akaenda kubembelezwa na kurudishiwa nafasi yake chamani.

Kwahiyo Makonda anatumika tu ili kukivusha chama lkn baadaye yeye na sukuma gang wengine watatupwa kama toilet paper.
Wewe unapungukiwa nini kama ndio inavyofanya?

Hii inaonyesha jamaa anawatesa sana,
 
"Kwahiyo Makonda anatumika tu ili kukivusha chama"

KUMBE UNAJUA ATAIVUSHA CCM,SAFI SANA
 
Makonda anachotakiwa kuhakikisha ni kuwa hakuna wa aina yake,kwa maana ya chama na serikali iendelee kumuhitaji kwenye masuala tofauti tofauti. Tofauti na hapo atakuwa replaced tu kama wengine. Ni suala la uhitaji tu kwenye siasa, ukiisha umuhimu wako huwa unageuka kuwa mzigo kama mwamvuli baada ya mvua kukatika.
 
Mtu aliyekwaa hadi uPM kwenye huko "kutumika" ndo unasema alitumika?

Unajua hata pension na marupurupu yake lakini!

Huko kwingine wanakotumika na hawaambulii hata chochote utasemaje sasa?

FYI:Huko kutumika kwa Makonda kila mwanaCCM anakutaka.
 
Back
Top Bottom