Kimei ni Kingunge pale Vunjo

MTANZANIA620

Member
Jun 20, 2023
34
30
Wanajukwaa salaam,

Kwa miaka 20 vyama vya upinzani vya NCCR MAGEUZI na TLP vimepata kuliongoza Jimbo la Vunjo katika nafasi ya ubunge.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata nafasi ya kuliongoza Jimbo hilo mwaka 2005-2010 na sasa 2020-2025 kupitia kwa Dkt Charles Kimei.

Duru za kisiasa zinaeleza Dkt. Kimei amejijengea ushawishi mkubwa kwa sasa kuliko mwanasiasa yeyote katika Jimbo hilo ndani na nje ya CCM.

Hivyo ni wazi kwamba upinzani hauwezi kuwekeza sana katika Jimbo hilo kwa kuwa hawataambulia chochote.
 
Wanajukwaa salaam,

Kwa miaka 20 vyama vya upinzani vya NCCR MAGEUZI na TLP vimepata kuliongoza Jimbo la Vunjo katika nafasi ya ubunge.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata nafasi ya kuliongoza Jimbo hilo mwaka 2005-2010 na sasa 2020-2025 kupitia kwa Dkt Charles Kimei.

Duru za kisiasa zinaeleza Dkt. Kimei amejijengea ushawishi mkubwa kwa sasa kuliko mwanasiasa yeyote katika Jimbo hilo ndani na nje ya CCM.

Hivyo ni wazi kwamba upinzani hauwezi kuwekeza sana katika Jimbo hilo kwa kuwa hawataambulia chochote.5
Unawajua wananchi Wavunjo au unawasikia tuu, unafikiri ni sawa na hao wa majimbo mengine. Tangu uchaguzi wa mwaka 1995 hakuna mbunge ambaye ameweza kushinda ubunge Vunjo kwa vipindi viwili mfululizo.

Watakusikiliza tu ila kama hujatimiza mambo kwa kiwango wanachotaka watakutoa kwa kura. Vunjo ni moja ya jimbo gumu sana linapokuja suala la uchaguzi.
 
Back
Top Bottom