Kijana atangaza kumng'oa Malecela Mtera

- Malecela is doing great na atashinda tena ubunge, aliumbwa na Mungu, Mwinyi alimuomba toka Commonwealth hakuwa jobless, never! pamoja na minjama yote ile, tizama tena historia, mnakuwa na chuki mno hata ukweli hamuuoni, he is just doing fine mkuu dua la kuku unajua halimpati mwewe!

Es!
Leo sijui kwa nini nimeikumbuka Thread hii.......Ilikuwa tamu japo imechakachuliwa.....

Siasa mchezo wa ajabu sana jamani.......Dah!!!
 
R.I.P Mzee ES…Field Marshal ES….FMES…William Malecela….

Mzee wa SAUTI YA UMEME
 
Na alimngoa malecela wakati wake wote wa ubunge huko mtera alikuwa hajafanya la maana

Ova
 
Back
Top Bottom