Kijana amwagiwa Tindikali Igunga

Hili nililitarajia kutoka kwenye chama kilichozoea fujo na maandamano kiasi cha kukodi wala ndumu kwenye maandamano yao. Wasiwasi wangu hii thread haitaishi kufikia asubuhi kabla haijafutwa eti kwa kuwa hakuna ushahidi. Wanasahau jinsi wanavyojaza thread za kumkashfu Kikwete kila uchao.

Hizi ni propaganda za CCM na NUNGAYEMBE lake CUF. Vijana hao wamezidiana kete za posho ya NAPE. Hiyo tenda walipewa vijana wengine na yeye akawazidi kete hao vijana ni habari kutoka kwa jamaa zake wa karibu mimi nipo hapa igunga. Hiyo ni posho ya kihelehele Nape imemuumiza huyu kijana nayote ni kutokana na umasikini wa watanzania kugombea posho, kofia, blauzi na kanga.

Zemarcopolo sisi tulioko huku tunajua nini kinachoendelea na tunajua kikao cha jana usiku ambacho CDM walikaa baada ya tathimini yao kuona kuna dalili za wao kushindwa. Tunajaribu kuwapa picha ya juu juu ili muelewe! Narudia kusema tukio la leo litaleta mengi zaidi coz wapo zaidi ya 400 na walitumwa kuja kufanya kazi hiyo!

Igunga kuna gesti za kulaza watu wote hao kwa wakati mmoja? Tena mwezi mzima?

Hivi hao vijana wa CDM waliomwagia Tindikali mpenda amani wa Igunga wameishakamatwa?

hayo mambo siyo ya kisiasa.ni uhalifu kama uhalifu mwingine.Tanzania hakuna siasa za usiku.mambo ya kampeni mwisho ni 1800hrs.sasa hiyo usiku kulikoni?maovu yenu musiyahusishe na siasa ya Tanzania.huyo inawezekana kuna kingine siyo mabandiko tu.tuseme hao watu waliandaa tindikali ili akija wammwagie?walijuaje kama anakuja na walimtambuaje usiku au aliwatambuaje kuwa ni chadema kwenye giza?tuseme walijitaja sisi tuliokumwagia ni cdm?.si ishu.mia

hizi sasa siyo siasa bali ni vurugu tunapaswa tupisane kwa hoja TU pole kijana Mungu akuponye haraka

Hii habari inasikitisha sana Watanzania lazima tuwe makini na hawa jamaa wa CDM sio binadamu kabisa na hawana huruma hata kidogo.

Wanataka kuingiza Tanzania kwenye machafuko makubwa ya umwagaji damu

mkuu igunga kunavyama vingapi? Vinagombea ubunge

wenikitu gani kimekufanya ukishutum cdm 1kwa1 nasivyama vingine kuna ushaidi wowote atakama ni wamazingila
Kumbuka kafu imewawekea pingamizi ccm na cdm uazie hapo kufanya uchunguzi wewe ukikosana na jilani kesho akivamiwa unatakiwa uisaidie polis

mbona wewe hujakamatwa kwa kutukana watu?
Wapi nimetukana unaweza kuweka hilo tusi?
Uzuri mimi namjibu mtu kwa jinsi atakavyokuja hata siku moja mimi uwa sijibu si quote hoja za mtu, nachangia kwenye posts tu. Wewe ndio umeanza kuni-attack mimi unadhani takaa kimya? Hii ndio JF

Hivi hao vijana wa CDM waliomwagia Tindikali mpenda amani wa Igunga wameishakamatwa?
Hivi wale vijana wa CCM walio mmwangia tindikali kubenea walisha kamatwa na walishafungwa au bado....

Wapi nimetukana unaweza kuweka hilo tusi?
Uzuri mimi namjibu mtu kwa jinsi atakavyokuja hata siku moja mimi uwa sijibu si quote hoja za mtu, nachangia kwenye posts tu. Wewe ndio umeanza kuni-attack mimi unadhani takaa kimya? Hii ndio JF
Mbona ulimmwangia tindikali kubenea na bado uko mitaa unapeta...

siamini kama nasoma mawazo kama haya kutoka kwa great thinker!

Kwanza unakubali kua ccm wana uozo na ndio cdm wanaoufichua

Pili unajidhalilisha kwa kusema ni bora maovu hayo yafichwe ili tuendelee kukaa kwa amani feki

kuliko ifichuliwe ili tusije dai haki???

aibu sana hii.nyie ccm sidhani kam ni watu wqa kawaida.............!

mkuu kuna sd nilibandika sifa na vigezo vya ufisadi unafiki ukahaba hivi ni pacha haviachani imefutwa
sifa 1 Kukosa aibu
2 uloho kutotosheka umimi
3 kukosa huruma
4 akikosea hakubali kukosolewa
-hujiona yeye ni bola kuliko wen
gine
mtu akikosa aibu muogope hatofautiani na mnyama aibu humfanya binadam asifanye ualifu kwa kuhofu akijulikana atazarauliwa utu wake kuhofu kumkosea MNGU nk unaweza ongeza unayo yafaham
Hizo nisifa au tabia za mafisadi na watetezi wawo

Wapi nimetukana unaweza kuweka hilo tusi?

Uzuri mimi namjibu mtu kwa jinsi atakavyokuja hata siku moja mimi uwa sijibu si quote hoja za mtu, nachangia kwenye posts tu. Wewe ndio umeanza kuni-attack mimi unadhani takaa kimya? Hii ndio JF

hivi kumbe unaweza kuandika hivi bila kuweka matusi? Mwanzoni mimi nilikuattack kwa hoja wewe ukaniattack kwa matusi.

mshaanza matusi. Mnatakiwa kujadili hoja na kutoa maoni yenu. Matusi hayatusaidii hapa jf.

Mi naamini siasa huwa na mambo mengi. Ccm wametoa kafara ili kuwapaka matope cdm. Naamini mbinu hiyo itapuuzwa na wananigunga.

kwa nini aweke matangazo usiku kama huo kulikuwa kunaulazima gani asiweke jioni au leo asubuhi ...ccm bwana mipango mibovu ,yaleyale ya kuruhusu meli mbovu kubeba abiria halafu utasikia rais anatuma salam za rambi rambi nafikiri huwa wanafurahia kuonekana msibani...

Wana JF sasa hivi tupo hapa Igunga hospital usiku huu, kijana wa CCM aliyekuwa anabandika mabango kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za CCM kesho, ametekwa na vijana wa CDM na kumwagiwa tindikali usoni,, kwakweli ameharibika vibaya na inasikitisha sana. Hawa CDM kwanini wameweka fujo na ughaidi mbele? Sasa huyu kijana hawezi kuona na ukimwona utarokwa machozi. Hebu hizi tamaa na uroho wa madaraka usituingize kwenye vita,, ni kitu kibaya kabisa kilichofanyika. Sasa hivi waandishi wa habari wamefiaka hapa, pengine mtasoma kwenye magazeti na kuona picha. Watanzania tukatae roho za kijambazi kama hizi
Ni mchoro wa CCM watafanya kila liwezekanalo kuonyesha Chadema ni chama cha fujo kama walileta makontena yenye visu na majambia yaliyopakwa rangi ya bendera ya CUF watashindwaje kufanya hivyo ili kupunguza makali,kuna vyama 8 vinagombea huko kwa nini mwandishi useme vijana wa CDM au ndio mpango wa kutaka kuwaweka ndani vijana wa CDM kwa kuwatuhumu ili wasiweze kupiga kura,CCM ole wenu maandalizi munayoyafanya ya kutaka nchi ingie kwenye machafuko hamtaweza kudhibiti hali hiyo ikifika nguvu ya umma haijawahi kamwe kushindwa
CCM ni mataila hovyo kabisa wako radhi kuweka nchi rehani kwa uchu wao wa madaraka

Na ikithibitika Chadema kuhusika? Kwanini uanze kujitetea hata kabla ya kesi kusikilizwa. Kwani wafuasi wa Chadema ni watakatifu kiasi gani?

Ni kweli.. na kwa sababu hiyo hakutakiwa kuitaja au kuhusisha CMD mpaka uwepo uthibitisho bila kipingamizi. Kwani chama cha upinzani kinachogombea kiti hicho cha ubunge huko Igunga ni CDM peke yake??? Kwa nini CDM???.. na isiwe CUF... n.k.????

Hivi hao vijana wa CDM waliomwagia Tindikali mpenda amani wa Igunga wameishakamatwa?
CCM hawana aibu kabisa wanakula kwa mikono na ******,wamepoteza siha ya utu wako tayari kumfanyia kafara mtu ili mradi wa wapake matope chama shindani hasa Chadema kwa vile wanaona hawawezi kuuzima muziki wake
Hawana aibu wezi wakubwa wameifikisha nchi hapa ilipo imepoteza heshima yake kwa sababu ya koo fulani ,waroho majambazi,mchezo wao wananchi wanaujua,hata kama tulikuwa tunasita kuamini Chadema waliibiwa kura kwenye uchaguzi wa 2010 lakini kwa vitendo kama hivi asilimia mia,na hakuna mwananchi atakayekubali vitisho wala kashifa wapeleke FFU hata mamailioni lakini haki itasimama,tumechoka kuendeshwa sisi na majambazi ya haki za binadamu CCM
Kuiba maiti na kutupa barabarani kule Nyamongo haikutosha

Similar Discussions

Back
Top Bottom