Kijana amwagiwa Tindikali Igunga

Hili nililitarajia kutoka kwenye chama kilichozoea fujo na maandamano kiasi cha kukodi wala ndumu kwenye maandamano yao. Wasiwasi wangu hii thread haitaishi kufikia asubuhi kabla haijafutwa eti kwa kuwa hakuna ushahidi. Wanasahau jinsi wanavyojaza thread za kumkashfu Kikwete kila uchao.

Mawazo ya Ma CCM haya wakifanya wao wanasema Chadema ila wao kutumia polisi kuvuruga si fujo .Ukiwaza kwa masaburi inakuwa issue sana .

Wana JF sasa hivi tupo hapa Igunga hospital usiku huu, kijana wa CCM aliyekuwa anabandika mabango kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za CCM kesho, ametekwa na vijana wa CDM na kumwagiwa tindikali usoni,, kwakweli ameharibika vibaya na inasikitisha sana. Hawa CDM kwanini wameweka fujo na ughaidi mbele? Sasa huyu kijana hawezi kuona na ukimwona utarokwa machozi. Hebu hizi tamaa na uroho wa madaraka usituingize kwenye vita,, ni kitu kibaya kabisa kilichofanyika. Sasa hivi waandishi wa habari wamefiaka hapa, pengine mtasoma kwenye magazeti na kuona picha. Watanzania tukatae roho za kijambazi kama hizi

Wana jf na watanzania tusiwe wepesi wa kusahau kuna sed majuzi imebandikwa mbinu za ccm kuanda vijana maalumu kujafanya fujo hii ilikuwa tetesi sasa inaonekana sitetesi tena nimbinu chafu

Hili nililitarajia kutoka kwenye chama kilichozoea fujo na maandamano kiasi cha kukodi wala ndumu kwenye maandamano yao. Wasiwasi wangu hii thread haitaishi kufikia asubuhi kabla haijafutwa eti kwa kuwa hakuna ushahidi. Wanasahau jinsi wanavyojaza thread za kumkashfu Kikwete kila uchao.

vp umepata posho yako leo?

Mbinu za magamba hizo. Zinathibitishwa na kauli zao za kuwahusisha chadema moja kwa moja bila hata kufanyika kwa uchunguzi. Wanataka kutengeneza huruma kwenye mioyo ya watu na kujenga chuki dhidi yake. Mungu amsaidie aliyeumizwa, na inawezekana wabaya wake ni ccm haohao wanataka kumtoa kafara. Anayehukumu bika uthibitisho ni dhahiri atahukumiwa yeye

Hili nililitarajia kutoka kwenye chama kilichozoea fujo na maandamano kiasi cha kukodi wala ndumu kwenye maandamano yao. Wasiwasi wangu hii thread haitaishi kufikia asubuhi kabla haijafutwa eti kwa kuwa hakuna ushahidi. Wanasahau jinsi wanavyojaza thread za kumkashfu Kikwete kila uchao.

Mtoto wa mama.

Wana JF sasa hivi tupo hapa Igunga hospital usiku huu, kijana wa CCM aliyekuwa anabandika mabango kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za CCM kesho, ametekwa na vijana wa CDM na kumwagiwa tindikali usoni,, kwakweli ameharibika vibaya na inasikitisha sana. Hawa CDM kwanini wameweka fujo na ughaidi mbele? Sasa huyu kijana hawezi kuona na ukimwona utarokwa machozi. Hebu hizi tamaa na uroho wa madaraka usituingize kwenye vita,, ni kitu kibaya kabisa kilichofanyika. Sasa hivi waandishi wa habari wamefiaka hapa, pengine mtasoma kwenye magazeti na kuona picha. Watanzania tukatae roho za kijambazi kama hizi

<br /
Vyama vilivypopo ni CDM NA cCM?
Wat abt Cuf?
Mtoa mada unakosa busara sana,wamteke kwa kipi hasa?
Jamani achen huu uchochez.

watakuwa ni CDM tu, nyie ndio wenye tabia za fujo.

Acha uzandiki mtoto wa kiume,cdm wametoka wapi hapo? The point is kijana kamwagiwa tindikali na wahuni,je mna ushaidi waliommwagia ni cdm? Je walikuwa na bendera za cdm? Acheni unafiki wenu, Horace Kolimba aliuwawa na cdm? Kubenea alimwagiwa tindikali na cdm? Tuwe na subira tusifanye mambo kwa speculation.

Hao CDM walikwenda na mabango kuwa wao ni chadema?? na inaonekana kuna mtu anayependa kuchafua sana ..Sasa Polisi waaache waseme....

Bado isingekuwa kigezo jambazi anapo fanya uhalifu hutumia bunduki mabom ya jeshi wakati yeye si mwanajeshi na hilo tukio huwezi ukawahusisha 1kwa1 wanajeshi eti kwavile bunduki ni zajeshi tunaona kwenye mikutano watu wanaandaliwa kulejesha kadi feki wakati siwanachama wa chama husika kuna makosa ya kutengeneza na wakosaji hutengenezwa vijana huyaita ya kichina kama hujanawa uso ni vigumu kuyaona MUNGU ibaliki tz na dunia

Kutumia mabavu, vitisho na matusi ili watu wakubaliane na hoja zako, ni dalili ya kuishiwa na nguvu ya hoja ya kupata wafuasi. Nawaomba wote wapenda amani kutowachagua watu wa aina hii. Watatupeleka pabaya

CCM bana , wanarudia yale yale ya Chacha Wangwe, kuua waue wao halafu waisingizie CDM, haya sasa wamemtoa kafara kijana wao kumwagia acid kisha waseme ni CDM, hivi hata mwenyekiti wao akipata ule ugonjwa wake wa kuanguka watasema ni kazi ya CDM

Ndugu acheni matusi,kati yenu wote hakuna mwenye uhakika mtenda kosa ni wa chama gani,mbinu chafu hizo zimeanza.

Tumechoka na propaganda za ccm, tugange yajao kwani kila kukicha CDM hawana lingine la kufanya au kuandika

Wana JF sasa hivi tupo hapa Igunga hospital usiku huu, kijana wa CCM aliyekuwa anabandika mabango kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za CCM kesho, ametekwa na vijana wa CDM na kumwagiwa tindikali usoni,, kwakweli ameharibika vibaya na inasikitisha sana. Hawa CDM kwanini wameweka fujo na ughaidi mbele? Sasa huyu kijana hawezi kuona na ukimwona utarokwa machozi. Hebu hizi tamaa na uroho wa madaraka usituingize kwenye vita,, ni kitu kibaya kabisa kilichofanyika. Sasa hivi waandishi wa habari wamefiaka hapa, pengine mtasoma kwenye magazeti na kuona picha. Watanzania tukatae roho za kijambazi kama hizi
Call 911 plz.

Pole kwa huyu kijana ameingia kwenye siasa za magamba bila kujua sasa wamemdhuru na kutaka kutupia lawama watu wengine. Independent investigation ikifanyika ukweli utajulikana tu

Wana JF sasa hivi tupo hapa Igunga hospital usiku huu, kijana wa CCM aliyekuwa anabandika mabango kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za CCM kesho, ametekwa na vijana wa CDM na kumwagiwa tindikali usoni,, kwakweli ameharibika vibaya na inasikitisha sana. Hawa CDM kwanini wameweka fujo na ughaidi mbele? Sasa huyu kijana hawezi kuona na ukimwona utarokwa machozi. Hebu hizi tamaa na uroho wa madaraka usituingize kwenye vita,, ni kitu kibaya kabisa kilichofanyika. Sasa hivi waandishi wa habari wamefiaka hapa, pengine mtasoma kwenye magazeti na kuona picha. Watanzania tukatae roho za kijambazi kama hizi

vyanzo gani vya habari vinathibitisha ni chadema ,kwanin umekuwa mwepesi kuishutumu chadema na si cuf au vyama vingine? Au ni propaganda zenu zisizo na maana.! Iombe radhi chadema, ama sivyo wataje kwa majina waliohusika.

Wana JF sasa hivi tupo hapa Igunga hospital usiku huu, kijana wa CCM aliyekuwa anabandika mabango kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za CCM kesho, ametekwa na vijana wa CDM na kumwagiwa tindikali usoni,, kwakweli ameharibika vibaya na inasikitisha sana. Hawa CDM kwanini wameweka fujo na ughaidi mbele? Sasa huyu kijana hawezi kuona na ukimwona utarokwa machozi. Hebu hizi tamaa na uroho wa madaraka usituingize kwenye vita,, ni kitu kibaya kabisa kilichofanyika. Sasa hivi waandishi wa habari wamefiaka hapa, pengine mtasoma kwenye magazeti na kuona picha. Watanzania tukatae roho za kijambazi kama hizi

hivi tindikali ni bidhaa inayo patikana kama pipi au ni bidhaa yenye kudhibitiwa, na serikali na watumiaji waku ni migodi ya madini, sasa chadema ni serikali au ndio wamiliki wa migodi?
serikali ya sasa ni ya nani? migodi imetolewa na serikali ipi?
kujivua magamba ni kugumu ndio maana mbinu chafu zinatumika.
hii ndio inaitwa kupata ushindi kwa gharama yoyote.

acheni ushabiki wa kijinga cdm wanahubiri amani nyie ccm na cuf ndio mnaanza ugomvi tatizo mmeshaona mnashindwa propaganda kwenye maisha ya watu sio nzuri mmeshaua mtu wa pili huyo na tabia yenu ya kubeba watu kwene mafuso mtazidi kuua ndugu zetu

Hizi ni propaganda za CCM na NUNGAYEMBE lake CUF. Vijana hao wamezidiana kete za posho ya NAPE. Hiyo tenda walipewa vijana wengine na yeye akawazidi kete hao vijana ni habari kutoka kwa jamaa zake wa karibu mimi nipo hapa igunga. Hiyo ni posho ya kihelehele Nape imemuumiza huyu kijana nayote ni kutokana na umasikini wa watanzania kugombea posho, kofia, blauzi na kanga.

nyinyiemu heh(ccm)wanawapa wapambe wao blauzi,khanga na tisheti kwani wanajua wananchi wao ni maskini hawana hata uwezo wa kununua vifaa (nguo) vyakujisitiliiii.

na uhaba huu wa tindikali nchini hiyo tindikali inayopatikana kwa vijana wa igunga narudia igunga ni ipi?basi pole sana kijana mungu akusaidie upone

Similar Discussions

Back
Top Bottom