Kijana amwagiwa Tindikali Igunga

Afadhali umenisemea hata mimi, huyu jamaa huwa najiuliza inakuwa vipi mtu anakuwa na arguments za ajabu ajabu. Hata kama ni CCM, he should have been strongly linked with the CCM-strengthes na siyo kutukana tukana watu. Ajenge hoja, mbona kuna mengi ya kujivunia huko CCM, lakini kwa wamelewa kodi zetu wanayasahau hata kuyatetea hawajui.
yeye ndio katukaniwa mama yake sasa vipi unasema yeye ndio anatukana. acha ushabiki wewe. au ndio hukusoma post zote?

Mwita25 amechange avatar?
avatar41972_2.gif

Wana JF sasa hivi tupo hapa Igunga hospital usiku huu, kijana wa CCM aliyekuwa anabandika mabango kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za CCM kesho, ametekwa na vijana wa CDM na kumwagiwa tindikali usoni,, kwakweli ameharibika vibaya na inasikitisha sana. Hawa CDM kwanini wameweka fujo na ughaidi mbele? Sasa huyu kijana hawezi kuona na ukimwona utarokwa machozi. Hebu hizi tamaa na uroho wa madaraka usituingize kwenye vita,, ni kitu kibaya kabisa kilichofanyika. Sasa hivi waandishi wa habari wamefiaka hapa, pengine mtasoma kwenye magazeti na kuona picha. Watanzania tukatae roho za kijambazi kama hizi
Hii habari inasikitisha sana Watanzania lazima tuwe makini na hawa jamaa wa CDM sio binadamu kabisa na hawana huruma hata kidogo.
Wanataka kuingiza Tanzania kwenye machafuko makubwa ya umwagaji damu

CCM walivyo maharamia na katili watakuwa wamekodi majambazi yakafanye kazi hiyo ili mradi ionekane tuu CDM. Arobaini yenu imefika piga ua garagaza hamna lenu Igunga

Jambo 1 wewe ndo unafikiri kwa kutumia makalio umejikalisha tu hapo kwenye kompyuta yako haujui kinachoendelea Igunga. Nikawaida ya CCM kuwapeleka vijana wake kambi kwa ajili ya kuwafundisha kujenga hoja na kufanya kazi ya uwakala vizuri. Narudia tena endeleeni kuwatetea CDM ila ndio waliohusika. Hili ni jambo la kinyama kufanywa na CDM. Hakika yatawarudi na hawatapata kura na wenyewe CDM wanalijua hili ndo maana wanaanza vurugu zao.

Chadema wanatuharibia nchi yetu!
Vijana tusikubali kuharibu heshima ya wazee wetu waliolijengea taifa letu!

Zemarcopolo sisi tulioko huku tunajua nini kinachoendelea na tunajua kikao cha jana usiku ambacho CDM walikaa baada ya tathimini yao kuona kuna dalili za wao kushindwa. Tunajaribu kuwapa picha ya juu juu ili muelewe! Narudia kusema tukio la leo litaleta mengi zaidi coz wapo zaidi ya 400 na walitumwa kuja kufanya kazi hiyo!

kadanganye wajinga wenzio

Jambo 1 wewe ndo unafikiri kwa kutumia makalio umejikalisha tu hapo kwenye kompyuta yako haujui kinachoendelea Igunga. Nikawaida ya CCM kuwapeleka vijana wake kambi kwa ajili ya kuwafundisha kujenga hoja na kufanya kazi ya uwakala vizuri. Narudia tena endeleeni kuwatetea CDM ila ndio waliohusika. Hili ni jambo la kinyama kufanywa na CDM. Hakika yatawarudi na hawatapata kura na wenyewe CDM wanalijua hili ndo maana wanaanza vurugu zao.

kiongozi mzima wa chama unaandika ujinga huu.

Isije kuwa zile Fuso za CDM zilikuwa zinasomba watu kutoka Arusha na Moshi ndio wanataka kuchafua amani Igunga!
Igunga ni sehemu ya amani sana hawezi kutokea mkazi wa Igunga amwagie mtu Tindikali, hii lazima watakuwa wale walikuja na zile Fuso tu hamna mwingine

Hii habari inasikitisha sana Watanzania lazima tuwe makini na hawa jamaa wa CDM sio binadamu kabisa na hawana huruma hata kidogo.

Wanataka kuingiza Tanzania kwenye machafuko makubwa ya umwagaji damu

wacha kuwaza kwa ****** we we CDM Binadamu ka wewe

Kwa wale ambao hampo Igunga mwaweza kuwaweka kando CDM ila ukweli ni kwamba CDM imeingiza jana Vijana 80 kutoka Tarime na wengine 300 walitangulia kabla ya uzinduzi wa kampeni zao kwa ajili ya kuleta vurugu na kondoa mabango ya wenzao. Hakika ninawaambia hali hii italeta machafuko zaidi.

hivi waliokupa uongozi wanajua kweli uwezo wako wa kufikiri?

Isije kuwa zile Fuso za CDM zilikuwa zinasomba watu kutoka Arusha na Moshi ndio wanataka kuchafua amani Igunga!

Igunga ni sehemu ya amani sana hawezi kutokea mkazi wa Igunga amwagie mtu Tindikali, hii lazima watakuwa wale walikuja na zile Fuso tu hamna mwingine

upo kazini,mil 35 si mchezo

Wana JF sasa hivi tupo hapa Igunga hospital usiku huu, kijana wa CCM aliyekuwa anabandika mabango kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za CCM kesho, ametekwa na vijana wa CDM na kumwagiwa tindikali usoni,, kwakweli ameharibika vibaya na inasikitisha sana. Hawa CDM kwanini wameweka fujo na ughaidi mbele? Sasa huyu kijana hawezi kuona na ukimwona utarokwa machozi. Hebu hizi tamaa na uroho wa madaraka usituingize kwenye vita,, ni kitu kibaya kabisa kilichofanyika. Sasa hivi waandishi wa habari wamefiaka hapa, pengine mtasoma kwenye magazeti na kuona picha. Watanzania tukatae roho za kijambazi kama hizi

Kufanya siasa usiku ni kuhatarisha amani, hivi sheria ya uchaguzi inasemaje? kwa nini hayo mabango yasibandikwe mchana. Vitendo hivi vinafanywa makusudi na CCM ili kutafuta agenda ya uchaguzi Igunga kwani hawana jipya. hatuwezi kushanga chama komavu CCM kuingia kwenye mbinu za kitoto kama hizi. Anawezaje kwenda kubandika mabango akiwa pekee yake na green guard walikuwa wapi?

Hii habari inasikitisha sana Watanzania lazima tuwe makini na hawa jamaa wa CDM sio binadamu kabisa na hawana huruma hata kidogo.

Wanataka kuingiza Tanzania kwenye machafuko makubwa ya umwagaji damu

unalipwa per diem?

Mjinga mwenyewe! Sisi siyo makasuku na wala wajinga kama ulivyo wewe fmpiganaji! Unafikiri kwa kutumia sehemu ya haja.......k... Wewe mtu atiwa kilema kwa ajili ya uroho wenu wa madaraka mnataka tuwachekee! Haja vijana wenu wameshakamatwa sasa jitokezeni kuwatetea sasa! si mlisema sisi wazushi MMEUMBUKA Sasa

Similar Discussions

Back
Top Bottom