Kijana amwagiwa Tindikali Igunga

Musharaf

Senior Member
Aug 1, 2011
179
55
Wana JF sasa hivi tupo hapa Igunga hospital usiku huu, kijana wa CCM aliyekuwa anabandika mabango kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za CCM kesho, ametekwa na vijana wa CDM na kumwagiwa tindikali usoni,, kwakweli ameharibika vibaya na inasikitisha sana.

Hawa CDM kwanini wameweka fujo na ughaidi mbele? Sasa huyu kijana hawezi kuona na ukimwona utarokwa machozi. Hebu hizi tamaa na uroho wa madaraka usituingize kwenye vita, ni kitu kibaya kabisa kilichofanyika. Sasa hivi waandishi wa habari wamefiaka hapa, pengine mtasoma kwenye magazeti na kuona picha. Watanzania tukatae roho za kijambazi kama hizi

Wana JF sasa hivi tupo hapa Igunga hospital usiku huu, kijana wa CCM aliyekuwa anabandika mabango kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za CCM kesho, ametekwa na vijana wa CDM na kumwagiwa tindikali usoni,, kwakweli ameharibika vibaya na inasikitisha sana. Hawa CDM kwanini wameweka fujo na ughaidi mbele? Sasa huyu kijana hawezi kuona na ukimwona utarokwa machozi. Hebu hizi tamaa na uroho wa madaraka usituingize kwenye vita,, ni kitu kibaya kabisa kilichofanyika. Sasa hivi waandishi wa habari wamefiaka hapa, pengine mtasoma kwenye magazeti na kuona picha. Watanzania tukatae roho za kijambazi kama hizi

Una ushahidi gani kuwa ni vijana wa chadema ndio "waliommwagia"

MUsharaf naona unaumwa! Katoe kataarifa Polisi si hapa JF.

Mods tusadieni kuondoa hii hapa

je una uhakika gani kuwa ni wafuasi wa cdm waliofanya kitendo hiki?
Hizo ni propaganda chafu za magamba

Hili nililitarajia kutoka kwenye chama kilichozoea fujo na maandamano kiasi cha kukodi wala ndumu kwenye maandamano yao. Wasiwasi wangu hii thread haitaishi kufikia asubuhi kabla haijafutwa eti kwa kuwa hakuna ushahidi. Wanasahau jinsi wanavyojaza thread za kumkashfu Kikwete kila uchao.

kama ni kweli tunampa pole kijana, siungi mkono vurugu, pia siamini uwekaji mabango ya matangazo ni chanzo cha vurugu za hivyo, nikimkumbuka H. Kolimba machozi yanitoka. yaweza kuwa ni mchezo mchafu wa ccm kuomba huruma ya wanaigunga.

MUsharaf naona unaumwa! Katoe kataarifa Polisi si hapa JF.

Mods tusadieni kuondoa hii hapa

Acha unafiki, mbona thread ya kiongozi wa CCM S'wanga aliyempiga mkewe haijaondolewa?

kama ni kweli tunampa pole kijana, siungi mkono vurugu, pia siamini uwekaji mabango ya matangazo ni chanzo cha vurugu za hivyo, nikimkumbuka H. Kolimba machozi yanitoka. yaweza kuwa ni mchezo mchafu wa ccm kuomba huruma ya wanaigunga.

Thinking outside the box.

kama ni kweli tunampa pole kijana, siungi mkono vurugu, pia siamini uwekaji mabango ya matangazo ni chanzo cha vurugu za hivyo, nikimkumbuka H. Kolimba machozi yanitoka. yaweza kuwa ni mchezo mchafu wa ccm kuomba huruma ya wanaigunga.

Umeshaambiwa Chadema ndiyo wamehusika sasa CCM wanaingiaje hapo? Usifikiri kila mtu mjinga humu.

Umeshaambiwa Chadema ndiyo wamehusika sasa CCM wanaingiaje hapo? Usifikiri kila mtu mjinga humu.

Suala ni kuwa wamethibitishaje kuwa chadema wamehusika? Ushahidi?

Hii thread haina mashiko na imejaa uongo na chuki ambazo zinaweza kuhatarisha amani.

Mods, iondoeni kabla haijapotosha umma.

Hizi ni mbinu za ccm, huwezi kusema ni chadema wakati hakuna ushahidi. CCM wanambinu chafu sana. Tukumbushane yale ya ccm wakati wa uchaguzi mwaka jana mpaka wakamtoa dereva kafara.

Hili nililitarajia kutoka kwenye chama kilichozoea fujo na maandamano kiasi cha kukodi wala ndumu kwenye maandamano yao. Wasiwasi wangu hii thread haitaishi kufikia asubuhi kabla haijafutwa eti kwa kuwa hakuna ushahidi. Wanasahau jinsi wanavyojaza thread za kumkashfu Kikwete kila uchao.

kwani uongo, mwarabu kanunua suti, unabisha?

Hizi ni mbinu za ccm, huwezi kusema ni chadema wakati hakuna ushahidi. CCM wanambinu chafu sana. Tukumbushane yale ya ccm wakati wa uchaguzi mwaka jana mpaka wakamtoa dereva kafara.

Na ikithibitika Chadema kuhusika? Kwanini uanze kujitetea hata kabla ya kesi kusikilizwa. Kwani wafuasi wa Chadema ni watakatifu kiasi gani?

Umeshaambiwa Chadema ndiyo wamehusika sasa CCM wanaingiaje hapo? Usifikiri kila mtu mjinga humu.

ni kweli si wote humu ni wajinga lakini wewe umebeba bango limeandikwa WAJINGA WENZANGU NIFUATENI, sijui mwaenda wapi!!

naomba mnikumbushe jamani ni chama gani kilitumia mbinu chafu kwa kuwatumia watu wa usalama wa taifa kuwamwagia waandishi wa
habari wa Tindikali ?? Bado unashangaa tu mchezo huu tumeshauona kabla kwahiyo ni moja ya operation zao kwa kutaka kuwajengea watu
fear kwa sababu fear sells more than hope.

Kama kweli kuna mtu kamwagiwa tindikali, haijalishi kamwagiwa na nani.
Kauli moja ni kwamba kuna ughaidi Igunga. Uchunguzi huru ufanyike. Wahusika wachukuliwe hatua kali sana. Siasa zenu zisituchafulie nchi.
Usiku huu msituambie nani aliyefanya kosa, usiku huu tuungne kama watanzania kucondemn kitendo hicho. Ushabiki tuweke pembeni, this is extremely serious.

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom